uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo hii Jean Baleke ni wa kucheza Samia Cup ya Mtaani yenye Uwanja Mita 50?

    Kwani Yanga SC kama hamumtaki mnashindwa nini kumlipa tu Fedha zake ili arejee Kwao Kisangani akatunge Nyimbo?
  2. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Sheria au kanuni inajieleza yenyewe miaka na miaka yakwamba timu mgeni itafanya mazoezi kwenye uwanja husika kwa muda ambao match husika itachezwa

    Hapo vip!! Ukitafakari na kuchambua kisheria hili dai la yanga yakwamba hawakupata taarifa..unaona wameamua kuingiza siasa kwenye mpira wetu. Hivi kati ya sheria au kanuni na taarifa ipi yenye nguvu...Simba amebase kwenye sheria na kanuni,yanga amebase kwenye utaratibu wa kisiasa. Na je kwenye...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba haikufanya mazoezi uwanja wa Jamhuri Morogoro ikapoteza mechi muhimu

    Kuna watu wanachukulia poa utaratibu na haki iliyopewa timu ngeni kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi siku moja kabla ya mechi. Wachezaji wanapokuwa wamefanya mazoezi katika uwanja wa vita watakaoenda kuutumia, hili ni suala la kiufundi na linasaidia kuandaa wachezaji kimwili na...
  4. Akotia

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Karne Yachezwa Nje ya Uwanja: Siasa, Figisu Figisu na Mchezo wa Giza kwenye Ligi Yetu!

    Hii saga ya kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni noma sana, na inatia mashaka kinoma. Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, na kwa bahati mbaya au kwa makusudi, mechi kubwa zaidi Tanzania imeahirishwa kwa sababu ambazo zinaonekana kama zimetengenezwa makusudi. Simba walikuwa na haki yao ya...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  6. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Simba chagueni uwanja mnaoutaka Yanga tuwafuate.

    Kama hawa ndugu zetu wanaoamini ushirikina kwenye zama hizi wamegoma kucheza nashauri wachague uwanja wanaoutaka kwa mazingira wanayoyataka wao. Sisi Yanga tupo tayari kuwafuata kokote kule mtakapopachagua. Iwe bunju,msimbazi juu ya ghorofa au kule tandahimba mlipokusanya wazee wenu mliotaka...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hii mechi ya trh8 Timu zote ziliwekeza nje ya uwanja. Ndomana yametokea yalio tokea

    Tukitoa mahaba na mapenzi na ushabiki wa hizi Timu mbili Simba na yanga ukweli usemwe tu. Simba na yanga ni kurwa na doto ni Timu zinazo Juana nje ndani. Akuna kitu amewahi fanya Simba yanga ajafanya. Hakuna njia alyopita Simba yanga ajapita. Hiki kinachotokea Leo trh 8 hakuna jipya kwa...
  8. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

    Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake wa uendeshaji wa uwanja anajua kabisa ni lazima timu ngeni itakuja kufanya mazoezi. Kwa busara tu...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana uliyechapwa na maisha usipanic kwenye uwanja wa vita. Hao marafiki zako wanaorusha picha mtandaoni huku wameegemea magari makali wengi si yao

    Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu. Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini. Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa. Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge. Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Derby ya Kariakoo TFF na Bodi ya ligi lindeni mali za uwanja kwa mchezo safi.

    Asikwambie mtu bhana, Simba na Yanga ndizo timu zinazoendesha biashara ya mpira nchini; hata timu nyingine na Dar na mikoani mapato yao yanazitegemea Simba na Yanga; wadhamini wooote wanadhamini mpira kwasababu ya Simba na Yanga. Hivyo, nisingeona ajabu kama mechi zoooote zinazozihusisha Simba...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege Serengeti wasainiwa

