😅😅 Kwa staili hii waigizaji hawawezi kukua. Mwigizaji akipata opportunity nje ya kundi anakuwa aduiWamexico wanakuaga na huu mfumo unakuta filamu 2&3 waigizaji wale wale na watengeneza maokoto vizuri .
Kuna mwigizaji mmoja maarufu hapa bongo alicopy huu mfumo baada ya kupata jina, movie 2&3 akaanza kuwatafuna wenzake
Yh ndo kinachoua soko la movie😅😅 Kwa staili hii waigizaji hawawezi kukua. Mwigizaji akipata opportunity nje ya kundi anakuwa adui