uwekezaji

  1. B

    Uwekezaji kwenye Ubia wa BRT maarufu kama UDART kwa kushirikiana na Emirates utaleta mapinduzi na huduma bora kwa abiria wa Dar Es Salaam. Big Up!

    Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar. Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu. Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
  2. Somo la 3: uwekezaji kwenye soko la hisa (DSE)

    πŸŒ€ Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza β€” kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji. πŸ“ Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
  3. Kama Mashahidi na Nyaraka za Kesi ya Uchochezi tu hawataki Watanzania muvione, Sahauni kuona Mikataba yenu ya Madini ya Uwekezaji wanayoingia kutupiga

    Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi. Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
  4. Somo la 1: Uwekezaji kwa ujumla

    Mada kuu: Kuelewa dhana ya uwekezaji na kwanini ni muhimu kwa maisha yetu ya kifedha. 1️⃣ 🧠 Uwekezaji ni nini? Uwekezaji ni kitendo cha kuweka fedha zako mahali fulani kwa matarajio ya kupata faida baadaye. Hii inaweza kuwa kwa kununua hisa, hatifungani, vipande kwenye mifuko ya pamoja, kununua...
  5. Unataka kufanya uwekezaji basi wekeza huku

    Kuna baadhi ya sehemu ukiwekeza ni uhakika ila tulio wengi hatujui na hatufahamu kuhusu hili.mfano kuna kitu kinaitwa Samia Infrastructure Bonds ni hati fungani mahsusi inayotolewa na benki ya CRDB kwaajili ya kufadhili miradi muhimu ya miundombinu nchini Tanzania, hasa ujenzi wa barabara chini...
  6. Somo la 1: Uwekezaji kwa ujumla

    Mada kuu: Kuelewa dhana ya uwekezaji na kwanini ni muhimu kwa maisha yetu ya kifedha. 1️⃣ 🧠 Uwekezaji ni nini? Uwekezaji ni kitendo cha kuweka fedha zako mahali fulani kwa matarajio ya kupata faida baadaye. Hii inaweza kuwa kwa kununua hisa, hatifungani, vipande kwenye mifuko ya pamoja, kununua...
  7. Elimu kuhusu uwekezaji kwenye masoko ya fedha na mitaji Tanzania

    MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI. Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya: πŸ“Œ Uwekezaji kwenye soko la hisa πŸ“Œ Hatifungani (bonds) πŸ“Œ Uwekezaji kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, FAIDA...
  8. W

    Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo wa madini muhimu London

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya kuendeleza madini muhimu na mkakati yanayopatikana nchini. Hayo yalielezwa Mei 20, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akihutubia...
  9. Huu Siyo Uwekezaji, Ukitumbukia Utakufa Masikini......

    Watu Wengi Wanapenda Kueleweka... Mtu ajue mahitaji yake... Hali inayomfanya mhusika ajione amefika ,.. Na ajiachie Hilo eneo... Hii tunaita Saikolojia yako... Mtu akijua unachokitaka atakuwa na uwezo wa kukumiliki na kukutawala... Mfano najua unataka pesa si ndiyo... Tena uipate kirahisi...
  10. CRDB waja na Account maalumu ya uwekezaji faida 12%

    Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳 Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwakaπŸ“ˆ. wasiliana nao kwa taarifa zaidi
  11. Prof. Makame Mbarawa: Uwekezaji wa DP World, mapato yafikia TSh. Trilioni 8.26 ongezeko la asilimia 16.67

    Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam, kumeleta mafanikio mbalimbali yakiwemo kuongezeka kwa mapato yatokanayo...
  12. DOWUTA yaitaka Serikali kulinda ajira na Haki za Wafanyakazi Wazawa kwenye uwekezaji wa Bandari na Kampuni ya Adani

    Wakuu! Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
  13. Jifunze uwekezaji kwenye Group hili la HISA bure kabisa

    https://chat.whatsapp.com/EESLRXNogcqAmV06QeCNBE Humu utajifunza Namna ya kuifanya pesa ikuletee pesa zaidi Kwenye HISA, UTTAMIS, HATIFUNGANI, Real estate nk Bonyeza link uje whatsap Au nidm Kwa 255744980339 Mwakawasila Financial consultant
  14. Serikali Yafungua Milango ya Uwekezaji Kwenye Ujenzi wa Nyumba za Makazi

    π’π„π‘πˆπŠπ€π‹πˆ π˜π€π…π”ππ†π”π€ πŒπˆπ‹π€ππ†πŽ π˜π€ π”π–π„πŠπ„π™π€π‰πˆ πŠπ–π„ππ˜π„ π”π‰π„ππ™πˆ 𝐖𝐀 ππ˜π”πŒππ€ 𝐙𝐀 πŒπ€πŠπ€π™πˆ Dodoma, 5 Mei 2025 – Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb), amewasilisha Bungeni Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 akiainisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi na...
  15. Uwekezaji

    Watu wengi tunashindwa kuwekeza kutokana na mazingira tuliopo, hasa sisi wa huku Town, tunaishia kusoma tu kwamba ufugaji ,kilimo kinalipa .
  16. J

    Rais samia avutia uwekezaji wa trilioni 1.4 - madini

    RAIS SAMIA AVUTIA UWEKEZAJI WA TRILIONI 1.4 - MADINI β–ͺ️Mradi wa ujenzi wa mgodi kugharimu Trillioni 1.4 β–ͺ️Dhahabu ya kwanza kuanza kuzalishwa robo ya kwanza ya Mwaka 2027 β–ͺ️Rais Samia apongezwa kwa mazingira bora ya uwekezaji β–ͺ️Mgodi kuzalisha Ajira na mapato kwa serikali Kampuni ya Perseus...
  17. Mhandisi Mwanaisha Ulenge akichangia Bungeni bajeti ya Wizara ya Mipango na Uwekezaji

    "Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa mageuzi makubwa ya Mipango na Uwekezaji katika Taifa letu. Rais Samia ameamua kutokuogopa na kusimama kwa utulivu katika kusikiliza wataalamu kulisaidia Taifa letu" - Mhandisi Mwanaisha Ng'anzi Ulenge, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga "Taifa...
  18. Kwanini hela zinazoenda HESLB kila mwaka zisiingizwe kwenye uwekezaji ili kuongeza ajira?

    Habari wakuu! Kama ilivyo ada kila mwaka serikali inapeleka matrillioni kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu yaani HESLB ili kuwawezesha wanafunzi wamudu gharama za kupata elimu ya juu. Sasa kuliko kuchangia katika kuzalisha wahitimu wasiokuwa na ajira na wenye madeni ya HESLB ni bora fedha...
  19. Ni biashara gani au uwekezaji gani una failure rate kubwa hapa Tanzania?

    Ni biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu. Yaani unakuta biashara ndani ya mwaka inafungwa sana. Ni mradi gani ambao watu wengi wakiufanya huangukia pua? Pia ni mradi na biashara gani ambayo ina failure rate ndogo ndani ya mwaka mmoja?
  20. Dangote mmoja ni wachina 500 kwenye uwekezaji

    Linapokuja swala la userious kwenye uwekezaji wachina hawako seriously kabisa. Mpaka sasa tangu wameanza kuingia hapa Tanzania sijaona mradi hata mmoja walio wekeza zaidi ya kamari na kufungua fremu za biashara za kodi ya millioni 2 hadi 3. Hebu angalia Dangote mradi aliowekeza huko Nigeria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…