Mechi kati ya Simba inaendelea muda huu Simba wakiwa mbele kwa bao 2 dhidi ya Fountain gate.
Simba yupo ugeninim, Goli kwanza limefungwa na Chama, la pili limefungwa na Gueye. Na sasa ni kipindi cha pili
-----
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC...
Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga
Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
Wakati msafara wa timu ya Simba SC ukiingia uwanjani majira ya Saa 8:30 Mchana wa leo Aprili 9, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kuna hali ya sintofahamu kati ya wanaodhaniwa kuwa ni “Makomandoo” na walinzi wa uwanja, hali ambayo...
Kero yangu ni Kiwanja cha mpira kinachojengwa Kisiwani Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya wete, Shehia ya Pandani. Yaani Kiwanja kipya lakini kinawekwa Nyasi kongwe (zimetolewa kiwanja chengine). Hapo tayari ubora wa kiwanja haujafikiwa, kila siku itakuwa ni ukarabati.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 amesema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh...
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Pamba Jiji dhidi ya Simba SC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.
Baada ya mchezo kumalizika...
Simbu, Geay na wanariadha wengine wa sasa na wa zamani mnajua jinsi gani shule ya sekondari Ilboru ilivyochangia mafanikio yenu kwa kuwaruhusu kufanya mazoezi kwenye uwanja wao. Uongozi wa shule umekuwa na uungwana wa ajabu. Mimi ninaandika huu uzi wa kuwahamasisha kufanya jambo la muhimu.
Kwa...
Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000.
Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo.
Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali...
Anonymous
Thread
ilala
kipunguni
kupisha
malipo
mashariki
mwaka
ndege
uwanjauwanja wa ndege
Watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wameanza kulalamikia ongezeko la uminywaji wa taarifa hasa za mlengo pinzani huku zikisukumwa zaidi vyombo/page au watu binafsi wanaoengemea upande wa pili.
Kwani ukarabati wa Lupaso utaisha lini? Tangu mwaka 2023 Serikali iliposaini mkataba wa Bilioni 30 mpaka leo bado mambo hayaeleweki.
Serikali imetangaza kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utafungwa kwa ajili ya ukarabati wa mwisho kuanzia mwezi huu (Machi, 2026) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya...
TAARIFA MPYA: Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait, likisababisha uharibifu mkubwa kwenye reli ya ndege, lakini askari wa Italia wako salama bila kujeruhiwa,” kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Italia iliyo ripotiwa leo.
Nakumbuka kipindi fulani watu walikuwa wanauita uwanja wa Benjamin Mkapa "Kwa Mchina" hadi akatokea mtu akasema watu wawe wazalendo wauite kwa jina lake halisi au walau wauite "Kwa Lupaso".
Hivi karibuni kuna wasemaji wa timu fulani wameupachika jina jipya uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar...
Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia.
Naona kuna kasi ya...
Guantanamo bay ambacho ni kituo cha jeshi la Marekani katika ardhi ya Cuba pwani kilijipatia umaarafu sana baada ya vita vya ugaidi kuanzia mwaka 2001.
Hapo Guantanamo bay ndipo walipokuwa wanashikiliwa kama mahabusu watu waliokamatwa na vyombo vya US kutoka nchi nyingine wakituhumiwa kama...
Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika.
Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa.
Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
Anonymous
Thread
bariadi
kuzuia
mazoezi
mifugo
mkuu
mkuu wa wilaya
mpira
sawa
uwanjauwanja wa mpira
wilaya
Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani.
Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa.
Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya...
Mjadala mzito umeibuka mtandaoni kufuatia Mwekezaji na Rais wa heshima Klabu ya Simba Mo Dewji kukomenti kwenye Moja ya Post katika Ukurasa wa Instagram wa Klabu hiyo, akiandika "Transformation mmefikia wapi?“, akionesha kuuliza ulipofikia mchakato wa mabadiliko.
Wadau wengi wa michezo...
Kwa mtazamo wangu huu uwanja hauwezi kukamilika sababu ni hizi
1)Kiwanja kipo maporini sana italazimika waanze kujenga miundombinu kama mabarabara , hospital , maduka n.k
2)Bajeti kubwa ya usalama hasa ulinzi mkali maeneo yote ya uwanja maana uko msituni
3)Pesa za afcon mkazitumia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.