utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe ni WATU NA NUSU. Hatima ya utawala bora iko mikononi mwenu kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu (Upande wa CCM)

    Ni nani wajumbe hao? Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani. CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli ambao hauwezi kufunikwa kwa maneno ya kusifia au kulinda maslahi ya watu wachache

    Waraka huu ni maalum kwa Lucas Mwashambwa, ambaye amekuwa na tabia ya kusifia sifia pamoja na mambo yenye kuzua taharuki yanayotokea Kila mara na yanawaumiza wale ambao wamekuwa wakipinga na kupaza sauti zao iwe kwa maandishi au kwa midomo yao Kwa ujumla kuna ukweli ambao hauwezi kufunikwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania CCM tupo watu 15 tu ambao tuna maanisha maana ya Tanzania na utawala bora hatutaki ujinga

    Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa ! Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM ) Nataka sasa wenyewe 1. Kwanza Mimi Britanicca 2. Butiku 3. Jaji warioba 4. Makongoro Nyerere 5. Humphrey Polepole 6. Luhaga Mpina 7. Anna...
  4. JamiiForums Tanzania Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

    Hivi karibuni ndugu Polepole baada ya kujiuzuru ubalozi ame-trend sana na kujipatia maujiko (umaarufu) kuwa ni mpigania haki, demokrasia na utawala Bora. Swali la kujiuliza ni kweli Polepole ana uchungu na mpigania haki, demokrasia na utawala Bora???. Hebu tujiulize maswali mengine haya tena...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020. Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived. Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
  6. JamiiForums Tanzania Uchache wa idadi ya raia nimSababu kuu za nchi za uarabuni zenye maisha mazuri kwa raia wengi bila utawala bora

    Watu wengi wasiopenda demokrasia kila mara hupenda kutolea mifano ya nchi za uarabuni zenye raia wenye maisha bora sana kiuchumi pasipo kuwepo na utawala bora kwenye nchi zao. Watu wa haina hii hawazingatii mambo mawili kuhusu hizi nchi ambayo ni Utajiri mkubwa wa mafuta na gesi na idadi ndogo...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CCM inasimamia amani, iko tayari kukosolewa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema chama hicho kinasimamia amani na kiko tayari kukosolewa ikiwa upizani watasema wanavunja kanuni ya utawala bora. Licha ya kauli hiyo pia amehadharisha kwamba yoyote atakayewakosoa ajipange kwakuwa watamhoji kwamba wamevunja...
  8. JamiiForums Tanzania Kukubalika na kuaminika kwa Tanzania kimataifa ni matokeo ya utawala bora wa kisheria chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia

    waTanzania mbalimbali kuaminika na kukubalika kuongoza taasisi, mashirika na jumuiya mbalimbali za kimataifa, ni kielelezo tosha cha kukua kwa nguvu ya ushawishi wa Tanazania duniani. Licha ya ubobevu wa kiujuzi na kitaaluma, uaminifu, weledi, maarifa, bidii na uchapakazi wa waTanzania moja...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Kukamilika kwa SGR ni matokeo ya Utawala bora wa CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kukamilika kwa miradi mikubwa ya kimkakati nchini, ikiwemo Reli ya Kisasa (SGR), ni matokeo ya sera madhubuti na mipango thabiti ya CCM inayolenga kuwaletea maendeleo...
  10. JamiiForums Tanzania Tamko la tume ya haki za binadamu na utawala bora maadhimisho ya siku ya wafanyakazi

    Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,THBUB yatoa tamko Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025 Tarehe 1 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Maadhimisho...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu ni legacy ya hayati Magufuli, itoshe kusema ameharibu mifumo ya utawala bora

    Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli. Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli. Kesi za jinai kwa wapinzania...
  12. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) na APRM Tanzania kushirikiana kuimarisha utawala bora

    Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeeleza dhamira yake ya kushirikiana na Taasisi ya Mpango wa Hiari wa Kujitathmini katika Vigezo vya Utawala Bora Barani Afrika (APRM) Tanzania katika kufanya tathmini za utawala bora kwa maslahi ya taifa. Makamu Mkuu wa SUZA, Prof. Moh’d Makame Haji...
  13. JamiiForums Tanzania Taasisi za kiserikali,Kibunge na Kimahakama haziwezi kuwa huru mpaka pale mfumo huru wa kiutawala utakapo undwa

    Hakuna taasisi ya kiserikali ,kimahakama ama kibunge iliyo huru Tanzania ,kitu kinachopelekea taasisi nyingi kifanya kazi zake kwa weledi na uhuru. Viongozi wa juu wa taasisi za kiserikali,,Mahakama na hata Bunge Rais anahusika moja kwa moja katika uteuzi wao. Natolea mfano TAKUKURU,ofisa...
  14. JamiiForums Tanzania Timu ya mafunzo ya elimu ya uraia na utawala bora kutoa mafunzo Mbalali

    Timu Maalumu inayo ongozwa na Prosper Alexander Kisinini mwanasheria wa Serikali imetinga wilayani Mbarali kwa Mafunzo yaliyoandaliwa na wizara ya katiba na Sheria kwa lengo la kuwajengea uwezo watendaji wa serikali za mitaa pamoja na viongozi mbalimbali wilayani hapo ikiwa ni mwendelezo wa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rc Mtanda afungua mafunzo ya elimu ya uraia na utawala bora Mwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameishukuru Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuona umuhimu wa kuendesha mafunzo hayo na ni wazi kuwa mafunzo hayo yataongeza uelewa na tija kuhusu masuala ya Uraia na Utawala Bora. Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo mapema leo Machi 03, 2025 wakati alipokuwa...
  16. JamiiForums Tanzania JamiiAfrica, Wadau wa Habari wabadilishana uzoefu wa umuhimu wa taarifa zenye maslahi kwa Umma

    Matukio mbalimbali wakati wa warsha iliyoandaliwa na JamiiAfrica kuwakutanisha Wanahabari na Wadau wa Habari kupeana elimu kuhusu umuhimu wa kuripoti Habari na taarifa zenye maslahi ya Umma, lengo likiwa ni kuhamasisha Utawala Bora na Uwajibikaji, Jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo ya siku moja...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake Viongozi wa Simiyu Wapatiwa Mafunzo Kuimarisha Utawala Bora

    📍 WANAWAKE VIONGOZI WA SIMIYU WAPATIWA MAFUNZO KUIMARISHA UTAWALA BORA 📅 19 February 2024 | Simiyu, Bariadi – Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mery Pius Chatanda, ameongoza ufunguzi wa mafunzo maalumu kwa wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji kutoka mkoa wa...
  18. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoa elimu kwa wakazi na wanafunzi Iringa

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Dkt. Thomas Masanja amesema THBUB inatarajia kutoa elimu kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Wakazi na Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Vyuo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha...
  19. JamiiForums Tanzania THBUB yapokea Malalamiko ya uvunjwaji wa haki na ukiukwaji ya misingi ya utawala bora Kigoma

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea malalamiko ya uvunjwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora kwa mkoa wa Kigoma. Malalamiko hayo yamewasilishwa na wananchi wakati wa Mkutano wa hadhara wenye lengo la kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya...
  20. JamiiForums Tanzania THBUB kutoa elimu kuhusu Misingi ya Haki na Utawala Bora kwa wananchi Kigoma

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Mhe. Bi Amina Ali amesema Tume inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kigoma kwa lengo la kuwawezesha Wananchi kutambua haki zao na kudumisha Utawala unaozingatia haki za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…