utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ungependa zoezi la Upigaji Kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 lifanyikaje?

    Wakuu, Mwaka huu 2024 tutafanya uchaguzi wa serikali za mtaa na mwakani 2025 tutafanya uchaguzi Mkuu ambapo tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais. Kwa kuzingatia chaguzi za nyuma mpaka kufikia leo ungependa zoezi la uchaguzi lifanyikaje ili kuongeza uwajibikaji, utawala bora pamoja na...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Godlisten Malissa afikishwa Mahakamani

    Mkurugenzi wa Taasisi ya GH Foundation, Godlisten Malissa tayari amefikishwa Mahakamani leo 18/07/2024, ambako anatarajiwa kusomewa Mashtaka kadhaa likiwemo la Uchochezi Pia soma: Malisa aripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, ajulishwa kuwa upelelezi haujakamilika Anatetewa na Mawakili Hekima...
  3. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Tatizo siyo viongozi wala vyombo vya dola bali mamlaka makubwa aliyonayo Rais, mwishowe wanafanya kazi kulinda ugali wao!

    Vyombo vyetu vinafanya kazi kubwa sana, yapo mambo makubwa ambayo yanahitaji hadi Rais ashirikishwe kufanya maamuzi lakini mambo mengi hupuuzwa. Kwa sababu Katiba imempa mamlaka makubwa mkuu wa nchi hasa kwenye teuzi na mambo mengine ndiyo maana anapoona unaenda kinyume naye utaishia...
  4. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa, Viongozi na Wanaharakati waache kugombania wananchi wanaokumbana na mkono wa sheria ili kujinufaisha

    Salaam wakuu, Miaka ya hivi karibuni kumeibuka tabia hii mbaya ya kutumia wananchi wanaokumbwa na matatizo mbalimbali hasa wanaokumbana na mkono wa sheria. Imefika wakati hadi wanamgombania kama mpira wa kona raia aliye kwenye matatizo husika ili kila mmoja basi aonekane akijali tatizo lake...
  5. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utumiaji wa teknolojia ya mfumo wa data wazi(open data) kama chombo muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa na kuimarisha utawala bora nchini Tanzania

    "Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora UTANGULIZI Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au vizuizi. Kuna mambo kadhaa yanayowakilisha mfumo wa data wazi kama vile data inapatikana bila malipo au...
  6. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Udhibiti na kuimarisha utawala bora, mifumo ya kiserikali kulinda rasilimali na maslahi ya taifa

    Imewahi kunukuliwa kwa viongozi waliopita wa Taifa letu na kitu ambacho ni ukweli ya kwamba nchi yetu ni tajiri, Na utajiri wetu unajidhihirisha katika rasilimali zetu za asili kwa maana ya madini, mbuga za wanyama (utalii), maziwa, mito na bahari, ardhi na watu. Kwa maana nyingine tuna kila...
  7. Godlisten9

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yanayotakiwa Tanzania ya leo na ijayo bila kujali chochote

    Tanzania Tuitakayo Na Ndugu. Godlisten Mwasha. Mabadiliko ya kiuchumi, elimu, huduma za afya, na utawala ni nguzo muhimu kwa maendeleo endelevu ya taifa letu la Tanzania. Katika karne ya 21, ni muhimu kuzingatia jinsi tunavyoweza kuboresha sekta hizi ili kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu...
  8. Last KING Ontuzu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hadithi ya Kiongozi Mkuu kuwa uchi na uhalisia wa hali ya kisiasa nchini

    Ni Hadithi ya Nguo Mpya za Mfalme, ni hadithi ya Kidenmarki iliyoandikwa na Hans Christian Andersen, iliyochapishwa mwaka wa 1837. Lakini inaakisi maisha yetu waafrika wasasa, kama una D mbili hutatumia nguvu nyingi kujua nini funzo lake kwenye Taifa hili. Hadithi: Zamani za kale, kulikuwa na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 The Tanzania We Need: Rising Against Corruption and Championing Good Governance

    The Tanzania We Need: Rising Against Corruption and Championing Good Governance. In the vibrant heart of East Africa lies Tanzania, a land renowned for its breathtaking landscapes, rich cultural tapestry, and the towering Mount Kilimanjaro. Beneath this natural splendour, however, there has...
  10. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uboreshaji wa mifumo ya kisiasa, utendaji na utawala bora

