utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watawala bora wa kijeshi katika Afrika waliobadilisha mataifa yao kutoka utawala mbovu mpaka utawala bora

    Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora. 1. Jerry Rawlings- Ghana 2. Olusegun Obasanjo- Nigeria 3. Thomas Sankara- Burkinafaso 4. Meles...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pemba: Vijana wanunuliwa na CCM kwa boflo na maji ya kunywa! Ama kweli ujinga unatutesa sana!

    Tanzania tuna safari ndefu ya kwenda mpaka kufikia ukombozi kamili. Sasa hivi nimeanza kuelewa kwanini Mwalimu Julius Nyerere alikuwa anapambana sana Watanzania tuondokane na ujinga. Ona leo hii kinachoendelea, kijana wa Kitanzania mwenye akili timamu ananunuliwa kwa boflo tano na maji na...
  3. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hali tete! Utawala bora na ustawi wa jamii nchini, sababu ni hii

    1. Naam... Sababu kubwa ni Siasa kwa maana ya siasa kuelekea uchaguzi, huku ikikolezwa na mafahari wawili wakimataifa wasioweza kukaa katika zizi moja. Hao mafahari wananguvu na wanaingilia hadi mambo nyeti ni wakongwe katika gemu ya siasa mithili ya kungwi/somo ambaye ana mingle katika ndoa ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 THBUB yatoa Mafunzo kwa Polisi Arusha Kuhusu Haki za Binadamu na Utawala Bora kuelekea Uchaguzi 2025

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeendesha mafunzo kwa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuhusiana na uzingatiwaji wa haki za binadamu na misingi ya Utawala Bora katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza na Askari hao leo Septemba 17, 2025, Makamu Mwenyekiti wa...
  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania CGGI: Tanzania imepanda nafasi nne katika masuala ya utawala bora Duniani kutoka kuwa namba 82 (2021) hadi kuwa namba 78 (2025)2025

    Chandler Good Government Index (CGGI) ambayo ni kigizo cha kimataifa cha kuchambua utendaji na uwezo wa serikali inayochapishwa kila mwaka na Chandler Institute of Governance yenye makao yake Singapore imeitaja Tanzania kupanda kwa nafasi nne katika masuala ya utawala bora, kutoka nafasi ya 82...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ofisi ya tume huru ya uchaguzi kuna picha ya mgombea ukutani, sasa hizi kampeni za nini?

    Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya. Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini mharibu pesa za kampeni? Si bora mumpitishe yaishe hizo pesa zikafanye kazi nyingine? Mnalikosea...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha na heshima yao yote wananunuliwa kwa nyama na baada ya kula hawana chao tena

    Siasa za Tanzania zimeharibika sana, Jamaa mmoja kutoka Burkinafaso jina lake Captain Thomas Sankara mwaka 1979 aliwahi kusema ''who feeds you controls you'' sasa leo naanza kuelewa alikuwa anamaanisha nini. Ona wanaojiita wadudu wa Arusha, wanaojiona ndio wajanja wenye akili timamu...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kazi imeanza, mgombea awasili eneo la tukio bila mapokezi ya wananchi

    Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi. Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani. Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu...
  9. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe ni WATU NA NUSU. Hatima ya utawala bora iko mikononi mwenu kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu (Upande wa CCM)

    Ni nani wajumbe hao? Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani. CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao hauwezi kufunikwa kwa maneno ya kusifia au kulinda maslahi ya watu wachache

    Waraka huu ni maalum kwa Lucas Mwashambwa, ambaye amekuwa na tabia ya kusifia sifia pamoja na mambo yenye kuzua taharuki yanayotokea Kila mara na yanawaumiza wale ambao wamekuwa wakipinga na kupaza sauti zao iwe kwa maandishi au kwa midomo yao Kwa ujumla kuna ukweli ambao hauwezi kufunikwa kwa...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania CCM tupo watu 15 tu ambao tuna maanisha maana ya Tanzania na utawala bora hatutaki ujinga

    Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa ! Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM ) Nataka sasa wenyewe 1. Kwanza Mimi Britanicca 2. Butiku 3. Jaji warioba 4. Makongoro Nyerere 5. Humphrey Polepole 6. Luhaga Mpina 7. Anna...
  12. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

    Hivi karibuni ndugu Polepole baada ya kujiuzuru ubalozi ame-trend sana na kujipatia maujiko (umaarufu) kuwa ni mpigania haki, demokrasia na utawala Bora. Swali la kujiuliza ni kweli Polepole ana uchungu na mpigania haki, demokrasia na utawala Bora???. Hebu tujiulize maswali mengine haya tena...
  13. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020. Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived. Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uchache wa idadi ya raia nimSababu kuu za nchi za uarabuni zenye maisha mazuri kwa raia wengi bila utawala bora

    Watu wengi wasiopenda demokrasia kila mara hupenda kutolea mifano ya nchi za uarabuni zenye raia wenye maisha bora sana kiuchumi pasipo kuwepo na utawala bora kwenye nchi zao. Watu wa haina hii hawazingatii mambo mawili kuhusu hizi nchi ambayo ni Utajiri mkubwa wa mafuta na gesi na idadi ndogo...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CCM inasimamia amani, iko tayari kukosolewa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema chama hicho kinasimamia amani na kiko tayari kukosolewa ikiwa upizani watasema wanavunja kanuni ya utawala bora. Licha ya kauli hiyo pia amehadharisha kwamba yoyote atakayewakosoa ajipange kwakuwa watamhoji kwamba wamevunja...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kukubalika na kuaminika kwa Tanzania kimataifa ni matokeo ya utawala bora wa kisheria chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia

    waTanzania mbalimbali kuaminika na kukubalika kuongoza taasisi, mashirika na jumuiya mbalimbali za kimataifa, ni kielelezo tosha cha kukua kwa nguvu ya ushawishi wa Tanazania duniani. Licha ya ubobevu wa kiujuzi na kitaaluma, uaminifu, weledi, maarifa, bidii na uchapakazi wa waTanzania moja...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Kukamilika kwa SGR ni matokeo ya Utawala bora wa CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kukamilika kwa miradi mikubwa ya kimkakati nchini, ikiwemo Reli ya Kisasa (SGR), ni matokeo ya sera madhubuti na mipango thabiti ya CCM inayolenga kuwaletea maendeleo...
  18. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tamko la tume ya haki za binadamu na utawala bora maadhimisho ya siku ya wafanyakazi

    Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,THBUB yatoa tamko Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025 Tarehe 1 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Maadhimisho...
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu ni legacy ya hayati Magufuli, itoshe kusema ameharibu mifumo ya utawala bora

    Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli. Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli. Kesi za jinai kwa wapinzania...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) na APRM Tanzania kushirikiana kuimarisha utawala bora

    Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeeleza dhamira yake ya kushirikiana na Taasisi ya Mpango wa Hiari wa Kujitathmini katika Vigezo vya Utawala Bora Barani Afrika (APRM) Tanzania katika kufanya tathmini za utawala bora kwa maslahi ya taifa. Makamu Mkuu wa SUZA, Prof. Moh’d Makame Haji...
Back
Top Bottom