Sio ndoto, ni tukio halisi. Baada ya kuperuzi JF nikampigia mke wangu, maana niko Mafinga nimekuja kufunga mzigo wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa shule.
Nilipomaliza kuongea na simu, nimekuja kushtuliwa na maumivu makali sana kitu kimeng'ata uume wangu na kimeushikilia.
Uzuri switch iko hapahapa...