uwezekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Kiongozi mpya wa Iran amejeruhiwa na kuna uwezekano kalemazwa.

    Kiongozi mpya wa Irani "amejeruhiwa na kuna uwezekano kulemazwa," Hegseth amesema katika mkutano wa hivi punde wa Pentagon. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. Pete Hegseth alianza mkutano wake na Pentagon Ijumaa akisema kiongozi mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei "amejeruhiwa na kuna uwezekano wa...
  2. T

    Nilikuwa nasoma kuhusu HIV nimegundua kuna uwezekano vijana wengi sana ni waathirika wasiojua

    Baada ya maambukizi , inachukua miaka 10 hadi 15 mtu kuanza kuona dalili za hiv, Kumbe wengi wazinzi naweza sema watoto wa 2000s walioanza uzinzi let's say 2018 wakiwa na miaka 18+, Dalili wanaweza kuanza kuziona around 2028 kuendelea. Kipindi chote hiki wanaweza kuishi kwa kuwaambukiza...
  3. Keynez

    Kuna uwezekano wa uwanja wa Arusha usipewe jina la Samia?

    Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia. Naona kuna kasi ya...
  4. U

    Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

    Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
  5. Rijali jandoni

    2030 na baada ya hapo, kuna uwezekano wa kuundwa Chama kipya chenye ushawishi au serikali ya mseto

    Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo...
  6. Keynez

    Kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027

    Bila juhudi za kweli, za dhati na makusudi kuleta suluhisho la kudumu ndani ya Tanzania, kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027. Wanaharakati wanaendelea na juhudi za kupush uwajibikaji katika matukio yaliyotokea kwenye MO29 na naona kama mwakani ndiyo hizi juhudi...
  7. Echolima1

    Kuna uwezekano usiku huu Iran akashambuliwa-Stay turned!!!

    Wakati waandamanaji wanaendelea kukiwasha huko Iran Marekani nao wanatrajia kuishambulia Iran kwa kuwaua watu wake yenyewe!!!
  8. Echolima1

    Israel yaangalia uwezekano wa kuishambulia tena Iran!!!

    🚨 Israel yaionya Marekani: Majaribio ya Makombola ya Iran yanaweza kuficha shambulizi la Iran dhidi ya nchi yake. Maafisa wa Israel wameutahadharisha utawala wa Trump kwamba zoezi kubwa la kombora la IRGC huenda likawa kificho kwa shambulio la kushtukiza linaloweza kutokea dhidi ya Israel...
  9. Sifi Leo

    Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  10. Victor Mlaki

    Tukio la kijiografia la jua kupotea kwa muda linakwenda kutokea 14 Disemba, 2025 na upo uwezekano wa tukio jingine kubwa kutokea

    Kwa mujibu wa juzuu ya Royal blue heating kama alivyoandika Mwandishi Hazel Montgomery inaonekana siyo katika filamu za kisayansi ila ni katika anga letu la kila siku kuwa juwa litaghubikwa na mwezi na mwanga wake utakuwa kama umezimwa.bkwa dakika kadhaa, joto la Dunia litashuka ghafla, jua...
  11. Papaaa mukuubwaaa

    Mambo 7 yanayotabiri uwezekano wa maandamano makubwa nchini yoyote (kwa mtazamo wa utafiti, si vitendo)Nchi za kiarabu zilivyodondoshwa

    ‎1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali) ‎Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali: ‎Haitetei maslahi yao ‎Imekosa uadilifu ‎Imeshindwa kiuchumi ‎utawala hupoteza msingi wake. 2. Economic Trigger (Msukumo wa Kiuchumi) ‎Bei ya chakula, mafuta, ukosefu wa ajira — huwa chanzo kikubwa. 3. Mass...
  12. Yoda

    Kwanini uwezekano wa yanayoitwa maridhiano Tanzania ya sasa ni mdogo sana?

    Ukiafuatilia kinachoitwa maridhiano utagundua uwezekano wa jambo hilo kwa Tanzania ni mdogo sana kwa sababu hakuna aliye tayari kwa hayo maridhiano. Ili maridhiano yawezekane Tanzania CCM itabidi kwanza ikubali mambo kadhaa kama sita yaliyo muhimu ambayo kwa uhakika uwezekano wa CCM kukubali ni...
  13. D

    Nyerere(1960): Hakuna uwezekano wa Jeshi la Tanganyika kuasi na kupindua serikali

    Hayo maneno alipata kuyatamka Mwalimu Nyerere (mwaka 1960), siku chache kabla hajaapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika wakati huo. Lakini miaka michache mbele(1964), jeshi likaasi. Tukio baya kabisa katika maisha ya kisiasa ya Mzee huyu tunayempenda sana. Ni vizuri kwa viongozi wa nyakati...
  14. S

    GE2025 Uwezekano wa watanzania kuandamana ni asilimia 10, kutokujitokeza kupiga kura ni asilimia 95

    Haya ni maoni yangu: Binafsi napenda sana kuona siku moja watanzania kwa mamilioni nchi nzima wanaandamana kudai mabadiliko. Hata hivyo,, kwa sasa naona ni vigumu kwasababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni hii mbinu ya kupanga tarehe fulani kuwa ni siku ya maandamano. Kwa Tanzania yetu hii...
  15. Manyanza

    Kim Ju Ae mtoto wa Kim Jong Un ni mtoto mwenye uwezekano mkubwa" wa kumrithi Kim Jong Un

    Kulingana na shirika la kijasusi la Korea Kusini, Ju Ae ndiye anayetarajiwa kuwa mrithi wa babake. Ju Ae, anaaminika kuwa mtoto wa pili wa Kim Jong Un na mke wake, Ri Sol-Ju, wakiwa na watoto watatu. Hata hivyo Kim ni msiri sana kuhusu familia yake, alimtambulisha mkewe kwa umma baada ya muda...
  16. VN Warehouse Limited

    Kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni Single member company ?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza kwa sheria za kampuni hapa tanzania kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni single member company, kwa maana ya kuwa Director ndo huyo huyo share holder? Kuna tafiti zinaonyesha kuwa kulingana na mabadiliko ya sheria hili swala linawezekana, ila nimeona...
  17. GENTAMYCINE

    Nashauri kama itawezekana na itawapendeza Wahusika naomba leo Kipa awe Aishi Manula kwani naona upo uwezekano wa kwenda katika Penati

    Namkubali na Namheshimu Kipa anayedaka sasa, ila kwa Ujuzi wangu nina Mashaka nae tu hasa katika Penati zikitokea.
  18. M

    GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

    Declaration of Interest. Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa...
  19. K

    Kuna uwezekano ukawa mwanafunzi huku ukiwa kiongozi wa kisiasa?

    Habarini wakuu. Hivi kuna uwezekano ukawa bado mwanafunzi wa chuo halafu hapo hapo ukawa kiongozi wa kisiasa mathalan diwani wa kata? Na je ukafanikisha kuwa na hiyo nafasi, kuna uwezekano ukaweza kufanya majukumu yote hayo mawili kwa nyakati moja!? Na je utayafanyaje na utapangiliaje muda...
  20. I

    Je kuna uwezekano yaliyosemwa kwenye Biblia na manabii wa Mungu yanatimia kwa sasa?

    Habari za wakati huu popote ulipo.Je yaliyosemwa kwenye biblia yanatimia kwa sasa? Katika biblia kuna ujumbe juu ya ishara na matukio mbali mbali yatakayo tokea kipindi tunaelekea wakati wa ujio wa mwana wa Adam. Biblia imetaja juu ya vita kati ya taifa na taifa,falme na falme na...
Back
Top Bottom