uturuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantry Soldier

    Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

    Good morning Jamiiforums. Ni takribani siku saba/wiki moja imepita sasa tangia nchi ya Uturuki, inayotujengea SGR, ishambuliwe na magaidi. Ipo wapi response yetu? Are we not supposed to share in their grief? Nimepitia tweets na accounts za Rais, Wizara ya mambo ya nje, Ubalozi wetu kule...
  2. Shujaa Mwendazake

    Uturuki na Urusi wakubaliana kupeleka nafaka bila malipo kwa nchi Masikini - Erdogan

    Wapokeaji watakuwa nchi maskini kama vile Djibouti, Somalia, na Sudan, Ankara inasema Marais wa Urusi na Türkiye walikubaliana katika simu ya hivi majuzi kuhusu kutuma nafaka kwa mataifa maskini zaidi duniani bila malipo, kiongozi wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amefichua. Alisema hayo...
  3. Shujaa Mwendazake

    Tusipotoshe: Meli za nafaka zilizoondoka jana zilikuwa ndani ya eneo la Uturuki

    Quote: "On Monday, the Joint Coordination Centre (JCC) in Istanbul said the UN, Türkiye and Ukraine had agreed on a movement plan for 16 vessels that are located in Türkiye's territorial waters despite Russia’s decision to suspend the deal." Tuache upotoshaji wa Simba na Yanga hasa kwa Pro West...
  4. JanguKamaJangu

    Uturuki: Mbunge avunja simu yake kwa nyundo akipinga sheria kandamizi

    Mbunge huyo, Burak Erbay, mwanachama wa chama cha upinzani cha Republican People's Party amefanya tukio hilo alipokuwa akizungumza bungeni akipinga mswada unaoungwa mkono na Serikali. Chini ya sheria hii, mitandao ya kijamii na tovuti zitalazimika kutoa maelezo ya watumiaji wanaoshukiwa...
  5. 5

    Rais Erdogan wa Uturuki: Putin yuko tayari kumaliza vita

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anaamini kuwa mwenzake wa Urusi anatafuta njia ya kukomesha vita alivyoanzisha Ukraine, na kwamba "hatua muhimu" itachukuliwa. Alisema mtazamo wake kutokana na mazungumzo ya hivi majuzi na Vladimir Putin ni kwamba alitaka "kumaliza mzozo huu haraka...
  6. S

    Uturuki yalalamika ndege zake F-16 za kimarekani zimenyanyaswa vibaya mno na S-300 ya Ugiriki

    Ndegevita za kimarekani F-16 zinazomilikiwa na Uturuki zimenyanyaswa kijinsia na S-300 (mfumo wa ulinzi wa anga wa kisoviet/kirusi wa zamani) ya Ugiriki zilipokuwa zikiruka kwenye kisiwa cha Crete (Ugiriki). Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Uturuki (mwanachama wa NATO kwa miaka...
  7. BARD AI

    Watu 16 wapoteza maisha wakitoa msaada kwenye ajali Uturuki

    Takriban watu 32 wamefariki katika matukio mawili tofauti nchini Uturuki baada ya magari kuwagonga watu waliokua wakitoa msaada kwenye ajali iliyotokea eneo hilo Ajali hiyo ilihusisha Basi moja lilillopinduka eneo la Gaziantep Jumamosi asubuhi, na kuua watu 16 huku wengine 21 wakijeruhiwa Saa...
  8. Webabu

    Uturuki ni mwiba kwa NATO,yuko huku na kule.

    Mataifa ya magharibi yameshtushwa na uamuzi wa Uturuki kuziwachia benki zake 5 kutumia mfumo wa ulipaji kimtandao wa Mir ulioasisiwa na Urusi.Wakati huo huo Uturuki imeanza kununua gesi ya Urusi kwa kutumia sarafu ya Ruble ya Urusi. Kutumika kwa mfumo wa kadi za Mir badala ya Visa na Mastercard...
  9. Kijakazi

    Syria, Uturuki zilikuwa Christian Countries kabla ya Uislamu

    Kabla ya Uislamu kuja nchi ambayo leo hii zinatambulikana na Uislamu zilikuwa ni Christian Countries. Hata jina Syria linatokana na Asyrian ambapo asili yao ni Ukristu, mpaka leo hii Asyrian people ni christian wapo lkn ni minority. Uturuki nayo kabla ya Uislamu ilikuwa ni flourishing...
  10. Expensive life

    Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

    Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki. Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi. Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu...
  11. Mdau jf

    Ushauri: Anataka akafanye kazi za ndani (house girl) Uturuki

    Wasalaam Wana jf Kuna binamu yangu mkoa X ameniomba ushauri, kwamba amepata mchongo wa kwenda nchini UTURUKI kufanya kazi za ndani. Nami kwakua sina experience na mambo hayo nikaona ni Bora nilete kwenu mnaweza Kua na ABC's za kumuambia, ili nimfikishie na iwe hiari kwake kwenda ama...
  12. Gama

    Uturuki imezuia meli ya Urusi iliyobeba ngano

    Nimeona taarifa hii ya kushangaza kwakuwa niliamini kuwa Uturuki yuko upande Urusi lakini leo hii Serikali ya Uturuki imezuia meli iliyosheheni ngano, yasemekena ngano hiyo iliibiwa Ukraine. Meli hiyo imezuiwa kwa ombi la Ukraine. Najiuliza: Putin hataanza kuirushia makombora Turkey...
  13. HIMARS

    Report: Iranian intelligence chief sacked over spate of assassinations

    A court in Iran on Thursday ordered the United States government to pay over $4 billion to the families of Iranian nuclear scientists who have been killed in targeted attacks in recent years, state-run media reported. The largely symbolic ruling underscores the escalating tensions between Iran...
  14. M

    Dubai na Uturuki yanufaika kwa wimbi la mamilionea wa Kirusi kutoroka nchini mwao

    Mzuka wanajamvi! Hali ya kiuchumi Urusi ni mbaya. Zaidi ya mamilionea elfu 15 pamoja na wafanyabiashara wanatoroka Urusi nakuhamia Dubai na Uturuki. Dubai na Uturuki zimefaidika sana kwa wimbi la hawa mamilionea wa kirusi ambao wamehamishia hela zao huko. Mamilionea hao wanatoroka Urusi...
  15. makaveli10

    Kiatu cha kiume toka uturuki kinauzwa

    Wazee nauza kiatu,kimeletwa kama zawadi toka uturuki lakini hakinitoshi. Saizi ya kiatu ni UK 8, Uero 42kama kinavyoonekana pichani. Bei ni pesa taslimu za kitanzani 70 elfu. kipo kigamboni 0659445718
  16. N

    Naomba kumfahamu Reccep Tayyip Erdogan na Uturuki kwa ujumla

    Nilikuwa namchukulia mwepesi kwa wakubwa wa ulaya kama Romania au Estonia tu. Ila naona kama inabidi nimtafakari mara mbili mbili; Alipinduliwa na ghafla mapinduzi yakazimwa, walioshiriki wote wamesakwa jeshini na wameshakamatwa. Alifika mpaka tz huyu mtu, sijui alimwambia nn jpm lakini...
  17. JanguKamaJangu

    Uturuki yajitolea kusaidia mazungumzo ya Ukraine na Urusi

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amemwambia mwenzake Volodymir Zelensk wa Ukraine kwamba taifa lake lipo tayari kutoa kila usaidizi katika mchakato wa majadiliano kati ya Urusi na Ukraine. Ofisi ya Rais ya Uturuki imesema ahadi hiyo imetolewa wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu baina ya...
  18. chiembe

    Utawala wa JPM ulitengeneza mabilionea wa kichina, Uturuki na waarabu, ,Nyerere, Mwinyi Mkapa na JK walitengeneza matajiri wazawa

    Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers. Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu...
  19. MK254

    Uturuki yajitia kiherehere cha kuokoa baadhi ya wanajeshi wa Urusi waliokua wanaangamia baada ya meli kutwangwa

    Hili la Uturuki kuokoa wanajeshi 54 halijakaa vizuri, hao wauaji walipaswa wazame wote, humo walikua zaidi ya 500 hivyo bado kuna mamia watakua chakula cha papa baharini. Mwanajeshi Mrusi hapaswi kuonewa huruma popote, labda wale waliojisalimisha, na hata hao wachunguzwe akikutwa yeyote...
  20. MK254

    Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

    Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu. Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na...
Back
Top Bottom