Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake.
Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguke kiuno na kusababisha asiwe rijali.
Akizungumzia...
Nyangumi wa bluu ana uume mkubwa zaidi katika ufalme wa wanyama. Kwa kawaida inatajwa kuwa na urefu wa wastani wa uume wa mita 2.5 (8 ft 2 in) hadi mita 3 (9.8 ft) na kipenyo cha sentimita 30 (12 in) hadi sentimeta 36 (14 in).
Ncha iliyokaushwa ya uume wa nyangumi wa Bluu, Makumbusho ya...
Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki
Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke
Yote yanawezekana ila...
Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi.
Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba wanakuwa ni wenye kuvutia muda wote. Ni kawaida kukuta chumbani kwa mwanamke vipodozi vingi vya kila...
Habari ya majukumu wanajamvi,
Naombeni kuuliza kwa wanaolifahamu hili kama kichwa cha uzi huu kinavyo sema, ni kweli kwamba minyoo ya amoeba inapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex.
Jambo hili nimeliona katika platform mbali mbali na coment mbalimbali humu hum Jfm, nilihitaji...
Dr habari za kazi aisee Nina tatzo la kujitokeza kinyama katikati ya uume wangu n kadogo Sana kapo sehemu unapotokea mkojo sijui nn shida msaada wako na tiba yake nini?
Samahani kwa hiyo picha.
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni! Msemo huu unajidhihirisha baada ya kauli ya Onesmo Mbasha, ambaye ni mmoja wa vijana wanaouza bidhaa mbalimbali zitokanazo na wanyama zikiwamo sehemu za uzazi za ng’ombe dume zinazojumuisha uume na korodani.
Zipo taarifa kuwa viungo hivyo vya ng’ombe ni...
Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai.
Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua.
Ninawashwa sana mwilini na vijipele...
Hi gentlemen & ladies!
Kama sitakosea ilikuwa 2019 mdau mmoja humu alitupia uzi au alichangia kwenye uzi fulani uliozungumzia jinsi ya kuboresha tendo la ndoa.
Alielezea kuwa ukichukua mafuta ya mgando kidogo ukimix na dawa ya meno kidogo kisha ukimpaka dula kichwa wazi basi utapata raha ya kufa...
Kichwa kinajiekeza.
Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilijiona kitu cha tofauti kwenye kichwa cha uume wangu kwanza ulianza kama mwasho sana basi nikawa najikuna sana kadri nikijikuna nasikia raha, nikajua ni kawaida tu, then next three days nikawa napata kama michubuko kwenye kichwa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.