utendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Jokate Mwegelo ni kiungo sahihi cha utendaji UVCCM

    Anaandika Humphrey Shao wa Msakuzi Kaskazini. kiongozi ni lazima awe ni yule anayejishugulisha kufikri kwa sababu ya watu na awe anaendana na watu anawaongoza naona huu ndio Mtazamo uliomuongoza Dkt. Samia Suluhu Hassan kumchagua Mdada Mtanashati Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuongoza jumuiya...
  2. G

    Lile kundi lililokuwa linafurahia uteuzi na utendaji wa Makonda ktk nafasi ya uenezi, linasemaje baada ya utenguzi?

    Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao. Nataka kupata majibu ktk maswali haya. 1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa? 2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi...
  3. T

    Nimefurahishwa na utendaji wa ofisi ya Msajili wa NGO chini ya wizara ya Dorothy Gwajima. Tatizo lipo kwenye ngazi ya mtaa na kata

    Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt Dorothy Gwajima. Nimehudumiwa vizuri pasipo urasimu wowote mpaka kufanikisha usajili wa shirika lisilo...
  4. Masanja Kadogosa: Kukatika kwa umeme hakutakwamisha utendaji wa Reli ya SGR

    Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi...
  5. OCD Bunda fuatilia utendaji kazi wa baadhi ya mgambo wanaokusaidia kazi wengi wanashirikiana na vibaka

    Naandika andiko hili kwa uchungu sana!Kwanza ni jambo zuri sana Kwa jeshi la polisi kushirikiana na jeshi la akiba maarufu kama Mgambo katika kulinda usalama wa raia na mali zao.Ni jambo la kupongezwa na Kila mtu anayelitakia mema Taifa lake! Mkuu pasipo kuficha kitu hawa Mgambo wanaosaidiana...
  6. B

    Ridhiwani Kikwete: Mifumo mitatu mipya ya utumishi itakavyosaidia kupima utendaji wa watumishi na kusaidia wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  7. Rais Samia azindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa, Eneo la Bismarck Rock Mwanza, leo Januari 30, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa - Eneo la Bismarck Rock mkoani Mwanza, leo tarehe 30 Januari, 2024 katika ziara ya kikazi ya siku moja. https://www.youtube.com/live/PbiNMKoRTzU?si=01tr_e35tIxB3CZs...
  8. B

    Kikwete asema mifumo mipya mitatu ya Utumishi itasaidia kupima utendaji na kujibu kero za wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  9. Unapimaje utendaji wa chama chako cha siasa? Je, unakubaliana na kila wanachoeleza wametekeleza au unahoji na kuutafuta ukweli?

    Chama cha siasa ni muhimili katika mfumo wa kisiasa wa nchi yoyote, na utendaji wake unaweza kuathiri maendeleo na mwelekeo wa jamii. Hata hivyo, swali linalojitokeza ni jinsi gani tunavyoweza kupima utendaji wa chama chetu cha siasa. Je, tuamini kila wanachotuambia, tukikubaliana na kila hatua...
  10. S

    Mwigulu, Makamba, Mpina, Kigwangala, Zitto nani kinara 2023

    Kati ya Hawa ni yupi alivutia zaidi utendaji wake wa kazi kwa mwaka 2023. 1. Mwigulu Nchemba 2.Hussein Bashe...
  11. Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO unaamini katika uchawi au utendaji kazi?

    Habari members, Huyu Mhandisi Nyamo-Hanga tangu amepokea kijiti toka kwa Maharage ameshindwa kuhaminisha umma wa Tanzania ya kwamba anafaa kuendelea kuikalia nafasi hiyo adhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya Taifa licha ya kupewa kipindi cha uangalizi cha miezi sita na Mh. Raisi Samia...
  12. Dkt. Biteko: Polisi zingatieni haki katika utendaji wenu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya watanzania kwani usalama wa watanzania upo mikononi mwa Jeshi hilo. Amesema hayo, leo Novemba 16...
  13. Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

    Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo. Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa. Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
  14. CCM haina Shaka na Utendaji wa Waziri Mkuu Majaliwa

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakina shaka na utendaji kazi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwakuwa ni kiongozi Mchapakazi na Mtiifu. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Paul Makonda amesema hayo leo Alhamisi, November 02, 2023 alipokwenda ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni...
  15. Natafuta kazi ya utendaji mtaa au kijiji

    Habari ya muda huu. Natafuta kazi ya afisa mtendaji mtaa au kijiji popote nchini nina cheti cha form four na form six.
  16. Balozi Hassan Simba: Wizara ya Mambo ya Afrika Mashariki ijitegemee ili kukidhi mahitaji ya sasa ya Jumuiya hii

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Kamati Kutathmini Ufanisi na utendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo tarehe 12 Oktoba, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/VsXnOx4lr3U?si=uW9N1rjK-vSrKI8l...
  17. C

    Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

    Habari wakuu, Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI. Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni...
  18. J

    Waumini Wamzawadia gari mpya Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Shoo

    Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dr Shoo amekabidhiwa gari mpya Toyota Landcruiser ya Mwaka 2023 mpya kabisa 0 km iliyonunuliwa kiwandani Ahadi ya kumnunulia Zawadi ya gari ilitolewa kwenye misa ya shukrani ya Mchungaji Dkt. Kimaro ambapo Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Siasa na...
  19. M

    Ni kwanini wanasiasa wanaingilia utendaji kazi wa vyama vya wafanyakazi?

    CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
  20. F

    Utendaji mbovu wa BRELA unaathiri uchumi wa nchi. Rais Samia tafadhali shughulika na taasisi hii

    Taasisi ya kusajili makampuni ya BRELA inafanya kazi bila weledi. Rushwa, uzembe na dharau kwa wateja vimetawala. Tafadhali mheshimiwa rais shughulika na watendaji wabovu BRELA.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…