uzazi

The term Uzazi refers to the dried fruit of the West African deciduous shrub Zanthoxylum gilletii, syn. Fagara tessmannii, a member of the 'prickly ash' Zanthoxylum family. The name of the spice is derived from Igbo, a language in Nigeria, where the spice is grown and harvested on a commercial basis. Zanthoxylum gilletii is a close relative of the Sichuan pepper, and uzazi has a similar taste profile to the Asian spice. However, unlike Sichuan pepper where only the pericarp of the fruit is used, uzazi is used whole (both pericarp and seed). This may explain why uzazi has a spicier flavour and greater pungency than sichuan pepper.
Even in West Africa this is a rare spice, and typically only five or six dried fruit are added to a dish.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Machumu: Rais Samia ameteuliwa kuwa kinara wa Umoja wa Afrika katika masuala ya Afya ya Uzazi Mama na Mtoto

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amezungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 16, 2026. Machumu amesema sehemu ya mafanikio ni Rais Samia kuteuliwa kuwa...
  2. N

    Je, njia ya kufunga uzazi kwa Mwanaume inapunguza nguvu za kiume?

    Hii dhana umekuwepo kwa Watu wengi sana, wapo wanaoamini kuwa Mwanaume akifunga uzazi basi inamaanisha nguvu zake za kiume nazo zinapungua. Wataalam wa Afya hawa hapa wanasema dhana hiyo siyo ya kweli. Wataalam wanasema “Njia ya kufunga uzazi kwa mwanaume (Vasectomy) haithiri nguvu za kiume...
  3. Tlaatlaah

    Ulegevu wa via vya uzazi husababaishwa na nini kingine zaidi ya umri wa muhusika?

    Ipo changamoto ya uke wa mwananmke kua legevu sana, uliopoa na usio na ladha kabisa, lakini pia uume wa mwanaume kua legevu na usioweza kufanya chochote. Wanaume wengi wenye changamoto hii huishia kujificha kwenye kutumia mdomo kulamba au kunyonya uke wa mwanamke kuficha fedheha hiyo. Na...
  4. N

    Uzazi wa mpango upi salama?

    Habari wana JF?. Mimi Niko kwenye ndoa mwaka wa pili, nimebahatika kupata mtoto Mmoja ana mwaka na miezi miwili saiv. Tulikuwa tunatumia njian ya UZAZI WA MPANGO WA kitanzi na mke WANGU, na kitanzi chenyewe kawekewa kina kama miezi nane tu ila chakushangaza alikuwa hajaingia period tangu wiki...
  5. Jay El

    SI KWELI Uume wa mtoto ukidondokewa na kitovu chake huacha kusimama

    Je ni imani za kweli kuwa kitovu cha mtoto mchanga kikiangukia uume huyo mtoto atakua hasimamishi? Wajuvi wa mambo tunaomba mtusaidie.
  6. Fascinating

    Maswali Tisa Yanayopaswa Kujibiwa Kabla ya Kuamua Kuitwa Baba au Mama

    Habari za wakati huu wakuu, Mara nyingi tunasherehekea "ujauzito" na "kujifungua," lakini tunasahau kuwa kuitwa mzazi ni mkataba wa maisha yote ambao hauna likizo. Uzazi bora hauanzi wodini; unaanza kichwani na moyoni mwa mzazi kabla hata mtoto hajatungwa. Kama unafikiria kuingia kwenye hatua...
  7. Cyclopedia

    Wanawake wengi hawana Elimu ya uzazi

    Kwa nini ubebe mimba ya mtu ambaye hajaitaka!! Kisa kinaanza kuna mwanamke mmoja (mchepuko) nilikuwa na mahusiano nae siku moja niliruka nae ila kabla ya sex alinihakikishia kuwa ana kijiti cha uzazi wa mpango ila kushangaza siku ya jana sina hili wala lile naona sms inaingia anadai ana...
  8. The Tai

    SAFARI YA UZAZI: Mwongozo wa Afya ya Mama na Mtoto Katika Hatua Zote za Mimba na Baada ya Kujifungua.”*

    HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima. Tunapozungumzia uzazi, hatuzungumzii tu tukio la maisha, bali tunazungumzia mwanzo wa kizazi kipya mwanzo wa matumaini...
  9. VictoriaGreenHerbal

