uzalishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stunnaman008

    Msemaji wa IRGC: Uzalishaji wa makombora unaendelea hata wakati wa vita

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema: "Hakuna wasiwasi katika uwanja wa makombora kwa sababu tunazalisha makombora hata wakati wa vita, jambo ambalo linashangaza, na hakuna tatizo maalumu katika suala la hifadhi ya makombora yetu." Brigedia Jenerali Ali...
  2. Smartkahn

    Kitengo Cha Uzalishaji mazao chini ya wizara ya Kilimo

    Training, Research, Regulations and PRODUCTION. 1). Utafiti wa kilimo(TARI) 2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI) 3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA) 4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA) 5). FIELD(condition) CROP PRODUCTION (FCP). Mashamba darasa yawe darasa kweli kweli sio kuzugazuga...
  3. JanguKamaJangu

    Waziri Patrobas Katambi: Gerezani siyo sehemu ya adhabu tu, ni sehemu ya uzalishaji

    Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo ikiwemo Wafungwa 209 waliohitimu Masomo ya Ujasiriamali katika Chuo cha Uhasibu Arusha na wafungwa 201...
  4. Mad Max

    Elon Musk ametangaza kua Tesla watasitisha uzalishaji wa Model S na Model X kuanzia Q2 ya 2026!

    Tajiri Elon Musk ametangaza kua kampuni ya Tesla itasitisha uzalishaji wa magari yake Model X na Model S. Tajiri kasema factory zilizokua zinazalisha ayo magari zitafocus kwenye marobot yake ya Optimus.
  5. Roving Journalist

    Kampuni ya Raddy Energy ya Tanzania kununua mitambo ya uzalishaji umeme kutoka Uswidi kwa Dola Milioni 320

    Kampuni ya Raddy Energy Solution Limited ya Tanzania imeingia makubaliano ya kununua mitambo minne ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia wa jumla ya megawati 177 kutoka kampuni ya Siemens Energy ya Uswidi (Sweden) kwa thamani ya dola za Marekani milioni 320. Ununuzi wa mitambo hiyo...
  6. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Tanzania namba 2 kwa uzalishaji wa mazao Afrika 2025, yazilisha Tani milioni 10 za mahindi

    Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, akiwa Vwawa, Songwe, Sept 3, 2025 ameisifa Tanzania kuwa kinara wa Uzalishaji mahindi. Ndani ya nchi watanzania wanazalisha zaidi mahindi ikifuatiwa na mpunga. Wataalamu wa kilimo wanasema 60% ya mazao ya Afrika ni ngano, mahindi na mpunga, hata hivyo wanashauri...
  7. Jesusie

    Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  8. M

    Prime Mushrooms Tanzania; Wataalamu wa uzalishaji wa mbegu bora za uyoga.

    Prime Mushrooms Tanzania ni kampuni inayoongoza katika uzalishaji wa mbegu bora za uyoga nchini. Tunajivunia kutumia sayansi na teknolojia ya kisasa kuhakikisha tunazlisha mbegu zenye kiwango cha juu, salama na zenye matokeo ya uhakika kwa wakulima wa uyoga. kwanini uchague Prime Mushrooms...
  9. J

    RC Paul Matiko: Uzalishaji wa Maziwa Mkoa wa Tabora umeongezeka kwa 200%

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa kuhudumia ng’ombe 889,183. Ananendelea kwa kusema Serikali pia imetoa pikipiki 44 kwa maafisa mifugo...
  10. J

    Uzalishaji wa Tumbaku umeongezeka mara mbili kwa kipindi cha miaka minne

    Akiongea na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora anasema Serikali ya Awamu ya Sita imetoa TZS 52.8 bilioni kwa ruzuku ya mbolea, mbegu na miradi ya umwagiliaji ili kuongeza tija na usalama wa chakula. Skimu za umwagiliaji nazo zimeongezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 46 mwaka 2025 na eneo...
  11. kyakakombo

    Natafuta wanaozalisha inzi aina ya Black Soldier kwa ajili ya uzalishaji wa funza

    Wadau Amani iwe kwenu Nimefuatilia kwa wenzetu huko Nigeria wanaozalisha funza agotti) kwa ajiri ya chakula cha kuku kwa kutumia inzi waitwao Black Soldier Nauliza kwa hapa Tanzania wapi naweza kupata hawa inzi ili nitumie kwenye ufugaji wangu wa kuku
  12. M

    RC Mboni Mhita: MKoa wa Shinyanga Uzalishaji wa mazao umeongezeka hadi Tani 1,500,000 kutoka Tani 900,000

    Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu. Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
  13. Masalu Jacob

    Vijana Village Funds: Mikopo isiyo na riba lengo kuishi vijijini na kufanya uzalishaji

    Habari Tanzania ! Naomba kuweka mawazo mseto kwa maendeleo ya nchi yetu. Naomba paanzishwe " Vijana Village Funds" huu uwe mfuko wa ukopeshwaji kwa vijana kwenda kuishi Vijijini na kuhakikisha wanaanzisha maendeleo na kuwa wazalishaji bora wa bidhaa mbalimbali kutokana na asilia ya eneo...
  14. X

    Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️ 1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt 2. 🇮🇳 India – 149 Mt 3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt 4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt 5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt 6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt 7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt 8. 🇩🇪 Germany – 37 Mt 9. 🇧🇷 Brazil – 34 Mt 10. 🇮🇷 Iran – 31 Mt 🌎 Rest of the World – 293Mt (in...
  15. L

    Baada ya Kuitangaza Bidhaa kwa Miaka Mitano Anaamriwa Kusitisha Uzalishaji na Bidhaa inaanza kuzalishwa na Mtu mwingine

    Leo nitakusimulia story yenye machozi ya damu ya mahasimu wawili wa biashara kwenye Sekta moja, "alcohol" Mr. Jackson (fiction name) ni Mmiliki wa Kampuni ya SIMBA inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe Kali tuiite NDOVU. Ana mpinzani wake kwenye Sekta hiohio Mr. Juma (fictional...
  16. Fbn

    China Yazindua Uzalishaji wa Chipu za AI Zinazotumia Mantiki Isiyo ya Kawaida (Non-Binary AI Chips)

    China imeanza uzalishaji kwa wingi wa chipu za kisasa za akili bandia (AI) zinazotumia mfumo usio wa jadi wa “non-binary” — yaani hazifanyi kazi kwa mfumo wa kawaida wa tarakimu mbili (binary) wa 1 na 0 pekee. Badala yake, chipu hizi zinaweza kuchakata taarifa kwa kutumia hali ya uwezekano...
  17. L

    Mji wa Puer wajibebea umaarufu Asia Mashariki na kwingineko kwa uzalishaji wa Chai yenye ladha tamu ya Pu’erh

    Wakati nilipotembelea mkoa wa Yunnan moja ya mambo ambayo sitakuja kuyasahau ni kupita katika eneo maarufu la Chai ya Pu’erh. Katika safari yangu ya treni wakati natoka Kunming mji mkuu wa mkoa wa Yunnan kuelekea Xishuangbanna, tulipitia kituo kimoja kiitwacho Puer. Mji huu wa Puer ambao upo...
  18. Kinyungu

    Kwanini Watanzania wazawa hawaanzishi viwanda vikubwa vya uzalishaji kama Wahindi, Waarabu na Wazungu?

    Ukichunguza kwa makini mwenendo wa uwekezaji wa Watanzania wazawa (weusi), kuna swali la msingi ambalo tunapaswa sisi kama wazawa wa nchi hii kujiulizwa kwa ujasiri na kutafuta majibu yenye mantiki ya kijamii, kiuchumi na kihistoria. Swali hili la muhimu linatokana na ukweli kwamba wanaoshikilia...
  19. I

    Kampuni hizi zinasema kuwa zinawekeza zaidi katika uzalishaji bidhaa nchini Marekani huku ushuru (Tariffs) unapoanza kutumika

    Kampuni hizi zinasema kuwa zinawekeza zaidi katika uzalishaji bidhaa nchini Marekani huku ushuru (Tariffs) unapoanza kutumika. Tangu kuanza kwa muhula wa pili wa rais Trump, mashirika kadhaa yametangaza mipango ya kupanua uwezo wao wa uzalishaji nchini Marekani. Matangazo hayo yanakuja wakati...
  20. O

    Tanzania Kama Kiongozi wa Uzalishaji wa Mazao ya Kilimo Katika Afrika Mashariki: Uchambuzi Kutokana na Picha ya Satelaiti

    Kutokana na picha ya satelaiti ya eneo la Afrika Mashariki, Tanzania inaonekana kuwa mgombea bora wa uzalishaji wa mazao ya kilimo kutokana na mambo kadhaa ya kijiografia na kimazingira yanayoonekana kwenye picha: 1. Eneo Kubwa la Ardhi Uchunguzi: Tanzania ina eneo kubwa la ardhi ukilinganisha...
Back
Top Bottom