utulivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania amani na utulivu vimesamia

    Sasa hivi, ukijikuta kwenye hali ambayo hukutarajiia ujue umesamia. Usitafute suluhu bila kuwa ngangari na ngunguru. Hilo ndilo wazo la leo. Msikubali kusamia wala kusamiwa.
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura Zanzibar kushiriki kura ya mapema leo Jumanne

    Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Oktoba 28, 2025 wanaanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kuwa ni "kura ya mapema" ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa kuanzia saa moja asubuhi na kufungwa saa 10 jioni na matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi wa Mungu mwenyezi ndio unaleta utulivu nchi hii

    Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa Wangemweka Nyerere...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere (1987): Msingi wa Amani ni HAKI! Bila haki, huwezi kupata utulivu wa kisiasa

    GT Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii. Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Nimejiuliza why wananchi wamempokea na kumjadili huyu mwanajeshi. Jibu, wananchi wanataka utulivu na nchi yao

    Tumeonya sana sana kama watu wa Mungu , machawa yakaona sie mataira ,kumbe lengo letu ni moja ilikua kuliponya Taifa . Huwezi ongoza taifa ambalo liko katika wakati kama huu, hakuna Duniani kote hata waliojaribu , mnajua what happened, narudia ipo nafasi ya kuliponya Taifa . 1. Sitisha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jipe siku 1 tu kwa mwezi bila simu, intaneti, watu na vileo. Utapata ufahamu wa kina kuhusu maisha yako kuliko miaka miwili isiyo na stop

    Katika maisha ya sasa yenye kelele nyingi, teknolojia kila mahali, shughuli zisizoisha, majukumu, watu, uraibu wa vileo na addictions ni rahisi kupotea ndani ya harakati bila kujitambua. Kila mwezi, jitahidi kutenga siku moja hata kwa masaa 12 ya kuwa peke yako. Nenda unakojua bila simu, bila...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Alshabab, walikua wanauza tani 30 ya makaa ya mawe kwa laki mbili, kule kwenye Amani na utulivu tani 30 ulikua elfu thelathini.

    Kweli dunia hadaa Jamaa walikomaa miaka Ile wakiwa vitani wakawa wanauza kwa laki mbili tani 30 makaa ya mawe. Kule mahala wao walikua tani 30 wanauza kwa elfu thelathini au ambaye anapajua kule walishabadilisha au bado
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna mji una utulivu kuliko Tanga

    Hivi Tanzania kuna mji una utulivu kuliko Tanga ? Halafu wanapenda mapenzi sana😃 saa 1 ya usiku haukuti mtu barabarani , soda zao , usafiri wa pikipiki hauukuti popote
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Utulivu: Niende nchi gani yenye watoto wazuri?

    Uzi tayari.
  12. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Dira ya 2050: Rostam Azizi asisitiza umuhimu wa amani na utulivu kuwa ndiyo msingi wa maendeleo

    Team Kanukuu mambo mengi Amani ya nchi Usalama wa nchi Kuwekeza ktk raslimali watu Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini Utulivu wa kisiasa Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje Kasema...
  13. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Tulia Akson ana sauti iliyojaa kiburi na ujuaji, Samia ana sauti ya utulivu na mamlaka

    Kama afya yako ya kiroho haijakufa ukiwasikiliza hawa watu wawili kwa makini utagundua tabia zilizo ndani yao kama umeshakufa huwezi kunielewa na utabishana kama pimbi.
  14. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

    Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89 2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi hapo sijapigia hesabu toka mwaka umeanza hadi ka suzuki kangu nimeuza napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema...
  15. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa ukifeli siasa kaa kwa utulivu

    Utangulizi Katika historia ya siasa, kuna dhana hatarishi inayojitokeza mara kwa mara miongoni mwa baadhi ya wanasiasa, dhana ya kutafuta huruma ya wananchi kama njia ya kuficha udhaifu wao wa kisiasa. Wanasiasa hawa, baada ya kushindwa ama kwa kukataliwa kwenye sanduku la kura, au kwa kuonekana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Utulivu ni jicho la tatu kukupa maamuzi sahihi hasa kwenye nyakati za kuvurugwa ✍️

    Walioachwa kwenye mahusiano wakakurupukia mengine haraka wakiwa kwenye hali ya kuvurugwa wengi wao walijikuta wakikosea tena vibaya zaidi ya mwanzo. Waliofumania wenzi wao au kusikia taarifa mbaya dhidi ya wenzi wao na wakafanya maamuzi wakiwa kwenye hali ya kuvurugwa wengi walijikuta kwenye...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yaleta utulivu kwa uchumi wa dunia

    Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa zaidi ya mwezi mmoja, nchi hizo mbili zimechakua njia ya mazungumzo kutatua maoni yao tofauti. Matokeo...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kati ya watawala na watawaliwa, nani anafaidi na kuvuruga 'amani na utulivu?

    Matukio ya kuteka, kupoteza, kuua, na sasa kushambulia wasiokubaliana na serikali vimeanza kuzoeleka nchini. Hali ni mbaya. Mbali na ufisadi uliogeuka donda ndugu, jinai ya kuangamiza, kutisha, kunyamazisha, na kudhulumu wasiokubali kugeuzwa au kujigeuza chawa imeongezeka. Vitisho vya...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Raisi samia utulivu unao hamasisha hauwezi kufanya uchaguzi kuwa huru na wa haki lazima mabadiliko ya kiuchaguzi yafanyike kwanza

    Nilimsikia samia anakwepa mabadiliko ya kiuchaguzi anahamasisha tu itulivu kwamba utapelekea uchaguzi wa haki bila mabadiliko yoyote ya kiuchaguzi bado hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki. Nasisitiza hakuna yoyote aliye hamasisha vurugu kwenye nchi wala aliye shika silaha yoyote mpaka...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Somo kwa vijana: Hatukuhitaji ubwatukaji barabarani kurejesha mfumo wa vyama vingi bali utashi na utulivu wa kisiasa

    Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi. Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa. Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia...
Back
Top Bottom