utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Erick Kabendera huenda kikafanya vitendo vya utekaji na mauji vikapungua kama sio kwisha kabisa

    Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT " Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa...
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania TBT: Tundu Lissu aelezea Meseji za Ben Saanane za vitisho

  3. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Kenya: Wananchi na Watetezi wa Haki za Binadamu waanza Maandamano ya kupinga Utekaji na kutaka Waliotekwa kuachiwa haraka

    Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu. Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Utekaji kimya je Bashungwa umekomesha? Au wachora ramani au watekaji wapo bize na uchaguzi wa ndani?

    Sasa tumshukuru nani Bashungwa kwa kutosikia utekaji maana kitambo hatujasikia kelele kwamba huyu ametekwa sasa tumshukuru huyu waziri mteule wa mambo ya ndani kwa kufanikisha hili au wale watekaji au wachora ramani wapo bize na uchaguzi wa ndani? Na je uchaguzi ukiisha tutegemee utekaji ukianza...
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho huenda kukawa na Maandamano ya Vijana Kenya kupinga Utekaji, wameandaa wenyewe bila Wanasiasa.Njoo Tanzania tunamtafuta mtu wa kutuandamania

    Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu. Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua atishia kuwataja wanaofanya utekaji

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya Rigathi Gachagua, amesema kuwa kuna kitengo cha siri ambacho kinapanga utekaji nyara wa vijana ambao umekua ukiripotiwa nchini humo, ambapo watu 7 wakiwa wameripotiwa kutekwa na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa Usalama siku za hivi huko nchini Kenya.
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasiasa, Wananchi wanamtaka Rais Ruto kukemea na kukomesha Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Wakosoaji wake

    Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Utekaji: naiweka kama nilivyoipata toka gazeti la jumatano la mwanchi

    Tutateka, kutekwa, na kutekana hadi lini Na Nkwazi Mhango Fyatu Mfyatuzi Japo kadhi hii inaonekana kuzoeleka kama siyo kukubalika, fyatu sikubaliani na jinai hii. Siku hizi, katika kaya yetu, utekaji umegeuka dili. Unaweza kutekwa, kuteka, hata kujiteka. Hamkusikia ndata wakisema kuwa kuna...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Afya Hospitali ya Mwanyamala: Ulomi alipata ajali, mwili uliletwa December 11, 2024

    Mwili wa Mfanyabiashara aliyeripotiwa kupotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, umekutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanyamala huku Uongozi wa Hospitali hiyo ukisema Ulomi afikishwa Hospitalini hapo December 11,2024 majira ya jioni akiwa ameshafariki na...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji

    Wakuu, Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga. Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela. Wananchi baada ya kuona...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Injinia Masauni, utekaji umemuondoa Mambo ya Ndani?

    Waziri Masauni yupo yupo tu. Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa. Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu. Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu. Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku. Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo. Wizara mama...
  12. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukomesha utekaji

    Wakuu hii nchi inakwenda vibaya sana na naona watawala wanachukulia swala la utekaji kama drama na wamebariki watu watekwe na kisha wauwae Mwaka huu matendo ya utekaji yamekuwa mengi sna kila mmoja wetu analitambua hilo Walio tekwa ni jamaa zetu marafiki zetu Sasa Leo tuje na mbinu gani...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi mbona hamsemi Benk aliyehusika na utekaji wa Bonge ni ulinzi shirikishi Stendi ya Magufuli na pingu zimetoka hapo kituoni?

    Wakuu, Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri? Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio la bonge hakuonekana tena hapo Magufuli, na yule kaka mfupi kwenye video ni mdogo wa Benk! Hapo...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia?

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka lini utekaji, utesaji na mauaji Nchini Tanzania?

    Ndugu zangu Watanzania, kila mmoja wetu ameshuhudia wimbi kubwa la utekaji, utesaji na mauaji hapa Nchini hasa kabla na wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Mimi niwaombe wanaotekeleza mambo haya, waangalie zaidi UBINADAMU na UTANZANIA wetu. Tofauti ya vyama vyetu isiwe sababu ya...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Utekaji ni ushamba na unaharibu taswira ya Nchi

    Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji. Namnukuu Edo Kumwembe, Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria. Akaongeza, mpaka leo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Utekaji na utesaji siyo suluhu ya kuzuia jambo lisitokee

    Hata wakati wa Mtume, mateso yalikuwa makubwa lkn uislam umeenea licha ya mateso. Mfano 1. Bilal bin Rabah (R.A) Aina ya Mateso: Kupigwa vibaya. Kulazwa kwenye mchanga wa moto wa jangwani huku jiwe kubwa likiwekwa kwenye kifua chake. Kupigwa mijeledi. Aliyemtesa: Umayyah bin Khalaf...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Responded Kwa hali ilivyo ni muda wa kuwa na Tanzania Bureau of Investigation ambayo itakuwa inahusika na Uchunguzi pekee!

    Wakuu, Kiukweli tangu mwaka huu uanze kumekuwa na utitiri wa matukio ya mauaji na utekaji ambayo hakuna hata moja tumepatiwa majibu. Tukio likitokea, formula ni ile ile. Polisi watatoa "Statement" kwenye social media alafu mwishoni utakutana na sentesi ya UCHUNGUZI UNAENDELEA. Soma pia...
  19. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
Back
Top Bottom