uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine avaa gwanda na kuingia uwanja wa vita

    Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelensky amevaa Gwanda za Jeshi na kuingia "Uwanja wa Vita" kutetea nchi yake Majeshi ya #Urusi yameripotiwa kuzidi kuingia katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv. Awali, kulikuwa na tetesi kuwa Rais huyo amekimbia nchi, ambapo alijitokeza na kuomba Wananchi wapuuzie...
  2. JamiiForums Tanzania Apple kawashinda Xiomk, Oppo na Vivo kwenye uwanja wa nyumbani

    Kwakweli Apple na product yake ya iPhone ni kama vile ni unstoppable, iPhone 13 imefanya vizuri sana na kuirudisha apple kwenye nafasi ya 1 kwa mauzo na mapato nchini China. Kama mnakumbuka kuna kipindi ilifanyika kampeni ya kushusha mauzo ya iPhone China ili kupandisha mauzo ya simu...
  3. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Manungu ulivyo kabla ya Mtibwa Sugar Vs Yanga

    Picha inayoonyesha mazingira ya Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro ulivyo, uwanja huo utatumika kwa ajili ya mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, leo Jumatano Februari 23, 2022. Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utaanza saa 10:00 Jioni, wenyeji Mtibwa Sugar wakiwa nafasi ya 15 kwa pointi 12 ambayo...
  4. JamiiForums Tanzania Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

    Moja kwa moja.. Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana ka

    Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana kama The Bird's Nest, ambayo yaling’ara sana.
  6. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi sitisheni kwa muda matumizi ya uwanja wa Sokoine Mbeya

    Nimetoka kuangalia mechi ya mtoano, Kombe la Shirikisho la Azam muda si mrefu kati ya Tanzania Prisons vs Polisi Tanzania, na ambako Polisi Tanzania wamefanikiwa kusonga mbele kwa ushindi wa goli 2 kwa 0 dhidi ya Tanzania Prisons. Kiukweli uwanja umeharibika vibaya kiasi cha kudhani labda...
  7. JamiiForums Tanzania Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
  8. JamiiForums Tanzania Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  9. JamiiForums Tanzania Jeff Leah: Kwa udhaifu wa Mbao, Yanga atashinda goli nyingi maana Yanga hahitaji kuhonga nje ya uwanja

    Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation. Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kujenga uwanja wa ndege Manyara

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwada wilayani Babati. Picha Mussa Juma Babati. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itajenga uwanja wa ndege wa Mkoa wa Manyara ambao utasaidia kukuza sekta ya utalii. Akizungumza katika mkutano wa hadhara katika...
  11. JamiiForums Tanzania Ajificha kwenye tairi la ndege kutoka Afrika Kusini mpaka Uholanzi

    Polisi wa kijeshi nchini Uholanzi leo wameshangazwa kumkuta mtu aliyekuwa amejificha chini ya ndege kwenye eneo la tairi la mbele kuwa yuko salama. Ndege hiyo ilisafiri kwa saa 11 kutokea Afrika mpaka Ulaya. Ndege hiyo ya mizigo ilitokea Afrika Kusini na kutua Kenya kwa muda mfupi kabla ya...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kazi maalum kuisha uwanja wa Manungu utafungiwa

    Hii kazi maalum ya kuihujumu simba inafanywa waziwazi kabisa. Mchezo wa mbeya city dhidi ya simba ulijaa hujuma nyingi. Yanga watafanya kila aina ya michezo michafu ili simba isichukue ubingwa wake wa 23. Yanga sasa yupo na 22 sawa na simba. Za ndani kabisa, uwanja wa Manungu utafungiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nani mmiliki wa uwanja wa Sokoine Mbeya?

    Uwanja huu ufungiwe mpaka mmiliki aweke nyasi bandia. Tope kama lote hata mpira haunogi. Ni hayo tu.
  14. JamiiForums Tanzania Wazungu wanatumia nusu saa kujaza uwanja sisi tunatumia siku nzima

    Mechi ya Liverpool na Chelsea mashabiki wanatumia nusu saa tu kuingia uwanjani na uwanja unajaa sisi Simba na Yanga mashabiki wapo uwanjani tangu saa moja asubuhi tumerogwa
  15. JamiiForums Tanzania Vita havijaribiwi, Ila silaha zinajaribiwa

    VITA HAVIJARIBIWI, SILAHA NDIZO ZINAJARIBIWA. Anaandika, Robert Heriel. Vita ni sumu. Sumu haionjwi. Vita ni mkondo wa MTO wenye maji, kamwe usitie miguu kupima kina cha maji. Vita havijaribiwi, ukivi-beep vinakupigia pasipo tafadhali. Maisha ni vita, maisha hatajaribiwi, maisha hayachezewi...
  16. JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi kujenga uwanja kwa michango sio sawa

    Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari. Lazima mgawanyo wa faida itakayotokana Na uwanja kwa wanahisa ifahamike kabla watu...
  17. JamiiForums Tanzania Mhhhhh...Simba SC yangu 'Nakupenda' sana tu ila hili la Uwanja wetu 'Mchakato' ni wa mapema na wa 'Kimhemuko' zaidi

    Anyways nawatakieni Kila Ia Kheri wote.
  18. C

    JamiiForums Tanzania Simba uwanja huu hapa

    Mambo machache ya kujipanaga kupata Pesa ya Kutosha kusimamaisha uwanja wake 1. Mageti ya uwanja haya yote yawe sokoni kwa mkataba wa miaka 3 - 10 2. Majukwaa yote yawe sokoni kwa Mkataba wa miaka 3 - 10 3. Harambee mikoa yote Tanzania target M. 100 - 500 4. Michango ya Wanachama na wapenz wa...
  19. JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi na CHADEMA matokeo ya kuzira yanawadhoofisha

    Eti wamezira ,sababu kubwa walitaka waende peke yao au walitaka yule wanaemuona adui yao yeye asiwepo(ccm)au walitaka afungwe mikono na miguu ndio waende,au wapewe upendeleo wakupigiwa magoti ndio waende,au kwasababu mbowe yupo segerea,,yalaaa,,wakati mwingine walihisi kwamba ni mkutano wa rais...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Simba SC inaweza kujenga uwanja kwa njia ya kuchangishana?

    Tangu jana mwekezaji wa Simba alipopost kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwa amesikia kilio cha mashabiki wa Simba cha kutaka klabu yao iwe na uwanja wake wa kuchezea mechi za nyumbani na kuahidi kuchangia bilioni 2 kumeibuka mijadala kwenye redio na mitandao ya kijamii,kama ilivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…