uvumilivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Makabila wanawake husifiwa uvumilivu, wasiofuata mali, hujenga familia za kudumu hadi kifo na huchepuka kwa tahadhari bila kuvuruga ndoa zao

    1. Wabena 2. Wahehe 3. Wasukuma 4. Wakurya 5. Waha Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la...
  2. JamiiForums Tanzania Deus Sangu ashiriki Mkutano wa Ahmadiyya, asema “Amani na uvumilivu ni msingi mkuu wa utekelezaji wa Dira ya 2050”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Clement Sangu ameipongeza Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania kwa kuandaa Mkutano Mkuu (Jalsa Salana) wa 55 wa Mwaka 2026, huku akisisitiza umuhimu wa amani, upendo na mshikamano nchini. Waziri Sangu ambaye alimwakilisha Waziri...
  3. JamiiForums Tanzania Katika ujasiriamali sio hamasa pekee inayojenga biashara, unahitaji uvumilivu na mtazamo sahihi zaidi

    Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
  4. JamiiForums Tanzania Liwalo na Liwe. Nadhani leo inaweza kuwa mwisho. Naona imefikia hatua ambayo nakosa uvumilivu. Naweza kumpatia mwingine

    Inawezekana hata ile asubuhi kusema gari haiwaki battery imekufa kabisa ilikuwa ni mbinu na alianza tengeneza mazingira. Huyu demu nina miezi naye miwili tu. Yaani 2 months. Mbali na sisi kutumiana. Maana tumeshanyanduana sana. Hakuna faida nyingine tumepeana zaidi ya wakati flani aliomba...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hasa kinachofanya ndoa idumu kwa muda mrefu? Je ni imani, upendo, uvumilivu, kuelewana, maandalizi ya akili, au kuna kitu kingine cha msi

    Ikumbukwe mimi si mwana ndoa ila natalajia kuingia huko, natamani pia kufahamu uelewa wenu. Kwa mtazamo wa uchambuzi, mambo yanayosaidia ndoa kudumu yanaweza kuwa: 1. Uelewa wa maana ya ndoa Watu wengi huingia kwenye ndoa wakifikiri ni mwisho wa safari ya furaha, lakini kwa kweli ni mwanzo...
  6. JamiiForums Tanzania Niffer uvumilivu umemshinda kaacha kuvaa ushungi

    Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab. Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda kichwa kwa ushungi na kupelekea hadi baadhi ya members jamvini kina Malaria 2 kumsifia kwa huo...
  7. JamiiForums Tanzania Uvumilivu: Sifa Pekee Utakayohitaji Maishani

    Kuna sifa moja ambayo ukiikosa kwenye hii dunia ya sasa, utakuwa mtu wa kulia kila siku na maisha yatakupiga ngumi za chembe bila huruma. Sifa hiyo sio mtaji mkubwa wa pesa, sio kuwa na digrii tano, na wala sio kujuana na wakubwa wa serikalini. Sifa hiyo inaitwa UVUMILIVU. Lakini hapa sishushi...
  8. JamiiForums Tanzania IRGC yaionya Marekani dhidi ya mashambulizi dhidi ya meli zake uvumilivu umefika mwisho. Italipiza kisasi kwa nguvu kubwa.

    Wanaukumbi. TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
  9. JamiiForums Tanzania Every situations in life is temporary, uvumilivu ni muhimu sana pale mambo yanapokuwa mabaya.

    Everything has a price to pay.
  10. JamiiForums Tanzania Kudate/kuoa mwanamke mwembamba (slim) unatakiwa uwe na uvumilivu wa kiwango cha SGR

    sjui ni nature au nini ila mostly wana Gubu, hasira , mlio wahi kudate au kuoa wanawake slim nadhani mnatambua vyema.
  11. JamiiForums Tanzania Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

    Dah huyu beki tatu wangu nilikua sijamcheki vizuri Wikiend tulitoka na familia niliwapeleka kuogelea Sasa nguo alizovaa beki tatu wakati anaoga ni noma, umbo limejichora halafu ana kimzigo fulani hivi Huyu beki tatu muda mwingi anakua na mimi ila nikifikiria athari za uzinzi nafsi inasita.
  12. JamiiForums Tanzania Kama Rais anajibiwa, kukosolewa na wakati mwingine kubagazwa Mwacheni Mzee Warioba naye apewe dozi. Demokrasia hiyo. Inahitaji uvumilivu.

    Hamjambo wote! 1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea. 2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI. 3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong

    12 January 2026 Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong Januari 12, 2026 Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake: Tatizo wanaume hawana uvumilivu

  15. JamiiForums Tanzania Vijana Hatujazoea Kulalamika, Lakini Haya Yanayotokea Sasa Ni Beyond Uvumilivu!

    Jamani wana JF, kuna jambo linaniumiza sana na natamani tulijadili kwa uwazi bila kuogopa. Kila siku tumekuwa tukisikia kauli zinazotuambia, “Vijana fanyeni kazi, acheni kulalamika.” Sawa, lakini mnataka kuniambia kweli vijana wa taifa hili hawafanyi kazi? Ukweli ni kwamba vijana tumepitia...
  16. JamiiForums Tanzania Nimefikia kikomo cha mwisho cha uvumilivu huu ujinga sasa basi

    Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho. Imetosha.
  17. JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  18. JamiiForums Tanzania Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda

    "Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za mahubiri yetu kwa viongozi wa vitongoji siku ya ijumaa kabla ya jumapili ili watukubalie kama...
  20. JamiiForums Tanzania Tabia ya kukosa uvumilivu (Low Frustration Tolerance & Impatience)

    Ni hali ya mtu kushindwa kuvumilia hali zisizoendana na matarajio yake, kukasirika haraka, kukata tamaa kirahisi, au kutaka matokeo ya haraka bila kujali mchakato. Mara nyingi mtu wa aina hii hukosa pia shukurani – haoni uzuri wa juhudi wala hazijatosha kamwe. --- 🔍 VIASHIRIA VYA MTU MWENYE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…