    Dawa ya Chango la Uzazi

    Chango la uzazi ni tatizo kubwa linaloshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke. Tatizo hili humsababishia maumivu makali ya tumbo, kushindwa kubeba ujauzito, au mimba kuharibika mara kwa mara muda mfupi baada ya kutungwa. Mara nyingi chango la uzazi husababishwa na vifuko vya mayai ya uzazi...
  10. Nkulu wa nchito

    Njia za uzazi wa mpango

    Nauliza eti hizi njia za uzazi wa mpango kuna baadhi ya wanawake zinawaathiri wasiwe na hamu ya kufanya mapenzi au anatumia sababu hiyo kuninyima mbususu
  11. Raia Fulani

    Mada maalum kwa suala la changamoto ya uzazi kwa mwanamke

    Suala la uzazi hasa kwa karne hii imekuwa ni changamoto sana. Idadi kubwa ya wanawake inakumbwa na changamoto.za uzazi kwa wakati na pengine kupelekea utasa. Lipo jambo moja ambapo umri wa mwanamke unapoonekana kwenda sana na hakuwahi kuzaa, kuna uwezekano mkubwa apate changamoto uzazi pale...
  12. Think2

    Wadada wanengua viuno vya uzazi majukwaani bila aibu .

    wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ? 😁😁😁ila wanajua daah au basi
  13. AskariKanzu

    Vidonge vya kuzuia Uzazi kwa Wanaume mbioni kuingia Sokoni

    Mamlaka ya chakula na dawa nchini marekani ilipitisha njia mbalimbali zaidi ya 20 za uzazi wa mpango. Njia mbili tu zimethibitishwa kwa wanaume kuweza kuzuia mimba kwa wapenzi wao nazo ni kondomu na kufunga kizazi(vasectomies). Asilimia 25% ya wanawake wanatumia njia ya kutumia vidonge kupanga...
  14. M

    Kwa nini ujauzito na Uzazi huwapenda watu wasio na pesa?

    Habari wadau, binafsi najiuliza Kwa nini ujauzito na uzazi huwapenda watu wasio na pesa? hawa watu, wanapata mimba kwa urahisi sana na haziharibiki na wanazaa bila matatizo. Ila sasa wale wenye pesa wanateseka sana kuanzia kupata mimba, miscarriage na hata uzazi wenye mateso mengi. Why...
  15. Damaso

    Je biashara ya Kondo la uzazi la Mbwa ina ukweli?

    Leo asubuhi nikiwa zangu mtaani nanyoosha miguu nikakutana na swahiba yangu mmoja ambaye aliomba kuzungumza na mimi. Tulitafuta sehemu tukakaa na kuanza kuzungumza. Tulijuliana hali na kuelezeana machache kuhusu maisha, na nilipomuuliza kuhusu harakati zake za maisha alidai kuwa anafanya kazi...
  16. Just Pray

    Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  17. Dr Luu

    Kwa wanaume tu: unasumbuliwa na matatizo ya uzazi? Sperm counts, pre ejaculation, infertility hii ni kwaajili yako

    Habari za wakati huu, kama headline inavyoeleza. Naenda kwenye mada 1/1. Wanaume Wanaweza Kufanya Nini ili kukabiliana na changamoto hizi? Wanaume wanaweza kufanya mabadiliko kadhaa katika maisha yao ya kila siku ili kusaidia uzazi wao kwa kuongeza idadi yao ya manii na motility, kujipa nafasi...
  18. Mshana Jr

    Uzazi wa kushangaza wa chura

    Katika hali ya kawaida maisha huanza kutoka tumboni iwe yai, iwe mimba ama funza, lava na hata kiluwiluwi Lakini kwa chura wa Suriname, uzazi wake huanzia .. Yaani mgongo hupasuka na vitoto vichanga hutoka! Iko hivi Baada ya kujamiiana, jike huchukua mayai yaliyorutubishwa kwenye mgongo wake...
  19. immortanity

    Mwanamke mwenye uvimbe anaweza kushika mimba?

    Msaada tafadhali wakuu Hivi mwanamke mwenye uvimbe tumboni namaanisha kwenye mfuko wa uzazi uterus anaweza shika mimba na kuzaa?
  20. JanguKamaJangu

    Serikali yabaini Saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ni Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi wa Kina mama, Damu, macho na figo

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo. Ameeleza kuwa visababishi...
Back
Top Bottom