    Maendeleo ni mchakato unaohitaji mifumo bora ya uongozi na usimamizi unaozingatia misingi ya haki na uwajibikaji katika nyanja zote za uchumi, jamii, siasa na utamaduni. Katika kufikia Tanzania yenye maendeleo chanya inahitaji,utawala wenye katiba hai inayoweza kutetea maslahi ya taifa, uongozi...
  11. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

    Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo: i Amemteua Balozi Dkt. John Stephen...
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mifumo bora ya uongozi suluhu ya ‘uchawa’ na kujipendekeza kwa viongozi wa Serikalini

    Tanzania ni taifa linalopatikana Afrika ya mashariki na ni mwanachama wa jumuiya ya nchi za Afrika mashariki (EAC), katika jumuiya hiyo kila taifa linaongozwa na siasa ambazo hazifanani kabisa na taifa lingine. Hii ni kutokana na historia tangu mataifa haya yaliopoundwa, kwa mfano Kenya ni taifa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uchechemuzi wa sera kwa maendeleo endelevu na uthabiti wa utawala bora

    UCHECHEMUZI WA SERA KWA MAENDELEO ENDELEVU NA UTHABITI WA UTAWALA BORA Tanzania tangu uhuru na muungano kuna maeneo mengi hatujayafikia ili kufikia Maendeleo endelevu kwenye viwango vya kiuchumi hata Kama tulipo tangazwa katika awamu ya tano na Bank ya Afrika kuwa tumeingia uchumi wa Kati. Na...
  14. guojr

    JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa Uongozi Imara na Taasisi Madhubuti kwa Utawala Bora Tanzania

    Katika kipindi cha miongo michache iliyopita, Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, changamoto za utawala bora bado zinabaki kuwa kikwazo kikubwa katika kufikia malengo yetu ya maendeleo endelevu. Ni wazi kuwa uongozi imara na taasisi madhubuti ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utawala Bora ni nguzo Imara kwa Maendeleo ya Taifa Letu!

    Sawa
  16. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania DED Manyoni uwe na utu katika utendaji wako wa kazi, afya ni nguzo kuu ya mtu

    Habari wanajf, DED Manyoni uwe na utu Kwa watumishi walio Chini yako haswa ukizingatia afya ndiyo msingi wa rasilimali watu, Kipi kinakufanya kushindwa kumruhusu mtumishi wako Kada ya Uchumi ambaye anasumbuliwa na maradhi ya mapafu tena Kwa uthibitisho wa Medical Report ya Daktari kutoka...
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Tuungeni mkono CHADEMA ili tukatae mfumo wa ukandamizaji wa kikoloni uliopo

    Mchungaji Peter Msigwa akizungumza Jumatano kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu uliofanyika Jumatano Juni 05, 2024 katika Kijiji Ughandi -Singida Kaskazini amesema kuwa "Ikitokea Mkurugenzi hamridhiki naye mkitaka kumtoa, hamna uwezo wa kumtoa mpaka Rais...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya Kisiasa 2030

    Siasa ya Tanzania imekua katika mdidimio mkubwa kuanzia 2020 na sababu kubwa ni kutokuwa na Demokrasia ya kweli, wakati wananchi wakitaka mabadiliko na mfumo mzima wa uendeshahi nchi wanasiasa wa upinzani wamegeuka na kuwa wasaliti kwa wananchi na kurudi upande wa chama tawala. Wananchi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao hatutakuwa watumwa

    Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao (kununua magari ya kifahari, ziara za gharama nje ya nchi) wakapigania taifa kwa dhati hatutakuwa watumwa wa misaada ya kiteknolojia, fedha, na mengineyo.
  20. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Unakuabaliana na mimi kuwa tungekuwa na Wakuu wa Mikoa kama Makonda tusingekuwa na haja ya Wabunge?

    Naomba kukana kutumika kwa hii tathmini yangu ninayoenda kuisema hapa bali ni kwa uhuru wangu wa kutoa maoni na utimamu wangu wa kuweza kuona na kutambua mema na mabaya. Ni hivi wakuu, mimi kwa ufatiliaji wangu wa utendaji kazi wa RC Makonda tangu aanze majukumu yake km Mkuu Wa Mkoa wa Arusha...
Back
Top Bottom