Hamjambo wote!
1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea.
2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI.
3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
12 January 2026
Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong
Januari 12, 2026
Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya...
Jamani wana JF, kuna jambo linaniumiza sana na natamani tulijadili kwa uwazi bila kuogopa. Kila siku tumekuwa tukisikia kauli zinazotuambia, “Vijana fanyeni kazi, acheni kulalamika.” Sawa, lakini mnataka kuniambia kweli vijana wa taifa hili hawafanyi kazi?
Ukweli ni kwamba vijana tumepitia...
Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro.
Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro.
Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni.
Victoria...
Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
"Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za mahubiri yetu kwa viongozi wa vitongoji siku ya ijumaa kabla ya jumapili ili watukubalie kama...
Ni hali ya mtu kushindwa kuvumilia hali zisizoendana na matarajio yake, kukasirika haraka, kukata tamaa kirahisi, au kutaka matokeo ya haraka bila kujali mchakato. Mara nyingi mtu wa aina hii hukosa pia shukurani – haoni uzuri wa juhudi wala hazijatosha kamwe.
---
🔍 VIASHIRIA VYA MTU MWENYE...
Hakika uvumilivu umenishinda, siwezi kusubiria hadi j.pili, siwezi kuangalia kwenye luniga, leo hii naondoka na boti kuelekea zenji kwenda kuhakikisha Timu bora Africa Simba Sport Club inashinda na kuchukua kikombe.
Naomba wazenji wanitafutie mahali pa kufikia.
UBAYAAAAA.......UBWELAAAAA.
Leo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote.
Kabla ya tukio hili Kuna siku tulikua tunaongea, kumbe alikua...
Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
Wanajamvi, habari zenu.
Naomba niende kwenye mada. Nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye nilikutana naye kwa mara ya kwanza mwezi wa tisa mwaka jana nikiwa katika mizunguko yangu ya utafutaji. Nilimtongoza wakati huo, akakataa. Jinsia yangu ni Mwanaume (Me).
Mwaka huu, mwezi wa pili...
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu.
Kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.
Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya...
Blogging sio kazi yangu, naweza kusema ni kama aina ya mti nilioupanda mimi navuna tu, nina shughuli zingine
Watu wengi wanapofungua blog wazo linalowajia, ngoja nifanye kama blogger flani niposti habari za michezo, miziki, udaku, n.k. hapa ndipo watu wengi sana wanafeli na kuzifunga blogs zao...
Ndugu zangu Watanzania,
Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mimi...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla.
It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF...
Jumapili njema .
Katika nyakati tofauti huwa watu wanazungumzia uwezo wa uvumilivu wa mwanamke katika MAISHA.
Leo nitazungumzia kuhusu uwezo wa kipekee wa mwanamke unaitwa Incubation power
incubation ni uwezo ambao mwanamke anakuwa nao unaomfanya kuweza kumvumilia MTU au jambo fulani, au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.