Kuna vitu kamwe havipaswi kuchezewa kunajisiwa wala kuharibiwa kwa namna yoyote ile.. Vitu hivyo ni ardhi na uumbaji
Unajua katika imani nyingi na mitazamo ya kiroho, ardhi na uumbaji huchukuliwa kuwa vitu vitakatifu kwa sababu ni kazi ya mikono ya Muumba.
Na hilo halijaja kwa bahati mbaya bali...
Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni??
Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha...
Kuna imani iliyoota mizizi kuwa dunia iliumbwa na Mungu. Nani alioina ikiumbwa? Kwani kila kitu lazima kiumbwe.
Mbona vitu vingine vinaweza kuzuka? Kinachowasumbua ni ule ujinga kuwa kila kitu lazima kiumbwe kwa vile mnaamini katika ujinga huu.
Kuna vitu hatujui na hatutaki kukiri kuwa...
Sex imetengeneza na kuharibu empires. Imeharibu mipaka na kutengeneza mipya
Sex imeshinikiza na kuhimiza
Sex imeliza na kumaliza
Sex ni expensive sana, hata kama ukiipata free, Consquences zake zitakugharimu kwa namna gani utajua mwenyewe taratibu.
Sex haifichi, lazima utagundulika tu.
Adam aliumbwa kwanza. Kabla ya kuletwa kwa Hawa, aliishi peke yake kwenye bustani ya Edeni, akajifunza mazingira, kuishi na wanyama na namna ya kuyaendesha maisha. Alipokuwa tayari, ndipo Mungu akamletea msaidizi wake, Hawa, si kama kiongozi mpya, bali kama msaidizi wake wa karibu.
Adam...
Instructions ⚠️Acha uvivu Mwenye Akili atasoma hadi mwisho wa haya maelezo na maswali yanayokuguide na utaona kuna kitu. Na Tumia imagination
Anayetumia imagination kwenye haya maswal ataelewa haraka na kugundua kitu (vuta picha🤔)
Kuna siri kuhusu Biblia
Majibu nitakuja kuyatoa baadaye sana...
bible
creation
god
hidden knowledge
jesus
marco seth
mungu
new posts
old and new tastement
secrets of bible
siri iliyojificha kwenye mwanzo
siri kuhusu mungu
siri ya kwenye biblia
trending
uumbaji
yaweh
Hivi wakuu Mungu ametuumba sie wanadamu tuje kufanya kazi? Na kuwa matajiri? Na kwanini wengine ni matajiri na wengine ni masikini? Na je kuna watu special wameumba kuwa matajiri na kuna watu special wameumbwa kuwa masikini? Na kwanini iwe hivyo?
Na ili kuishi duniani lazima tufanye kazi ndiyo...
1. Tamaduni na Dini: Spellcasting kama Uunganisho wa Roho na Nguvu
Tamaduni za Kiafrika (Ifa, Voodoo, Uganga):
Matumizi ya mitishamba, maneno ya nguvu, na mizimu yanaonesha imani kwamba ulimwengu wa kimwili na wa kiroho vinaunganishwa. Siri hapa ni ushirikiano wa nishati—maneno na matendo...
HADITHI YA UUMBAJI YA UGNOSTIKI
➖Mojawapo ya mambo yaliyoweka ugnostiki tofauti na aina nyingine za Ukristo wa hivi karibuni ni kuhusiana na Hadithi yao ya kushangaza ya uumbaji ni tafsiri ya Hadithi ya uumbaji ya kitabu cha mwanzo ambayo kiukweli imeyageuza maandiko hayo ya Agano la kale...
Simba, Chui, Fisi na wanyama wengine wala nyama walikuwa wanakula nini katika bustani ya Eden?
Chatu alikuwa anameza kitoweo chake katika bustani ya Eden?
Mamba alikuwa anakula nini??
Ndege wala nyama na samaki walikuwa wanakula nini?
Nimefanya utafiti wa kutosha. Hivyo nina 100% na kile ninachokizungumza
(a) Fundi Simu
(b) Chipser (Mkaanga Chips)
(c) Bodaboda (Afisa Usafirishaji)
(d) Wasusi wa kiume na wapaka rangi kucha
(e) ?
Tumsifu Yesu Kristo
Moderator tafadhali Uzi huu usiunganishe kwingineko
Wadau hamjamboni nyote?
Wakristo tokea mwanzoni waliabudu jumapili ambayo ni ishara ya uumbaji ikiachana na sabato iliyoashiria uumbaji wa zamani
Naweka ushahidi kuhusu Jumapili huo kama ifuatavyo
Kwamba Yesu Kristo...
GALACTIC HISTORY
Swerdlow anaandika kwamba kuna AINA SABA tofauti katika himaya ya DRACO. Aina moja ina ngozi nyeupe iliyogawanyika, macho kama ya paka, mbwa na Taya na meno yaliyotawanyika.
The DRACO walitawala DUNIA maeneo ya Pacific HIVI leo ambapo kulikua na bara lililo potea au lililo...
ELIMU YA UUAMBAJI BINADAMU BILA KUJAMIIANA (CLONING)
Mchakato wa uumbaji wa binadamu bila kujaamiana (Cloning) ulianza mwaka 1938 na wanajeshi wa Nazi chini ya kamanda Hitler. Ian Wilmut muasisi wa uuambaji wa kondoo aitwaye Dolly, raia wa London nchini Uingereza alipata upinzani mkali baada ya...
NB.. siandiki haya Kwa sababu labda nawapendelea Wanawake , au natafuta Wanawake, la Hashaa, Nina Mke na nina Wanawake zangu Kadhaa huku nje tunasogeza life bila stress !!.
Turudi kwenye Mada,. Unajua tangu ulimwengu kuumbwa, Mwanaume akapewa ,Ufalme, Uongozi ,Umiliki na Utawala Kwa...
Leo nilikuwa natafuta swali la jumla ya idadi ya nishati ulimwenguni, imepelekea kunistua na kuyumbisha concept ya draga ya God is the ENERGY na kuipaisha concept ya a4afrika ya God is the LOGIC. Na kuibakisha imara kabisa concept ya Uhakika Bro ya kwamba God is the IDEA!!
Someni hii scientific...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.