Tukio linalodaiwa kutokea maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam, ambapo askari wa usalama barabarani anadaiwa kuchomoa ufunguo wa gari la dereva baada ya kutokea mabishano, linaibua maswali muhimu ya kisheria na kiutendaji.
Je, askari wa usalama barabarani ana mamlaka ya kisheria kuchomoa ufunguo wa...