utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama Serikali haitachutama kukaa kimya kuhusu Utekaji kwa moyo wa dhati hizi ajali ni Gharika ya Mungu kwa Taifa za wanasiasa zinafuata

    Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye kuumiza mioyo yetu
  2. Wakati Spika Tulia akisema Hamna Utekaji Wala Upoteaji watu bila Kushuhudia, Rais Samia analiagiza Jeshi la Polisi kuzuia Upoteaji watu !!

    Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!. Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
  3. R

    Peter Madeleka kimekupata nini? It is a pity kuwa mtu aliyekuwa shujaa wa IMANI kutete haki leo Unatetea utekaji!

    Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka? Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli? Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM! KWELI HAKUNA UTEKAJI?
  4. Madeleka: IGP asiishie kupunguza matukio ya utekaji, akomeshe kabisa

    " Watu wanatekwa na juzi IGP ni shahidi nampongeza sana, kasema wamefanikiwa kupunguza utekaji, maana yake IGP anawajua wanaoteka ndiyo maana ameweza kuwadhibiti. Sasa mimi wito wangu kwa IGP, ili watu waweze kuwa na amani ya kweli, nampongeza kwa kupunguza matukio ya utekaji lakini watanzania...
  5. Ni nini na lini hatima ya wasiojulikana na utekaji, nani anapaswa kuwajibika katika wajibu wake... Wananchi wanahaja ya kupata ufafanuzi yakinifu

    Serikali kwa maana ya kwamba viongozi husika (Raia nambari 1 hadi 10) wanawajibu wa kuleta majibu yenye mashiko juu ya maswali haya. Niliwahi kuona mbele ya muda exactly nini kitatokea na kikaja kutokea na nikaandika; "Thread 'Hukumu ngumu(bias) katika mashtaka mepesi' Hukumu ngumu(bias)...
  6. Wazazi wetu wana hofu juu ya utekaji, inasikitisha sana

    Wasalaam!, Nimekaa wiki 1 nzima sijawasiliana na wazazi wangu nikipambana na purukushani na namna ya kulipa hili deni la mama yetu. Leo napokea simu ya baba yangu, baada ya salamu mzee ananambia, nanukuu; "Mwanangu, usiwe unakaa muda mrefu bila kutupigia simu tukajua unaendeleaje maana tuna...
  7. Utekaji, Mauaji na Hofu ya Kunyamaza: Taifa Linaangamia Kwa Saikolojia ya Uoga wa Kimfumo

    Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological...
  8. Boniface Mwabukusi: Tuache propaganda 'Utekaji upo', mnaodai Wanajiteka, waliotoroka nchi na Madeni wekeni majina yao hadharani

    WE DON’T NEED PAINKILLERS — WE NEED A COMPLETE CURE FOR THE DISEASE. Abductions are real, and the abductors exist; some of them have already been cited in the matter of Mdude Mpaluka Nyagali. Also Read > Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali...
  9. Jeshi la Polisi limeanza kufanyia kazi kisiasa tuhuma za utekaji ambazo zilikuwa ni kilio cha watanzania wengi akiwemo gwajima

    Baada ya habari za utekaji kufikia mabeberu na watu wengi wakilalamika akiwemo josephat gwajima Jeshi la polisi limeamua kufanya siasa kwenye kushughulika na hili swala badala ya weledi Wanachofanya kwa jicho la kawaida tu ni kiini macho na mbaya zaidi hii script wameshakosea tokea mwanza hata...
  10. S

    Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
  11. B

    PreGE2025 Sheikh Ponda: Gwajima alipoongelea kuhusu utekaji alishambuliwa sana, walikerwa kuelezwa masuala hayo

    Sheikh Ponda kanyooka kama Kitima, ni mwendo wa kupiga kwenye mshono mpaka kieleweke. ==== Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ambaye pia ni mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Ufufuo na Uzima)...
  12. W

    PreGE2025 Msanii Vitalis Maembe aja na wimbo mpya kuhusu matukio ya utekaji na watu wasiojulikana, asema hakuna kukaa kimya

    Wakuu Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama. === Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA'' na kuambatisha ujumbe...
  13. Utekaji na kupotea kwa raia umeyavua nguo majeshi ya Tanzania.

    Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na ninyi mpo? Au silaha zenu ni duni kuliko hao watekaji? Au na ninyi mnahusika kwenye huu utekaji wa...
  14. K

    Jeshi lijitokeze na kutoa msimamo wa utekaji na haki za binadamu Tanzania

    Imefika wakati jeshi lijitokeze na kutoa msimamo kama wanaunga mkono upotoshaji wa haki na kunyamaza wakati watanzania wanatekwa na vyombo vingine na wanasiasa wananyima haki. Au Jeshi litoe msimamo kwamba Tanzania katiba inatakiwa kufuata ikiwa ni pamoja na kuwa na uhuru wa kupiga kura...
  15. Nawapongeza Wakristo kwa kukemea Utekaji, Kwa kiasi Fulani Sasa Pametulia

    GT Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi. Sijajua wenzetu waislamu...
  16. M

    Shura ya Maimamu wa Tanzania yatoa waraka mzito-Yalaani matendo ya utekaji na mauaji nchini na kutaka haki katika chaguzi nchini

    HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025 PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
  17. IGP Wambura: Matukio ya ujambazi, utekaji na uporaji yamedhibitiwa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita. IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na...
  18. R

    Mtu yule ni Simba na jana kajitokeza kweupe. Ni kama Nabii Eliya yaani

    Salaam, Wakati mgambo wakikesha kumtafuta, Simba yule bila woga, Jana aneungana na waombaji na maombi yakaendelea kama kawaida mchana kweupee! Ni kama tu nabii Elia, aliweza kutokea bila woga mbele ya Mfalme Ahabu Kisha akapotea asionekane popote. NB: Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope...
  19. Utekaji na Mauaji ya Watu Si tu Kwa sababu ya Urais wa Miaka 5, ni Kwa sababu ya Hatima ya Wachina na Waarabu !! Wanajua Samia akianguka,hawana Chao!

    Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!. Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa. Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati...
  20. Aliyehusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas naye afyekelewa mbali leo hii huko Gaza

    BREAKING: IDF imemwangamiza Kiongozi wa kundi la kigaidi la Mujahidina Brigedi huko Gaza, ambaye alihusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas. Yeye na familia yake wote waliangamizwa. Hakuna mahali pa kujificha. Israeli itawapata wote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…