uzuri

Imani Uzuri is an American vocalist and composer.Uzuri has collaborated with a cross section of artists across various disciplines including Herbie Hancock, John Legend, Vijay Iyer, Sanford Biggers, Carrie Mae Weems, Wangechi Mutu and Robert Ashley.
In 2012 Uzuri released her critically acclaimed second album, The Gypsy Diaries, which was funded with a successful Kickstarter campaign. Uzuri was a 2015 Park Avenue Armory artist-in-residence. March 2016 will mark Uzuri's Lincoln Center's American Songbook series debut.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Mwanamke hata uwe mzuri vipi mwanaume atachepuka tu, uzuri haumzuii mwanaume kuchepuka

    Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke. Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo mwanamke anaamini mwanaume wake hana anchokikosa kwa sababu yeye ni mzuri. Utashangaa...
  2. M

    JamiiForums Nimemsikiliza vizuri Askofu Gwajima, nina maswali machache juu ya nadharia yake

    Nimesikiliza kwa umakini sana juu ya mambo aliyoyasema mchungaji Gwajima. Nina maswali machache sana juu ya nadharia yake juu ya korona na namna alivyosema na kuaminisha watu: 1. Yeye ni mtumishi wa Mungu na anaamini Mungu ni alfa na omega na hashindwi na chochote, sasa kama ni hivyo kwanini...
  3. nover

    JamiiForums Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

    Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu...
  4. Kukudume2013

    JamiiForums Je uzuri wa ku download na ule wa natural upi unapenda wewe?

    Miaka ya karibuni kumezuka hombwe la kufata mkumbo kutoka magharibi (utandawazi) ktk nyanja nyingi. Leo hii nitazungumzia nyanja moja tu ya urembo. Utaona wadada wetu wanajiremba na kujirembua kwa kasi ikiwemo kubadilisha maumbile yao kama MAKALIO.MATITI.NYWELE .MAKUCHA NK. na hata rangi zaoza...
  5. A

    JamiiForums Uzuri wa kazi ya shift

    Kazi ya shift inaweza kuwa shift ya asubuhi, mchana au usiku kutokana na ratiba inayowekwa na kiongozi. Ukiwa unafanya kazi ya shift, ni rahisi sana kuwakwepa wanao kudai. Ukipigiwa simu unasema niko kazini hakuna anaejua shift yako ya leo.
  6. Kasomi

    JamiiForums Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

    Hii hapa ni orodha ya Miji mizuri Tanzania. 1-Dar es Salaam (Mzizima) Eneo la mkoa ni jiji la Dar es Salaam ambalo ndilo kitovu cha shughuli za biashara (na za utawala, kwa kiasi fulani) nchini Tanzania, na ni kati ya majiji yanayokua haraka zaidi duniani. Ni km² 1,800 pamoja na visiwa vidogo 8...
  7. Mandela5599

    JamiiForums Jinsi nilivyopata mke, Mwanzo sikumpenda ila sasa nampenda sana

    Nilikuwa na mchumba wangu ambaye nilimpenda sana. Tulidumu kwenye mahusiano kwa miaka 4. Ujasiri wa kumpenda ulikua mkubwa sababu nilimjua tu baada ya yeye kumaliza kidato cha nne. Mtoto alikua na bikra na jinsi alivyokua mzuri ni kitu ambacho sikutarajia Wakati huo tulikua Arusha, nilihamia...
Back
Top Bottom