uwaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masalu Jacob

    Katiba Mpya: Madiwani wawe nao wanateuliwa Uwaziri

    Habari Tanzania !. Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa. NB Mkumbuke katika Mfumo uliopo nchini wa kisiasa; mwenye kujua changamoto za wananchi ni Diwani pia ndio mtu pekee mwenye...
  2. sanalii

    Mwigulu hauziki na hatoshi kwenye uwaziri mkuu, ila aliteuiwa kwa sababu zifuatazo

    1. Aliemteua mwenyewe pia hatoshi kwenye hicho cheo. 2. Mwigulu ni bingwa wa kujipendekeza na kulamba viatu. 3. Mwigulu ni "yes man", hana gut ya kuhoji maelekezo yoyote, na viongozi ambao ni incompitance wanawapenda "yes men" kwa maana hawawachalenge kwenye maamuzi yoyote. Hawa ndio...
  3. The Burning Spear

    (Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

    Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema: "Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
  4. Fbn

    Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  5. M

    Kumbukizi: Barua ya Hayati Mzee Mwinyi kujiuzulu uwaziri: Polisi ni chombo cha kulinda amani, mali na maisha ya watu wake; si chombo cha kuwaua

    MINISTRY OF HOME AFFAIRS THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA P.O. Box 9223, Dar es Salaam. Telegram "Usalama" Telephone In reply please quote: 22 Januari, 1977. Ref. No. AHM/PERS/P. 1/14 MHESHIMIWA MWALUMU J.K. NYERERE, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, IKULU, DAR ES SALAAM. Mwalimu...
  6. Hance Mtanashati

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja.
  7. T

    Sie wakulima mtusaidie kuelewa, hivi bunge likivunjwa mawaziri wanaendelea na uwaziri? Nimemwona Bashe 88 anapiga kazi.

    Huku kijijini kwetu Masalawe Kongwa nilikotoka kuleta mhogo mkubwa kuliko yote hapa Nanenane Dodoma nimeshangaa kumwona Bashe anapiga kazi eti ni waziri na anatumia V8 ya serikali. Mbona mhe. diwani wetu kazi zake zote zinafanywa na mtendaji wetu wa kata. Au wizara ya Bashe haina katibu mkuu...
  8. Now and then

    Mulamula alitolewa Marekani akaja akapewa ubunge na uwaziri ila leo anakatwa juu kwa juu , wasomi muwe makini ni ngumu sana kufanya kazi na akil ndogo

    Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe. In short don't trust politicians hasa ukiwa smart . Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
  9. chiembe

    Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
  10. K

    Tetesi: GE2025 Mch. Msigwa kutaka kupewa uwaziri mpaka kukatwa jina, siasa mchezo mchafu

    Nimeamini siasa ni mchezo mchafu huwa hazitegemei akili ya mtu bali mapenzi ya kiongozi wa wakati huo hasa ukitegemea na sheria zetu za uchaguzi zilivyo mbovu huna cha kufanya. Tusione watu wanasifia wanajitoa ufahamu kumbe wanajua akili zao walishazikabidhi kwa Rais wao Mchungaji Msigwq kutoka...
  11. J

    Kutoka Tanzania Mpaka Uwaziri Sweden, Kiswahili Ndicho Kimebeba Safari Yake

    Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika jijini Stockholm, Sweden, mgeni rasmi, Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri wa zamani wa Usawa na Jinsia nchini Sweden, ametoa hotuba kwa lugha ya Kiswahili fasaha na yenye mvuto. Mhe. Nyamko, mwenye asili ya Jamhuri...
  12. OMOYOGWANE

    Utabiri wangu umetimia Hersi kugombea ubunge mwana FA ajipange hapo kwenye uwaziri

    Wakuu mpo! Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025 https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/ Leo nmeona taarifa kachukua fomu. Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
  13. Mshana Jr

    Ni wazi sasa ana vinasaba na sanaa.. Na pengine uwaziri wa sanaa na michezo ndio saizi yake

    Pale alipokuwa kawekwa kabla ya hapa ilitokea kwa bahati mbaya tena sana! Na kwakuwa ile nafasi ni sawa na joka la kibisa.. Hatukuweza kuona ombwe! Hatukuweza kuona uhalisia.... Baada ya asili kuamua ile ugomvi mkubwa, tukadhani tumesalimika sana.. Kumbe ilikuwa ni sawa na kuruka kubwa kisha...
  14. Yoda

    Kazi nyingi za serikali zilipaswa kuwa za mkataba/ajira zisizo za kudumu

    Hizi kazi zingekuwa za mkataba wa muda mfupi kama miaka mitano mitano zingepunguza gharama na kuongeza ufanisi sana. 1.Ubalozi 2.Mwanasheria mkuu 3.Wakurugenzi wa mashirika ya umma 4.Madaktari 5.Polisi
  15. Waufukweni

    Waziri Aweso: Familia yangu ni masikini, nimepata Uwaziri kutokana na elimu

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amezungumza na wahitimu kwenye Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji, yaliyofanyika leo tarehe 13 Novemba 2024, kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, akiwa mgeni rasmi. Akizungumza katika hafla hiyo, Aweso amesema: "Mimi familia yangu ni masikini, nimefikia...
  16. Nigrastratatract nerve

    Tutemegee kuona maghorofa zaidi yakijengwa, kuna wanasiasa waliofukuzwa uwaziri watafilisika muda si mrefu

    Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila lawama yoyote ile Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
  17. Wakusoma 12

    Hamis Mwinjuma (Mwana FA) apewe Uwaziri kamili wizara ya Sanaa na michezo

    Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
  18. and 998 others

    Tetesi: Paul Kimiti aliukosa Uwaziri Mkuu kwa kutokua na kifua

    1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon kwa mashosti zake. Mashosti wakaanza kuyasambaza kitaa. Mteuzi...
  19. J

    Dkt. Kigwangalla: Uwaziri nitaupata tu, huwa sikati tamaa

    Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt. Kigwangalla amesema ipo siku atapata tena Uwaziri, huwa hakatagi tamaa. Dkt. Kigwangalla ametoa taarifa ukurasani X.
  20. Jidu La Mabambasi

    Rais Samia, mpe Uwaziri Freeman Mbowe wa CHADEMA!

    Kuna philosophy nyingi sana za mtu na madaraka. Wengine wanasema ukitaka kumjua mtu na uwezo wake, mpe madaraka. Wengine wanasema ukitaka kummaliza mtu mpe pesa na madaraka. Sasa wenzetu, wananchi wenzetu toka chama pinzani, wamekuwa wakililia keki muda mrefu, napendekeza Mbowe apewe uwaziri...
Back
Top Bottom