uzito

  1. M

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  2. JamiiForums Tanzania Afya ya Akili: This is big YES or big NO?

    Maisha yanakwenda kasi sana, huku joto kali sana na bado tunapewa taarifa kuwa kuna El Ninò inakuja, yaani purukushani kibao. Kila mtu anapitia changamoto za maisha kwa namna yake, wapo waliopoteza wapendwa wao, wapo waliofukuzwa kazi na kuna wengine wanaumwa magonjwa, kila mtu ana vita yake ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa IAA, tafadhali chukueni kwa uzito suala la weledi, maadili ya ufundishaji na usimamizi wa mitihani

    Kuna malalamiko yanayojirudia kutoka kwa wanafunzi, hasa katika ngazi ya Master’s, kuhusu namna baadhi ya mambo yanavyosimamiwa chuoni. Hili si suala la mwanafunzi mmoja; ni jambo ambalo wanafunzi wengi wamekuwa wakilizungumzia na kujaribu kulifuatilia bila kupata majibu au suluhisho la...
  4. JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Mahakama haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa kesi ya Lissu

    Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi 👇 Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
  5. JamiiForums Tanzania Dawa ya Ozempic ya kupunguza uzito imetufikia bongo?

    Dawa hii imekuwa mkombozi sana kwa watu wanaotaka kupunguza uzito. Kwa sababu ya bei ilikuwa inapatikana kwa matajiri tu. Karibuni walisema brands mbalimbali za bei rahisi zitaanza kupatikana. Zimetufikia maana naona na mastaa wa bongo wanaanza kukonda ghafla.
  6. JamiiForums Tanzania Nilikuwaga mnene/ubonge kilo 127 nikapunguza uzito mpaka kilo 71, baadhi ya watu wananisema nimekonda

    Unene karaha aisee, mda mwingine unashindwa hata kufunga kamba za viatu Sex ilikuwa naikimbia mwenyewe, nilitunukiwa na mtoto wa ki-ghana aisee akaja ghetto ghafla bin vuuh, aisee nilipiga viwili kitabu sana. Asili ya mwili wangu ni mwembamba na nilikuwa bize na kazi no relationship, no...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Libala: Siri na Uzito wa Ndoa: Je, Wimbo wa 'Libala' wa Reddy Amisi na Viva La Musica Bado Unafundisha Vijana wa Sasa?

    Wimbo wa "Libala" ulirekodiwa na bendi maarufu ya Viva La Musica ikiongozwa na nguli wa muziki Papa Wemba. Msanii Reddy Amisi alikuwa mmoja wa waimbaji wakuu na nguzo muhimu katika bendi hiyo kabla ya kuanza kufanya kazi kama msanii wa kujitegemea...
  8. JamiiForums Tanzania Je, mazoezi yana msaada wowote katika kupungua uzito?

    Daktari Selestin Mpiri anaeleza kuhusu umuhimu wa ulaji sahihi (diet) ikilinganishwa na mazoezi katika kupunguza uzito. Mazoezi pekee hayawezi kurekebisha au kufuta madhara ya ulaji mbaya. Ili kupata matokeo ya kupunguza uzito, lazima uunganishe diet nzuri pamoja na mazoezi. Ulaji (Diet) Una...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume anaona uzito kumuoa binti baada ya kuona post zake na comments zake mtandaoni

    Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi? Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana. Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi...
  10. JamiiForums Tanzania Uzito wa dunia yetu ni 6 septrilion kgs..

    Hivi walipimaje uzito huu,nikuulizeni chadomo maana nyie ndiyo huwa mnajua saaana kila kitu. (Tafakuri)
  11. JamiiForums Tanzania Video: Kwanini watu wanapata kitambi na jinsi ya kudhibiti uzito na kuzuia kitambi

    Nimejifunza mengi kutoka kwa huyu jamaa akieleza kwa kina na kwa lugha raisi jinsi ya kudhibiti uzito uliopindukia na kuzuia kitambi. Link ya video hii hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Toka nioe sijawahi fikisha wiki moja bila kudumbukiza nahisi kupungua uzito

    Ni miaka sita sasa toka niingie kwenye hii taasisi hivi nimepumzika ni siku mbili ya tatu mzigoni yaani imekuwa kama uraibu kiasi kwamba hata mke asipokuwa fiti nitatafuta ingine ya kuazima kwa muda hadi nahisi kupungua uzito Kiukweli najuta kubalehe! Wallahi najuta kuzijua izi starehe!! Vipi...
  13. JamiiForums Tanzania Ma CCM yangemuachia Lissu, wakazungumza naye, Uzito wa Oktoba 29 ungepungua, na Pengine Lissu angesawazisha hili suala kwa US na Ulaya

    Ila kama kawaida, Ma CCM hayana akili, Yana viburi Yanangoja tu ICC na Vikwazo . Bado RAIA titaandamana kama kawaida Mkiua tena ni Moto, msipoua , tunaingia Ikulu !!! Mtachagua wenyewe aaaahhh!!.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuligana na uzito wa cv zao humu JF, haya ni makadirio ya bei za kuomba upigiwe debe biashara au jambo lako na hawa wanachama maarufu

    Ni makadirio tu kulingana na cv zao nzito humu JF Kuwaomba watu hawa wakutangazie biashara yako kwa kuiingiza kijanja kwenye post zao au kuwaomba wakusaidie field waliyobobea, waweza gharamika kiasi hiki Chief-Mkwawa - 200,000 electonics na tech Mshana Jr - 300,000 dawa za mitishamba na...
  15. JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza uzito

    Skip breakfast mchana kula kwa kiasi tena mchemsho mpaka kesho mchana tena Achana na sukari mafuta pombe na vyakula vya kukaanga, yote kwa yote fasting ndio mpango mzima
  16. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi: Je, tunachukulia kwa uzito wa kutosha?

    Katika dunia ya leo, hotuba ya kiongozi si maneno tu—ni taswira ya taifa, dira ya wananchi, na wakati mwingine ni ujumbe wa kimataifa unaobeba heshima au aibu ya nchi. Ndiyo maana inapotokea hotuba yenye makosa ya wazi ya lugha, taarifa zisizo sahihi, au ujumbe usioeleweka, wananchi wengi...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati wa Ramadhan na Kwaresma watu wanaongezeka au wanapungua uzito?

    Nimekua najiuliza sana. Watakaobainika wameongezeka uzito warudie funga.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  19. JamiiForums Tanzania Uzito stahili kulingana na kimo cha urefu wako ( Ideal height vs Weight)

    Yazingatie haya;
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini dhambi ya riba haipewei uzito mkubwa kwa washika dini ya Uislamu ?

    Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo? Ni mazingira gani ambayo yanaruhusu waumini kushiriki biashara za riba bila kupata dhambi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…