    Mkataba wa Ujenzi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege Wilayani Serengeti umesainiwa Februari 27,2025 Jijini Dar Es Salaam Utekelekezaji wa Mradi huo utasimamiwa Mhandisi Mshauri na Kampuni Binafsi ya 7-Engineering kwa kushirikana na Intairplan GMBH na Project Plus (T) LTD, kwa gharama za Sh 1.3...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa injili wa Mwl C. Mwakasege leo mpaka tar 2 march uwanja wa mashujaa moshi karibuni live Upendo tv saa tisa mpaka saa 12

    WAPENDWA katika Bwana Nawakaribisha ktk mkutano WA injili utakaonenwa na Mwl C. mwakasege Kuanzia saa Tisa mpaka saa kumi na mbili jion Kuanzia Leo tar 26 Feb mpaka 2 march Itakuwa live upendo tv ..upendo FM...na you tube Karibuni sana tuongeze Imani ktk maisha yetu Kiingilio:BURE Mungu...
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliyeona mabadiliko yoyote katika uwanja wa Mkapa?

    Baada ya kutazama mchezo wa Azam hapo jana, Binafsi sijaona mabadiliko ya maana katika uwanja wa Mkapa licha ya mabilioni yaliyomwagwa, kufungiwa kutumika mara kwa mara na muda mrefu kupita tangu ukarabati huo uanze. Pitch bado haina mvuto kama ilivyo kwa viwanja vingine vikubwa, LED Display za...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mzizima Derby (Simba, Azam) yahamishwa uwanja, kupigwa Benjamin Mkapa

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebadili uwanja na muda wa kuanza kwa mchezo namba 167 wa Ligi Kuu ya NBC baina ya Simba na Azam ambao ulipangwa kufanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, Februari 24,2025 kuanzia saa 10:00 ambapo sasa utafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku hiyohiyo...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Bilioni 73 uwanja wa ndege wa mtwara umewezesha uwezo wa kiwanja hicho kufanya kazi saa 24

    Uwekezaji wa Bilioni 73 uwanja wa ndege wa mtwara umewezesha uwezo wa kiwanja hicho kufanya kazi saa 24 Uboreshaji na upanuzi wa kiwanja; Kwa kujenga njia ya kurukia ndege yenye urefu wa mita 2800 na upana wa mita 45 kwa kiwango cha lami. Pia ujenzi wa eneo la maegesho ya ndege, barabara ya...
  16. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kujenga uwanja wa siti 32,000 Dodoma, Ni kukosa Maono

    Uzinduzi wa mbwembwe kujenga uwanja ambao upo chini ya viwango vya fifa ni kukosa maono na kufanya siasa chafu kwenye mambo ya maana. Uwanja wa siti 32K ni uwanja wa levo ya halmashauri kama kinondoni walivyo jenga pale mwenge. Ilikuwaje mkapa miaka 30 iliyopita aliamua kujenga uwanja wa siti...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali Kuhusu Hatma ya Maeneo Yao

    Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao halitasikilizwa wataanza rasmi kuendeleza maeneo yao. Wananchi hao ambao wamekuwa katika mgogoro wa ardhi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PAC yabaini madudu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kasoro kadhaa katika utekelezaji wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma, zikiwemo ajira kwa wahandisi wasiosajiliwa, ujenzi bila vibali, ongezeko la gharama, na ucheleweshaji wa malipo. Mwenyekiti wa PAC...
  19. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Sokoine - Mbeya unaotumiwa na KenGold ni mbovu hauna hadhi ya Ligi Kuu

    Tangu msimu huu wa Ligi uanze, Kwa kiasi kikubwa bodi ya Ligi na vilabu vimejitahidi kuboresha viwanja na kuvifanya walau kuwa na hadhi. Ila pamoja na yote kuna baadhi ya viwanja ni aibu TUPU kwa Ligi namba sita kwa ubora barani Afrika. Huu uwanja wa Sokoine unaotumiwa na KenGold ni kama shamba...
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania Jina gani la uwanja wa soka linakuvutia sana?

    Mimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid. Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano. Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
Back
Top Bottom