uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    CHADEMA Lake Zone imepotezwa na Uteuzi wa Dkt. Doto Biteko

    Asalam, Siasa ni kazi inayohitaji ustadi mkubwa na tafiti nyingi ikiwemo kuzijua hisia za wananchi. Hizi kanuni muhimu sana 1. Kwenye Siasa nenda na agenda za wananchi (Nyerere J.K) 2. Kwenye Ongea lugha ya wananchi, usiongee lugha wanayoelewa, ongea lugha yao. Kwa kanda ya ziwa CHADEMA...
  2. kavulata

    Uteuzi wa Dkt. Biteko ni mchawi mpe mwana amlee

    Dk. Biteko ni "mchapa kazi" wa viwango vya Dk. Magufuli na serikali yake kwa vipimo vya wapinzani wa Dk. Samia na serikali yake. Biteko alikuwa waziri wa kutumainiwa na ndugu wa karibu wa JPM ambae kwenye awamu ya Tano ya JPM alipewa wizara nyeti sana ya madini. Inasemekana kuwa wakati wa awamu...
  3. Chachu Ombara

    Zanzibar: Rais Mwinyi atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa ZANROADS na Kamishna wa Idara ya Bajeti

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Barabara Zanzibar (ZANROADS), Makame Ali Makame pamoja na Kamishna wa Idara ya Bajeti, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Saumu Haji.Utenguzi huo ni kuanzia leo Septemba 12, 2023.
  4. Wadiz

    Watanzania acheni roho mbaya na wivu hakuna mwenye dhambi za kudumu kuliko wengine na asiyesameheka. Mnyeti ana haki mbele ya Mamlaka ya Uteuzi

    Wasalaam TZ na Dunia, Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake. Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku...
  5. R

    Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  6. GENTAMYCINE

    Usifurahie Uteuzi bali Sikitika kwani Dossiers zako zimeonyesha Wewe ni Tishio na waliokuwa nyuma yako

    Tena kama kuna Kipindi unatakiwa uwe makini ni sasa kwakuwa hata akina GENTAMYCINE tulipokuwa Kozi kule Venezuela na Kisiwani Puerto Rico tulifundishwa kuwa ukitaka Kummaliza Adui yako onyesha Upendo na Heshima ya Kinafiki Kwake, Msogeze karibu, Msome, wajue Watu wake wa Mikakati, mjaze Upepo (...
  7. BARD AI

    Uteuzi: Kanali Simbakalia ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ranchi za Taifa (NARCO)

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Amewahi kushika nyadhifa...
  8. Father of All

    Je, uteuzi wa Biteko ni mwanzo wa mwisho wa Majaliwa?

    Kwa wanaojua kuwa cheo cha naibu waziri mkuu hakimo kwenye katiba yetu, wanahoji kunani ikulu hadi inavunja katiba? Je rais amemteua huyu mwanangu ili kumuandaa Majaliwa kuachia ngazi na Biteko kuchukua mikoba? Je anamuandalia mkwe wake Mchengerwa barabara ya kuwa waziri mkuu? Je, imekuwaje...
  9. U

    Video: Wakili Boniface Mwambukusi akifafanua kisheria na kikatiba ni kwanini uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu ni uvunjaji wa katiba ya JMT ya 1977

    NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake.. Back to the topic; ✍️Ni kweli Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa...
  10. DR Mambo Jambo

    Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
  11. J

    Ofisi ya Waziri Mkuu ina Mawaziri Wawili na Manaibu kadhaa, hawa wameshindwa kumsaidia PM hadi kaongezwa Naibu Waziri Mkuu?

    Kimuundo Ofisi ya Waziri Mkuu imesheheni Mawaziri wa kutosha yupo PM mwenyewe, Ndalichako na Mhagama wakisaidiwa na Mawaziri wadogo akina Katambi. Sasa sijaielewa kama Nishati itakuwa chini ya PM au Naibu Waziri mkuu atakuwa Nishati. Kuna wakati Hayati Mkapa aliombwa na CCM amfanye Magufuli...
  12. J

    Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri muda mchache baada ya kufanya mabadiliko

    ais Samia amemteua Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Y. Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Wengine walioteuliwa kuwa Wajumbe wa Tume hiyo ni Omar Issa ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela Pia, Ami R. Mpungwe ambaye ni Balozi...
  13. Heparin

    Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa...
  14. Jidu La Mabambasi

    Uteuzi wa Askofu Malasusa ni maajabu ya Mungu!

    Uteuzi wa Askofu Malasusa haukuja hivi hivi. Ni maajabu ya mipango ya Mungu. Wengi hawaijui historia ya familia ya Malasusa. Alex Gehaz Malasusa ni mtoto wa pili wa mchungaji mzee Gehaz Malasusa. Mzee Gehaz Malasusa alisomea uchungaji miaka ya mwanzoni ya 1960 hadi huko Marekani, ambako...
  15. mtwa mkulu

    Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme

    Hivi Kile kitendo cha Januari makamba kusaini mkataba wa matrilioni ya fweza kwaajili ya kukarabati miundombinu ya umeme ni mimi peke angu ninae kikumbuka? Hakika kiwango hiki cha fweza ni kingi sana. Mama anaupiga mwingi sana. Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme. Hakika mama...
  16. Notorious thug

    Huu Uteuzi wa Aman Abeidi Karume na Anne Makinda kua Wakuu wa Vyuo vya MUST & MOCU Vijana hawapo?

    Ni mwendo wa kupeana mashavu kama kawaida ila mbona tu Wazee mnaangalia Uzoefu tu au? Vijana hamna?
  17. Suley2019

    Uteuzi: Amani Karume na Anna Makinda wateuliwa kuwa Wakuu wa Chuo

    Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
  18. benzemah

    Uteuzi: Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi za Shirika la Reli na VETA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania. li) Amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na...
  19. K

    Tatizo la Maji Mwanza: Mamlaka itengue uteuzi wa Mkurugenzi wa MWAUWASA

    Mhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba. Walitudanganya kuwa kulikuwa na uharibifu kwenye chanzo cha maji Capri Point na tatizo hili lingechukua miezi miwili tu kurekebishwa lakini...
  20. jemsic

    SoC03 Kuzingatia kariba za watu kwenye usaili na uteuzi kutachochea uwajibikaji

    UTANGULIZI Imetokea mara nyingi tumesikia Rais akiteua au kuchangua watu mbalimbali kushika nyadhifa serikalini au pengine watu kuitwa kwenye usaili wa kazi ili kuchambua na kupata wafanyakazi bora. Pamoja na ujuzi na uzoefu wa watu, ili kuteua au kupata wafanyakazi wenye weredi na ufanisi...
Back
Top Bottom