Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.
Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya vijana nchini.
Katika barua hiyo iliyotolewa hivi karibuni, jukwaa...
Mpo radhi muweke matches za huko Uk kwenye TV zenu kuliko ya ndugu zenu hapa hapa nchini? Sehemu nyingi za Public tumeona mkiwa mnaweka ligi ya Uingereza kuliko match yetu tunayochezs tena kwenu? Yanga tunajaribu kuiheshimisha Zanzibar ila yenyewe naona kama inakaza fuvu kubazi kabisa
Miongoni mwa maazimio ya wazee waliokutana leo kujadili kilichotokea Oktoba 29 ni kuundwa kwa Baraza la Taifa la Vijana litakalolenga kuleta maendeleo na kuimarisha uzalendo miongoni mwa vijana. Kauli hiyo imetolewa leo, Januari 22, 2026.
Wanaotetea nchi yao wanaitwa majina, wachochezi, waliohongwa, wanaotumiwa na mabeberu, wahaini na kadhalika. Ajabu wanaiibiana kuiuza nchi wanajiita wazalendo,walinzi wa amani, na majina mengine mengi mazuri.
Walioko nje wakilalamika wanaitwa mawakala wa mabwana zao.
Serikali zikiishi kwa...
Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini.
OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
Chama Cha Mapinduzi kimesema hotuba iliotolewa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan alipozungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam ,ameonyesha kina cha uelewa alionao, ukomavu na uungwana wake kisiasa.
Pia CCM kimeitaja hotuba hiyo imeshiba uzalendo, historia na yenye kuhimiza haja na...
Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara...
Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua...
Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Paul John Mselle ametoa ufafanuzi kuhusu kampeni mpya ya “Mjue Jirani Yako”, akisema inalenga kuongeza usalama wa kijamii na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na Morning Jam ya Capital Radio, Mselle amesema kampeni hiyo ni...
Ndugu zangu,
Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa.
Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
Hawa jamaa mungu ana mpango nao kama kweli waliapa kuilinda katiba,rasilimali na watu wake kwa wivu mkubwa haya ndo majaribio matatu makubwa wanapewa sasa.
1. March 17 Mwaka 2021 Walishindwa kutetea katiba Visingizio kibao pamoja nakuonywa na wazalendo ona sasa yanayotokea
2. October 29 Mwaka...
Rais Samia ili kulinda heshima yake aliyoijenga muda mrefu kwenye siasa ni vyema washauri wake wamshauri kuwajibika kujiuzulu
Wote tunajua na kutambua uongo na ulaghai wa iNEC kuwa Watanzania 32M walipiga kura
Ni uongo kuwa Samia alipata kura 31M
Ni uongo kuwa Samia Kwa Watanzania zaidi ya...
Hivi ni kweli kabisa?
Inadhaniwa watu zaidi ya ten thousand wamekufa, ni kwa ajiri tu ya watu wachache waendelee kuwa na vyeo vyao?
Na sasa nchi yetu imetengwa na kufungiwa misaada n.k, bado ni kwa ajiri ya mtu mmoja?
Embu piga picha, baada ya hapa, maisha ya watu yatakuwaje? Ni kwa sababu...
Wino wa Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook;
Kuna kilio na kijembe kimezoeleka masikioni: Kinahusu watu walio nje kuwa ni wachochezi. Kina kasoro nyingi, nashauri kiachwe.
a). Watu si wajinga kushawishiwa wasichopenda. Kama huamini, nawe...
Mange na Sarungi ni wazalendo kuliko hata Samia! Uzalendo ni vitendo. Mama pekee na mafisadi wenzake ndiye mnufaika na mauaji na chaguzi fake.
Hakuna faida yeyote kwa nchi zaidi ya matumbo yao. Ni bora wale wanaharakati ambao wameacha shughuli za kuwaingizia pesa na kupigania haki kwa vijana...
Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi.
Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
Kwa upande wa Jeshi sina cha kuongeza kila mtu ameona namna walivyoviishi viapo kwa Taifa lao.
Kwa upande wa police nanyi mmeonyesha kumbe nanyi mpo conscious japo mwanzo nilikuwa nawatazama kwa sura hasi sana.
ufyatuaji wenu wa mabomu ya machozi umedhihirisha kuwa hamkuwa na nia ovu mioyoni...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeendelea kuwa nguzo ya ulinzi, amani na uzalendo wa kweli kwa taifa. Ni taasisi yenye heshima kubwa, ndani na nje ya mipaka yetu. Nidhamu yake, utii kwa taifa, na msimamo wa kutanguliza maslahi ya Watanzania ni mambo yanayolifanya JWTZ kuwa taasisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.