utumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Naweza vipi kurudi kwenye utumishi wa umma iwapo niliacha mwenyewe kazi?

    Nikiacha kazi mwaka 2015 kutokana na sababu za kiafya na nikapokea mpaka mafao yangu ya PSPF. Lakini sasa nimekuwa fit na naweza kufanya kazi kama kawaida. Nilijaribu kuandika barua utumishi kuomba kurudi maana nilikuwa nikiomba kazi naambiwa nina check namba hivyo siwezi ajiriwa na mimi...
  2. Joshua Mbezi

    Kipi Kinachoendelea nyuma ya michakato ya ajira katika Utumishi wa Umma?

    Vijana wengi wamekuwa wakipitia msongo mkubwa wa mawazo wanao sababishiwa na hii sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma na haya ni baadhi ya maswali wanayo jiuliza bila majibu 1; Inakuwaje nafasi za kazi zinatangazwa na watu wanajitokeza kufanya usaili lakini zoezi la kuwapangia vituo...
  3. A

    KERO Maslahi ya Watumishi wa Kampuni ya ulinzi ya GARDA WORLD ni duni

    Kampuni ya ulinzi ya Garda World imeendelea kukiuka haki za wafanyakazi wake kwa kushindwa kuongeza mishahara. Mbali na hilo, kampuni hiyo imekaa kimya kabisa kuhusu utekelezaji wa agizo la Serikali la kuongeza mishahara katika sekta binafsi kuanzia mwaka 2026, jambo linaloashiria dharau kwa...
  4. Kipenzi Changu

    Dress Code ya wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma kwanini isiigwe?

    Mwaka jana nilimtimua ofisini binti wa field aliyekuja na sketi fupi iliyokuwa inabada mpaka mistari ya chupi zake zinaonekana. Nikamwambia akabadilishe ndio arudi ofisini. Januari nilienda ofisi moja ya umma kufanya kazi, moja ya afisa aliyetuletea nyaraka alikuwa amevaa jinsi ya kubana mpaka...
  5. Waufukweni

    Serikali yapiga Marufuku Uhamisho wa Watumishi

    Waziri wa Nchi, OR Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema, "Kumekuwa na maombi mengi sana ya baadhi yetu kuomba kubadilisha vituo vya kazi. Nitoe rai, hatutakuwa na mabadiliko ya vituo vya kazi kwa sasa. Nafasi zote zimetolewa kulingana na uhitaji wa kila...
  6. Joshua Mbezi

    Yawezekana Haya Ndiyo Makundi Katika Utumishi wa Umma yaliyo Nyuma kwa Kila Kitu

    Hawa ndio watumishi wa umma wenye mambo ya ajabu na ya kustaajabisha Walimu Watendaji wa vijiji Maafisa polisi Katika Makundi haya ndio watu utakuta wanaishi kwa Madeni from January to December Hawa ni watu walio nyuma kiteknolojia yaani ni rahisi kumkuta mwalimu anamiliki smart phone kwa...
  7. A

    KERO Secretariati ya Ajira kupeleka usaili wa mahojiano Dodoma wakati written zilifanyika mikoani si sawa!

    Naomba kuwasilisha malalamiko yangu: Ni kwanini hawa PSRS wanapeleka oral interviews Dodoma ilihali written zinafanyka mikoani jambo hili linawagusa graduates wengi wa kada tofauti na ualimu na afya wao kila kitu wanafanya mikoa walipo lakini kwa kada nyingne ni lazima uende Dodoma? Kiufupi...
  8. Jamii Opportunities

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma yatangaza nafasi za kazi 17,710

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya na MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 17,710 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Ili kuweza kutazama nafasi zilizotangazwa pitia
  9. baz kaiza

    Tunaka Rais mwenye kutoka na kukemea rushwa na kusimamia maadali ya Utumishi wa Umma na kulinda rasilmali za nchi bila uoga

    Tunataka Rais mwenye kutoka na kukemea rushwa na kusimamia maadali ya Utumishi wa Umma na kulinda rasilmali za nchi bila uoga
  10. Tlaatlaah

    Huenda Polepole ndiye kijana mTanzania wa hovyo zaidi na aliechafua zaidi taswira ya vijana katika utumishi wa umma tangu tupate uhuru

    Kwanza amewatia aibu na kuwaaibisha sana vijana wote Tanazania kwa kukosa utii na kugeukia unafiki na umbea ambao hauna maana wala faida yoyote.. Pili, Ni wazi utovu wa nidhamu wa Hamphrey Polepole utawakosesha vijana wengi fursa za kuaminiwa na kupewa nafasi za kulitumikia Taifa lao katika...
  11. Damaso

    Mama Dorothy Gwajima: Tunu ya Utumishi wa Umma na Mlezi wa Jamii

    Ni saa mbili asubuhi jijini Dodoma. Simu ya mezani ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, inaita mara mbili mfululizo. Ni taarifa kutoka kwa wananchi zinaoeleza kuhusu mzozo wa kifamilia uliosababisha taharuki katika moja ya mtaa ya jijini...
  12. M

    Kwanini Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wasipewe kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu October

    Habari wakuu Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa. Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili kutenda haki??? Ili taratibu zifuatwe na kupata wawakilishi halali. N:b Job seekers wanawajua vizuri hawa...
  13. Benson Mramba

    SI KWELI PreGE2025 Mke wa Ndugai amejiuzulu utumishi wa Umma

    Naomba kujua kama ina ukweli wowote hii.
  14. M

    Sekretarieti ya ajira ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu. Je, imefikia wapi mbona kimya?

    Kuna siku Serikali kupitia sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu - ajira za kujitolea serikalini kuanza kutumika julai 2025. Je, imefikia wapi mbona kimya na hakuna kinachoendelea?
  15. Kimbesa11

    GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  16. J

    Circular na waraka za utumishi wa umma kwanini zinafichwa?

    Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa wataalamu wa utumishi wa umma hususani Maafisa utumishi wa umma hivi Kuna haja gani ya kuficha waraka mbalimbali zinazowaongoza watumishi wa umma katika kudai haki zao kama vile uhamisho, kufanya recategorization, kudai malimbikizo ya mshahara na posho Ikiwa...
  17. McLaren

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti

    Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti https://www.youtube.com/watch?v=w8fDR8FkBNo
  18. Wizara ya Ardhi

    Waziri Simbachawene akabidhi hatimiliki za ardhi wiki ya utumishi wa umma

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amewakabidhi wananchi watatu Hatimiliki za Ardhi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Baada ya...
  19. A

    Malalamiko kwa tume ya Utumishi wa umma

    Ajira portal wanaendesha usaili ambao haujakidhi vigezo kuchuja wanaogombania nafasi. Kuna usaili ambao umefanyika jumamosi ya tar. 31/06 ambapo moja ya mwajiri ni makumbusho ya Taifa. Kwenya nafasi ya wahifadhi daraja la pili kulingana na tangazo mwombaji alitakiwa kuwa na shahada ya biolojia...
  20. Redpanther

    Ni nini kilikufanya uache ajira yako kwenye sekta binafsi uiingie Kwenye utumishi wa Umma ? Ni marurupu au Mikopo ?

    Habarini za Muda huu ndugu na Jamaa wa Jamvi letu pendwa la HHM. Baada ya salam ambayo utamaduni wetu watanzania kabla ya kuwasilisha Jambo kwa hadhira. Nimekuja na hiyo ajenda kufuatia msururu wa mawazo kichwani kwangu yakiigia na kutoka, mengine nikiyapatia majibu mengine siati majibu yake...
Back
Top Bottom