uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania TFSS 1.1

    Ni sawa na sh ngapi kwa mishahara ya tfs kwa sasa? Kwa mwenye uzoefu wakuu.
  2. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Prof. Riziki Shemdoe anatumia uzoefu wake vizuri katika utendaji kazi Serikalini, nampongeza

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesifu utendaji kazi wa Mbunge wa Lushoto ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe kwa namna anavyotumia uzoefu wake wa utendaji kazi Serikalini katika kuwahudumia na kuwaletea maendeleo...
  3. JamiiForums Tanzania Uzoefu ambao sitakuja kuusahau wa kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China pamoja na Wachina

    “Chun jie kuai le” ni maneno ambayo kwa sasa yanasikika sana masikioni mwa Wachina na wageni waliopo hapa China hasa kwa kuwa sasa tupo katika msimu wa mwaka mpya wa jadi wa China. Maneno haya yanamaanisha “Heri ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China”. Mimi nikiwa mgeni ambaye ninaishi China kwa karibu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya za Nissan Dualis kuwaka moto… Sio tatizo la kiwandani bali uzoefu mdogo wa mafundi wetu kwenye magari ya Nissan hata ukizingatia service

    Sio kwamba Nissan Dualis zina kasoro ya kiwandani hadi zote ziungue moto. Tatizo kubwa ni service duni na mafundi wasio wataalam wa Nissan. 1. Kuna Plastiki ya kuzuia joto (heat shield/insulation) nyuma ya engine na lipo karibu sana na bomba la moshi, loki za plastiki, zikipata joto kali...
  5. O

    JamiiForums Tanzania AUDIO DOCK ZA SAMSUNG KAMA DA-E750, DA-E670, and DA-E550, IPI NI BORA ZAID KATI YA HIZI NAFIKIRIA HII 550 KAMA KUNA MTU KADHATUNIA NIPE UZOEFU

    Vipi kuhusu ubora WA sauti, uimara n.k Extrovert
  6. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa interview ya NAOT

    Husika na kichwa Cha Uzi hapo juu, napenda kuomba na kukaribisha watu wenye uzoefu na interview za NAOT Kada ya Telecommunications Engineer (ukaguzi wa ki ufanisi-telecom engineer), wanipe mbili tatu hasa Kwenye usaili wa kwanza wa mchujo(njia ya mtandao), practical na oral
  7. JamiiForums Tanzania Mwafrika mwenzetu akielezea uzoefu wake katika Jeshi la Urusi wakipigana na Ukraine

    Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu. Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna hii Point ya TEC "Kanisa Lina uzoefu wa miaka mingi wa Kuishi na Serikali tofauti tofauti "... Kitima akasema 'Alikuwepo HITLER'

    Aione Samia Aione Wambura Aione Mombo Aione Abdul ,Mafwele, Kizigha, na genge lao lote. KAMWE ,HAMNA SERIKALI CHINI YA JUA ITAKAYOYUMBISHA KANISA !!..
  9. JamiiForums Tanzania Msaada tutani kwa mwenye uzoefu na madini ya vito

    Kwa mwenye ujuzi hii ni mali au ni mawe tu kama kuna anaejua anijuze tafadhari ni Vito vya aina gani hivi na soko lake ni wapi kwa Tanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania The Battle of AI : Kwa uzoefu na matumizi yako, ni AI ipi umetokea kuikubali zaidi ?

    Katika matumizi yako ya teknolojia ya Artificial Interlligence (AI) ni ipi umetokea kuikubali zaidi CHAT GPT (Open AI) GROK DEEP SEEK CO PILOT GERMINI (GOOGLE) n.k.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu, Nape Nnauye - hawana uzoefu wa kuwa Mawaziri?

    Wanajisikiaje kuwa sehemu ya Bunge hili. Yaani, ningekuwa ninyi ningefanya maamuzi mazito. Kaka Nape, hahahaha! Pole mwanangu
  12. JamiiForums Tanzania Uzoefu binafsi uwepo wangu ndani ya Burundi

    Hapa Rumonge ni Mji cool sana. Usiku,maeneo mengi yapo dull na low activities unless kwenye kumbi za kujirusha. Data, ipo chini sana buku tano ya Tz unaweza peruzi mwezi mzima. Kidnappers, ni hakuna hakuna kabisa. Warundi wanapenda wageni japo sijajitambulishi kama Mtanzania( nina ichukia...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna mwenye uzoefu wa hii style humu?

    Kuna mwenye hii style? Inaitwa marehemu magawa mtegua mabomu?
  14. JamiiForums Tanzania Kuna ambae ana uzoefu wa kuzaa na mke wa mtu humu?

    Jamani wakubwa zangu shikamooni. Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa. Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
  15. JamiiForums Tanzania Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

    Wakuu. Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar. Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda...
  16. JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na vifaa vya kielectroniki, anapatikana, uzoefu wa kazi, ubora na uaminifu!

    Habari wanajukwaa, Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina. Huduma ninazotoa ni...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Habari zenu naomba kuuliza mwenye uzoefu na interview katika post ya assistant trade officer anipe muongozo notice za kusoma

    Samahani great thinker shida yangu nikujua muongozo vitu vya kusoma kwa anaeenda interview ya post ya assistant trade ooficer
  18. JamiiForums Tanzania Msaada Wadau Wenye Uzoefu Wa Biashara Ya Dry Cleaner.

    Jamii pendwa habari zenu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya dry cleaner imekuwa kwenye kitabu changu cha kumbukumbu kwa muda mrefu. Naomba msaada wamawazo gharama zake hasa za mtaji wa vitu vinavyohitajika Naishi Tanga Mjini
  19. JamiiForums Tanzania Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

    Habari wanajamii, Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali. Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanya biashara minadani naombeni uzoefu

    Habari zenu wa JF. Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha. Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…