uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. leefrankne

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yajadili rufaa kuhusu uteuzi wa wabunge

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 31 Agosti, 2025 imekaa na kujadili rufaa kuhusu uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ya Muungano na Udiwani kwa Tanzania Bara zilizowasilishwa Tume kwa ajili ya uamuzi. ============= KUHUSU UAMUZI WA RUFAA DHIDI YA UAMUZI WA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI...
  2. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kwenye uteuzi wa wagombea CCM?

    Jana Halmashauri kuu ya CCM, imefanya uteuzi wa wagombea ubunge Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania na uwakilishi katika Baraza la wawakilishi Zanzibar. Naungana na wanachama wenzangu wa CCM kumpongeza mwenyekiti, kamati kuu, halmashauri kuu na wagombea wote walioteuliwa. Baada ya mchakato...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa kushangaza CCM, Ummy Mwalimu akitoswa, Baba Levo aula

    Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya majina makubwa kuachwa nje na sura mpya kuteuliwa. Katika mabadiliko hayo, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa uteuzi wa Rose Migiro na Mtandao kuimarika

    Sina uhakika kama uteuzi wa Rose Migiro unakusudia nini? kuimarisha safu? kubadilisha sura na taswira ya chama kimataifa? kuvutia na ushawishi kwa akina mama? au kuboresha kikundi mtandao kinachotajwa na HPolepole. Kimkakati ni nini hasa? Tujadili. Mimi sina majibu kwa hili
  5. J

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dk Asha Rose-Migiro, Kenani Kihongosi ni wa Kimkakati huenda wakatenguliwa baada ya malengo kutimia

    CCM imemteua Dk Asha Rose- Migiro, kuwa Katibu Mkuu wake kuchukua nafasi ya Dk. Emanuel Nchimbi, Mgombea Mwenza wa Mama Samia. Aidha Chama hicho kimemteua Kenani Kihongosi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi. Mabadiriko haya ni ya Kimkakati zaidi kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili avitaka vyama vya siasa kuwasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna Kigogo anatajwa kuvuruga uteuzi wa Wabunge Jimbo la Ulanga

    Mjumbe wa Kamati Kuu (MCC) (kwa sasa jina linawekwa kapuni) anatajwa kuvuruga mchakato wa uteuzi wa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ulanga, Morogoro. Taarifa ndani ya CCM Mkoani Morogoro, zinaeleza kuwa Kigogo huyo ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini, aliteuliwa kusimamia vikao vya mchujo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa wabunge Ulenge wabunge walio na uchungu na nchi hii na wasomi

    Kwenye kura za maoni asilimia kubwa RUSHWA ilitumika sana na hii haina mjadala kila mtu aliona. Wengi waliopita waliwanunua wapiga kura na kuwaacha wale walio na uwezo kwa kukosa fedha za kuwahonga wajumbe waliachwa. Ninaishauri Chama changu. Chama kifanye utafiti wa kina na iwapendekeze wale...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mongella: Uteuzi wa mgombea Urais CCM haukukiuka katiba

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella amesema mchakato wa kumteua mgombea wa urais wa Tanzania ulizingatia Katiba ya chama hicho.
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nikipongeze CCM kwa namna kilivyo simamia uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali mpaka sasa

    Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ni chama kikubwa sana . Kutokana na ukubwa huu ni rahisi sana kutokea misuguano ndani kwa ndani kwani kuna watu wa kila aina. Utaratibu uliotumika kipindi hiki umeweza na unakiacha chama kikiwa kimeimarika sana. Kila mmoja alishuhudia kwa uwazi jinsi mchakato...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbalia, pia amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kupanga kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa kituo ni kama...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Muinja Maingu: Nimeridhika Na Uteuzi, Nitabaki CCM

    Mwanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Muinja Maingu, amesema ameridhishwa na mchakato wa uteuzi uliofanywa na chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, akibainisha kuwa ataendelea kubaki ndani ya CCM na kuunga mkono maamuzi ya chama. Akizungumza mara baada ya kutangazwa...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kisiasa, lawama zote ni kwa Kikwete kwa kuvuruga uteuzi wa mgombea Urais, lakini TUJISAHIHISHE

    Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete. Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa. Suala la kumteua mgombea wa kiti cha urais NJE ya utaratibu na katiba ya chama lilikuwa kosa kubwa. Na hili limemjengea Mwenyekiti wa...
  15. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vigogo 3 wa CCM wajipanga kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM

    Polepole ameamsha hasira miongoni mwa wanaccm walio wengi. Na hivyo kupelekea vigogo 3 kujipanga kwenda mahakamani kuzuia uteuzi wa mgombea urais kwa madai kuwa mchakato haukufuata katiba, kanuni na taratibu za chama chao. Endapo shauri hilo litafunguliwa, kuna uwezekano mkubwa CCM ikafuata...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tume iko wapi kukibana CCM na mgombea wake ili kutengua uteuzi wake? Tume itende haki

    Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea vyama pinzani Tunapozungumza leo, Chadema imesimamishwa mikutano, luzuku na hata kiongozi yoyote...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kila Mwenye Uelewa Anafahamu Uteuzi Wa Mgombea Huyu Wa Urais Ulikiuka Yote

    Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa Urais ulikiuka kila kitu, kuanzia katiba ya CCM na ya nchi, sheria za uchaguzi, mpaka mazoea ya CCM. UFafanuzi: 1. Magufuli na Samia walizunguka nchi nzima wakiomba kupewamamlaka ya kuunda setikali ya awamu ya 5. Bahati mbaya Magufuli akafariki kabla ya awamu ya...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Makalla asema mchakato uteuzi wa wagombea CCM hadi Julai 28, 2025

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  20. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Polepole: Agenda ya uteuzi wa Samia ni Res Judicata kwa sasa

    Katika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena. Hiyo ndio maana ya Res judicata. Sasa hivi CCM tayari tuna mgombea urais, Dkt Samia, mchakato...
Back
Top Bottom