Timu ya Wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive ya Msanii maarufu wa Marekani, Alicia Keys, imewasili nchini Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl.Julius K. Nyerere tayari kwa ajili ya kwenda Wilayani Kwimba Mkoani kwenye uzinduzi wa jengo la kisasa la kuhudumia Watoto...
Hatimaye CAF imethibitisha kuwa Tanzania itakuwa miongoni mwa waandaaji wa AFKON. Kwakuwa serikali iliyopo ni HARAMU, natoa wito wa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia tarehe ya uzinduzi wa AFCON mpaka kieleweke.
Wageni waliopangwa kuja wajulishwe kabisa kuwa tunawakaribisha, lakini tutakuwa na...
https://www.youtube.com/live/PjZMsQ0hrxU
Akizungumza katika uzinduzi wa Mpango wa Ushirikiano kati ya Taasisi za Elimu na Sekta ya Viwanda uliofanyika leo, Februari 9, 2026, jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahimiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo lililopo Ilala Jijini Dar es Salaam.
Prof. Shemdoe ameyasema hayo leo Februari 07, 2026 alipotembelea...
Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
https://www.youtube.com/watch?v=od8VaTsRChE
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema kuwa Mahakama sasa...
AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco
Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste...
Mtawala wa mabavu anajielewa kweli yani picha linaanza anatoa majibu ya tumeyake aliyozindua.kuwa vijana waliandamana wamelipwa mara nywinywi na nyonyo za sijui siju nani.
Katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Jimbo la Buchosa, mgombea Eric Shigongo, Septemba 3, 2025 ameeleza namna ambavyo serikali imefanikisha maboresho ya miundombinu mbalimbali na kutatua changamoto zilizokuwa zikiwakabili wananchi.
Miongoni mwa mafanikio yaliyotajwa ni pamoja na ujenzi na...
Polepole amendelea kutufumbua macho.
Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale!
Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe?
"Wanasomeka Polepole na Gwajima kuwa kuna serikali ndani ya serikali."
Yote tisa haya mambo strange, anayodokeza Polepole yanaweza...
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.
Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni...
Kampeni zimenogeshwa sana na hoja ya JK ya kupangua hoja za wachukia CCM.
Kwa sasa CCM yetu ni hoja za wenye chuki binafsi tu ndiyo zinatutesa. Tukiweza kuzipindua hizo basi tunashinda vizuri sana sana.
Ukizingatia tulishatoa baiskeli, boda boda na hata wagombea uRais wa vyama vinavyotupinga...
Balozi anasema usafiri wa kwenda na kurudi upo. Hivyo anatafuta watu wa kujaza magari ya kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba.
Wakazi wa dar es salaam mmekumbana na hali hii kama huku kwetu?
Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%.
Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa watanganyika.
Inasikitisha zaidi pale wanapo jifanya kama.hawaoni uhalisia.
Ipo shida kwenye usimamizi wa hiyo...
eneo kubwa la bandari kavu ya kwala ni pori tu, limejaa nyasi tu, ila wamejenga kisehemu cha kuwekea hayo ma container kidogo sana, halafu rais ndio anaenda kukizindua,
why wasijenge mpaka bandari kavu ikakamilika ndipo wakamuita rais akazindue ?
Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
Hii mada nimeamua kuileta kwenye jukwaa hili baada ya tafakuri ya muda mrefu.Baada ya tafakuri nimeitimisha kama ifauatavyo.
1.Kuruhusu kelele mahali panapohitaji utulivu ni ukusefu wa userious kwenye mambo yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu.
2.Kupiga kelele kipindi viongozi wanautubia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.