uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna hii Point ya TEC "Kanisa Lina uzoefu wa miaka mingi wa Kuishi na Serikali tofauti tofauti "... Kitima akasema 'Alikuwepo HITLER'

    Aione Samia Aione Wambura Aione Mombo Aione Abdul ,Mafwele, Kizigha, na genge lao lote. KAMWE ,HAMNA SERIKALI CHINI YA JUA ITAKAYOYUMBISHA KANISA !!..
  2. JamiiForums Tanzania Msaada tutani kwa mwenye uzoefu na madini ya vito

    Kwa mwenye ujuzi hii ni mali au ni mawe tu kama kuna anaejua anijuze tafadhari ni Vito vya aina gani hivi na soko lake ni wapi kwa Tanzania
  3. M

    JamiiForums Tanzania The Battle of AI : Kwa uzoefu na matumizi yako, ni AI ipi umetokea kuikubali zaidi ?

    Katika matumizi yako ya teknolojia ya Artificial Interlligence (AI) ni ipi umetokea kuikubali zaidi CHAT GPT (Open AI) GROK DEEP SEEK CO PILOT GERMINI (GOOGLE) n.k.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu, Nape Nnauye - hawana uzoefu wa kuwa Mawaziri?

    Wanajisikiaje kuwa sehemu ya Bunge hili. Yaani, ningekuwa ninyi ningefanya maamuzi mazito. Kaka Nape, hahahaha! Pole mwanangu
  5. JamiiForums Tanzania Uzoefu binafsi uwepo wangu ndani ya Burundi

    Hapa Rumonge ni Mji cool sana. Usiku,maeneo mengi yapo dull na low activities unless kwenye kumbi za kujirusha. Data, ipo chini sana buku tano ya Tz unaweza peruzi mwezi mzima. Kidnappers, ni hakuna hakuna kabisa. Warundi wanapenda wageni japo sijajitambulishi kama Mtanzania( nina ichukia...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mwenye uzoefu wa hii style humu?

    Kuna mwenye hii style? Inaitwa marehemu magawa mtegua mabomu?
  7. JamiiForums Tanzania Kuna ambae ana uzoefu wa kuzaa na mke wa mtu humu?

    Jamani wakubwa zangu shikamooni. Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa. Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
  8. JamiiForums Tanzania Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

    Wakuu. Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar. Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda...
  9. JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na vifaa vya kielectroniki, anapatikana, uzoefu wa kazi, ubora na uaminifu!

    Habari wanajukwaa, Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina. Huduma ninazotoa ni...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Habari zenu naomba kuuliza mwenye uzoefu na interview katika post ya assistant trade officer anipe muongozo notice za kusoma

    Samahani great thinker shida yangu nikujua muongozo vitu vya kusoma kwa anaeenda interview ya post ya assistant trade ooficer
  11. JamiiForums Tanzania Msaada Wadau Wenye Uzoefu Wa Biashara Ya Dry Cleaner.

    Jamii pendwa habari zenu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya dry cleaner imekuwa kwenye kitabu changu cha kumbukumbu kwa muda mrefu. Naomba msaada wamawazo gharama zake hasa za mtaji wa vitu vinavyohitajika Naishi Tanga Mjini
  12. JamiiForums Tanzania Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

    Habari wanajamii, Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali. Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanya biashara minadani naombeni uzoefu

    Habari zenu wa JF. Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha. Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa VW toureg

    habari wakuu ,, kama kichwa cha habari hapo juu , naomba uzoefu wenu kabla sijafahya haya maamuzi
  15. JamiiForums Tanzania Uzoefu katika maisha

    Unapopata changamoto katika maisha iwe ugonjwa,huzuni,msiba,kufilisika,uchungu moyoni,kuchanganyikiwa. Masikini tu ndio wanaoweza kukusaidia kwa moyo wa kweli. Kamwe usiende kwa tajiri. BELIEVE ME
  16. R

    JamiiForums Tanzania Usaili wa TARURA Julai 29, 2025

    Nauliza je Kuna wadau wanaopiga interview ya TARURA online
  17. JamiiForums Tanzania Bati za Sundar ni bora? Kwa wenye uzoefu tafadhali

    Swali langu
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mwenye uzoefu na bootloader unlocking kwa MediaTek chipsets?

    Nimetumia mtkclient na mtk bypass utility zote zinasema zime succeed ila bootloader bado ipo locked,ssimu ni oppo A53S 5G Model CPH2321
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa biashara ya kufungua collage ya urembo, mapambo na cherehani

    Najua humu kuna wengi wenye upeo zaidi ya wengine Kwa muda mrefu sana nimekuwa na hili wazo la kuanzisha ama Lengo ama ndoto Veta ndogo kwa ajili ya masuala ya urembo, Isusi na mapambo n.k Sasa huwa ninakosa pa kuanzia. Sijui. Cost yake yaani kiufupi sijui pa kuanzia Natamani kupata mtu wa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Watu wazima mliofika 45+, ni rika gani kwa uzoefu wenu uwezo wa sex na ku enjoy huwa kwenye peak ?

    Ni rika lipi Sexual perfomance huwa juu zaidi 18 - 24 25 - 29 30 - 34 35 - 39 40 - 44 45 - 49
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…