Huu Siyo Uwekezaji, Ukitumbukia Utakufa Masikini......

Mwakawasila

Member
Joined
Oct 23, 2024
Posts
39
Reaction score
68
Watu Wengi Wanapenda Kueleweka...

Mtu ajue mahitaji yake...

Hali inayomfanya mhusika ajione amefika ,..

Na ajiachie Hilo eneo...

Hii tunaita Saikolojia yako...

Mtu akijua unachokitaka atakuwa na uwezo wa kukumiliki na kukutawala...

Mfano najua unataka pesa si ndiyo...

Tena uipate kirahisi au siyo...

Uache kuteseka au siyo...

Uipate ukiwa Umelala,

Kama huwezi kutengeneza mifumo ukiwa hujalala huwezi kupata pesa ukiwa Umelala...

Hili ndilo jambo Matapeli hutumia kukurubuni..

Uta ahidiwa faida kubwa sana ambayo itakujengea kitu kinachoitwa BRAIN MASTERBATION

kutarajia mambo ambayo hayapo,

Mara rusha kindege ukiweka 1000 unapata 100,000...

Unaahidiwa faida kubwa tofauti na uhalisia..

Na hakuna mchakato wowote Hadi kupata hiyo faida..

Jichunguze muda wote ulioibiwa pesa yako ni pale ulipo ahidiwa faida kubwa, Kwa njia nyepesi.....

Lakini ukweli Kamari zipo kumpendelea anayechezesha....

Hutafanikiwa Kwa kubeti....

Hutafanikiwa Kwa kucheza Ponzi scheme....

Hutafanikiwa Kwa kucheza Casino...

Ni ngumu sana kumsaidia mtu anayekaribia kuibiwa...

Kama unafanya hizo mishe utapata tatizo la BRAIN MASTERBATION itafikia kipindi utapoteza 100,000 na ukipata 10,000 utaona mjanja...

Niambie ulishawahi tapeliwa ilikuwaje....

Mwakawasila
Financial Consultant
Whatsap 0744980339
 
Ongezea forex
 
Nachoamini mimi vijana ili ufanikiwe lazima utoke jasho ata weww mbaga nazani unaamini hvo maana uwezi kusema unapata pesa kilaini hakuna lazima jasho litoke

Ahsanteni snaa
Jasho ila strategically we fanya kazi bila strategy utatoka jasho lako na usongi mbele..
 
Back
Top Bottom