uturuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
  2. Msaada wajuzi wa mambo wa Uturuki

    Kwa wajuzi wa mambo ambao wameweza kuishi au kusoma au kwenda tu matembezini abroad hasa nchi ya Uturuki Je mji mzuri wa kuishi ambao maisha yapo cheap kwenye nchi ya uturuki Izmir, Bursar, Ankara, Antalya, Istanbul na miji mingine upi mji mzuri kuishi?
  3. Hili jengo pembeni ya ubalozi wa uturuki njia ya Coco beach ni la nini/Nani?

    Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
  4. R

    Upinzani Uturuki kukabiliwa na Mashtaka ya Chama kuendesha Mkutano kinyume cha Sheria

    Chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki, Republican People’s Party (CHP), kinakabiliwa na mtikisiko mkubwa ambapo leo Septemba 15, 2025 Mahakama mjini Ankara inatarajiwa kuamua iwapo itabatilisha mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika mwaka 2023 kwa madai ya kasoro za kisheria. Hatua ambayo...
  5. Polisi wamewatia mbaroni wanaume wawili raia wa Uturuki waliokuwa na silaha, katika tamasha maarufu la Kitaliano karibu na jiji la Rome

    Huko Viterbo, Italia, polisi waliwakamata wahamiaji wawili wa Kituruki waliokuwa na bunduki, bastola, na risasi nyingi waliokuwa tayari kufyatulia umati wa Wakatoliki 40,000 waliokusanyika kwa ajili ya Sikukuu ya Santa Rosa. Magaidi hao wawili walikuwa wamejipanga katika nyumba ya kukodi...
  6. Mtanzania mwenye asili ya Uturuki auawa na wasiojulikana

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya Alptekin Zeynelabidin Aksoy, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ni raia wa Tanzania mwenye asili ya Uturuki, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana alfajiri katika eneo la Makaburini, Kinondoni. Kwa mujibu wa...
  7. Kituo kinachofata ni Pakistan, Qatar, Uturuki, Saudia kisha Jordan

    Ukishakua upande wa Marekani unaweza fanya lolite na hakuna kitakutokea, Na Israel hataki kuzunguukwa na nchi zilizo imara. 1. Walisema Israel ikiingia gaza ni ww3, nothing happen 2. Walisema Ukraine ikipiga ndani ya Russia itafutwa, nothing happened 3. Wakasema hisbullah wakiingia wataifuta...
  8. Zelensky amewasili Uturuki kwa Majadiliano huku Putin ameshindwa kuhudhuria

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiri nchini uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usitishwaji wa mapigano huko Ukraine ambako inatazamiwa kuwa majadiliano yanahudhuliwa na Recep Erdogan Kando na hayo Rais wa urusi voldmil putin yeye ametumiwa wawakilishi kwa ajili ya mazungumzo hayon na...
  9. Uturuki: Kundi la kigaidi La PKK limetangazwa kuvunjwa na kuweka silaha chini

    Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) kimetangaza Mei 12 kufutwa kwake na kumalizika kwa zaidi ya miongo minne ya mapambano ya...
  10. Afisa mstaafu wa Jeshi la India aionya Uturuki isijiingize kichwa kichwa

    Meja Jenerali Gagandeep Bakshi, afisa mkuu mstaafu katika Jeshi la India, juu ya Uturuki: "India ni nguvu ya nyuklia, India ni nguvu ya anga. Tunaweza kulipua kuzimu kutoka Uturuki ikiwa inahitajika. Uturuki imekuwa na tabia mbaya kwa muda mrefu."
  11. Kabla kumalizana na Hamas na Hizbullah, kwa Israel kuingia Syria na kuichoza Uturuki ndio kupagawa kwenyewe huko na kujitumbukiza shimoni.

    Sio kificho kusema Hamas na Hizbullah wameumizwa sana kijeshi japo kuna tofauti kati yao.Na vile vile ni wazi kuwa Israel imepagawa ikijiona kama imeshinda. Kupagawa kwa Israel kunaonekana kwamba wamejiamini kuendelea kushambulia maeneo ya Syria kwa visingizio na bila kizuizi.Karibuni kabisa...
  12. Netanyahu aitisha kikao cha usalama kujadili ushawishi wa uturuki ndani ya Syria, Uturuki kuweka kambo ya kijeshi palmyra

    Waziri mkuu wa israel, netanyahu,ameitisha kikao cha kujadili upanuzi wa ushawishi wa uturuki ndani ya syria mpya baada ya Assad Watawala wapya wa Syria waligeukia msaada wa kiusalama kea uturuki kwa kuitaka ijenge kambo za jeshi na kuziimarisha nchini huku pakiwa na kambo ya kijeshi ya Uturuki...
  13. Waziri Kombo apokea nakala ya Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Uturuki nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA NAKALA YA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA UTURUKI NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. H.E...
  14. Veta itaondoa udalali wa bidhaa za China na Uturuki

    Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina. yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama choma na anaingiza mzigo wa nguo kutoka china.
  15. K

    Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

    Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
  16. Dubai, China, Uturuki, au South Africa?

    Kama unataka kufanya ziara ya kuangalia fursa za kibiashara, hasa kuangalia bidhaa za kuzileta nchini, ni nchi ipi inaweza ikawa sahihi zaidi kuitembelea? Muda wa ziara ni wiki mbili! Nchi ipi kati ya hizi? DUBAI, CHINA, UTURUKI, au SOUTH AFRICA? Kwa nini?
  17. M

    Damascus: Urusi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake nchini Syria kwa msaada wa Uturuki

    Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria. Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
  18. M

    Urusi inaomba Msaada wa Uturuki ili kuwaondoa wanajeshi wake kwa usalama nchini Syria

    Wanaukumbi Moscow anaomba msaada kwa Mturuki baada ya kuzingirwa na vikosi vya waasi. ========== Russian troops have requested Turkey’s support for their safe exit from Syria following a lightning Islamist-led offensive that resulted in regime change, CNN Turk reported Sunday. The broadcaster...
  19. Putin nyuma ya Syria katika mgogoro wa Syria na Uturuki

    Hapa sasa nachanganyikiwa niwe upande upi. Maana Uturuki ndo Ottoman Empire yenyewe na movies zake zinaoneshwa sana Azam. Sasa wanapopambana na Syria... Napata kigugumizi. Putin safi sana.
  20. Uturuki yazuia ndege ya Rais wa Israel kukatiza kwenye anga lake

    Rais wa Taifa la Kigaidi la Israel amepigwa marufuku kukatiza katika anga ya Uturuki baada ya kualikwa kwenye mkutano wa COP 29 summit huko Baku Azbaijan. Turkey effectively blocked Israeli President Isaac Herzog from attending the COP29 summit in Baku earlier this week by refusing to allow his...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…