uzazi

The term Uzazi refers to the dried fruit of the West African deciduous shrub Zanthoxylum gilletii, syn. Fagara tessmannii, a member of the 'prickly ash' Zanthoxylum family. The name of the spice is derived from Igbo, a language in Nigeria, where the spice is grown and harvested on a commercial basis. Zanthoxylum gilletii is a close relative of the Sichuan pepper, and uzazi has a similar taste profile to the Asian spice. However, unlike Sichuan pepper where only the pericarp of the fruit is used, uzazi is used whole (both pericarp and seed). This may explain why uzazi has a spicier flavour and greater pungency than sichuan pepper.
Even in West Africa this is a rare spice, and typically only five or six dried fruit are added to a dish.

View More On Wikipedia.org
  1. Nkulu wa nchito

    JamiiForums Tanzania Njia za uzazi wa mpango

    Nauliza eti hizi njia za uzazi wa mpango kuna baadhi ya wanawake zinawaathiri wasiwe na hamu ya kufanya mapenzi au anatumia sababu hiyo kuninyima mbususu
  2. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa suala la changamoto ya uzazi kwa mwanamke

    Suala la uzazi hasa kwa karne hii imekuwa ni changamoto sana. Idadi kubwa ya wanawake inakumbwa na changamoto.za uzazi kwa wakati na pengine kupelekea utasa. Lipo jambo moja ambapo umri wa mwanamke unapoonekana kwenda sana na hakuwahi kuzaa, kuna uwezekano mkubwa apate changamoto uzazi pale...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Wadada wanengua viuno vya uzazi majukwaani bila aibu .

    wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ? 😁😁😁ila wanajua daah au basi
  4. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania Vidonge vya kuzuia Uzazi kwa Wanaume mbioni kuingia Sokoni

    Mamlaka ya chakula na dawa nchini marekani ilipitisha njia mbalimbali zaidi ya 20 za uzazi wa mpango. Njia mbili tu zimethibitishwa kwa wanaume kuweza kuzuia mimba kwa wapenzi wao nazo ni kondomu na kufunga kizazi(vasectomies). Asilimia 25% ya wanawake wanatumia njia ya kutumia vidonge kupanga...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ujauzito na Uzazi huwapenda watu wasio na pesa?

    Habari wadau, binafsi najiuliza Kwa nini ujauzito na uzazi huwapenda watu wasio na pesa? hawa watu, wanapata mimba kwa urahisi sana na haziharibiki na wanazaa bila matatizo. Ila sasa wale wenye pesa wanateseka sana kuanzia kupata mimba, miscarriage na hata uzazi wenye mateso mengi. Why...
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je biashara ya Kondo la uzazi la Mbwa ina ukweli?

    Leo asubuhi nikiwa zangu mtaani nanyoosha miguu nikakutana na swahiba yangu mmoja ambaye aliomba kuzungumza na mimi. Tulitafuta sehemu tukakaa na kuanza kuzungumza. Tulijuliana hali na kuelezeana machache kuhusu maisha, na nilipomuuliza kuhusu harakati zake za maisha alidai kuwa anafanya kazi...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  8. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: unasumbuliwa na matatizo ya uzazi? Sperm counts, pre ejaculation, infertility hii ni kwaajili yako

    Habari za wakati huu, kama headline inavyoeleza. Naenda kwenye mada 1/1. Wanaume Wanaweza Kufanya Nini ili kukabiliana na changamoto hizi? Wanaume wanaweza kufanya mabadiliko kadhaa katika maisha yao ya kila siku ili kusaidia uzazi wao kwa kuongeza idadi yao ya manii na motility, kujipa nafasi...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa kushangaza wa chura

    Katika hali ya kawaida maisha huanza kutoka tumboni iwe yai, iwe mimba ama funza, lava na hata kiluwiluwi Lakini kwa chura wa Suriname, uzazi wake huanzia .. Yaani mgongo hupasuka na vitoto vichanga hutoka! Iko hivi Baada ya kujamiiana, jike huchukua mayai yaliyorutubishwa kwenye mgongo wake...
  10. immortanity

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye uvimbe anaweza kushika mimba?

    Msaada tafadhali wakuu Hivi mwanamke mwenye uvimbe tumboni namaanisha kwenye mfuko wa uzazi uterus anaweza shika mimba na kuzaa?
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yabaini Saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ni Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi wa Kina mama, Damu, macho na figo

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo. Ameeleza kuwa visababishi...
  12. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Toka nifanyiwe operesheni ya uzazi memory yangu imekuwa ndogo sana

    Naombeni wataalamu wanisaidie toka nifa.nyiwe upasuaji memory yangu imekuwa ndogo Sana yaani Nasahau haraka Naombeni kama kuna dawa au hii Hali itaisha lini. Kwa Hali hii unaweza.kujikuta umelala hata na jirani
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania UMATI - Tanzania, msipojipanga ,kubana matumizi, mradi wa afya ya uzazi, unakufa asubuhi na mapema, kufuatia kujiondoa kwa Marekani WHO!

    Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya uzazi. Hali hii inasababisha changamoto kubwa katika utekelezaji wa mipango ya afya, hasa katika...
  14. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Sitakuja kumsahau huyu daktari kwa alichonifanyia

    Wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza kuna daktari nafikiri alikua bado ni mwanafunzi Muhimbili alinishika mkono kwa zaidi ya lisaa limoja wodini akinituliza, na kunitia moyo. Yule daktari alikaa pembeni ya kitanda changu akawa ananiambia itakua fine, itakua fine, kwa sababu niliingiwa hofu...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli mwanamke akitumia sindano za kuzuia mimba, zinaweza kukausha mayai ya uzazi?

    wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya...
  16. ephen_

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kumpaka mtoto aliyezaliwa damu ya uzazi?

    Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua. Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi. Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno. Inasaidia mtoto asipate husda yoyote...
  17. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mirija Ya Uzazi Kujaa Maji.

    Mirija ya uzazi kujaa maji ni hali ambapo mirija ya uzazi hujaa majimaji na kuvimba, jambo ambalo linaweza kuzuia mimba kutungwa na kusababisha ugumba kwa mwanamke. Tatizo la mirija ya uzazi kujaa maji hujulikana kwa kitaalamu kama Hydrosalpinx. Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia...
  18. Fallback

    JamiiForums Tanzania Hizi ni salamu zangu za Pole kwa Wanawake wote mnaopitia Changamoto ya Uzazi

    Wakuu. Leo ngoja nije niwape pole mama zetu, dada zetu na wadogo zetu wa kike wanaopitia changamoto za uzazi. Hauwezi amini ila amini amini nakuambieni maumivu ya mwanamke ya kuishi bila kua na mtoto wa kumzaa hayazungumziki na hayachunguziki. Poleni sana wanawake wote mnaopitia changamoto za...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

    Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
  20. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa ni zao la mfumuko wa gharama za maisha na wahanga ya wanawake wasiojielewa

    Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
Back
Top Bottom