utalii

  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Utalii na mambo ya Kale Zanzibar yatoa mafunzo kwa watembeza watalii 150 (Beach Boys) ili kuilinda hazina hiyo isipotoshwe na kuharibiwa

    Wizara ya Utalii na mambo ya Kale Zanzibar imewapatia mafunzo maalum watembeza watalii 150 (Beach Boys) ili kuona kazi hiyo inafanywa vizuri kwa kulinda maslahi ya Zanziabr na tamaduni zisipotee. Yamesemwa hayo leo huko Maruhubi katika Chuo cha Hoteli na Utalii na Mkurugenzi wa Utalii Dkt...
  2. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kidigitali Sekta ya Utalii: Benki ya Exim Yazindua Suluhisho la Malipo ya Kisasa katika Z-Summit 2025

    Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mh. Mudrick Soraga (kulia), akimsikiliza Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Shani Kinswaga, wakati wa kongamano la Z-Summit 2025 lililofanyika katika Chuo Kikuu cha SUZA, Zanzibar. Kongamano hilo la kila mwaka, lililofanyika kuanzia...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wizara Yatakiwa Kubuni Mazao Mapya ya Utalii Kwenye Eneo la Amboni

    WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

    Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:- Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
  5. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania UTALII WA KILIMO: Hiki ni kitu nilichokishuhudia wakati natafuta fursa za Kilimo Mkoa wa Iringa

    Habari za jioni wana JF. Katika kutafuta fursa za kimaisha baada ya kustaafishwa rasmi na Trump 😃😄😁😀. Niliwasiliana na jamaa yangu mmoja ambaye naye amestaafishwa na Trump ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye shirika moja la Kilimo huko Iringa. Jamaa alinieleza fursa za Kilimo kwenye Kulima...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Maliasili na Utalii Yapongezwa kwa Kutafsiri Maono ya Rais Samia

    Wizara ya maliasili na utalii imepongezwa kwa kutafsiri kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha juhudi kubwa katika kuendeleza sekta ya utalii kwa kufanya uwekezaji mkubwa kwenye Taasisi za wizara ikiwemo Mamlaka ya usimamizi wa...
  7. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Utalii wa Mikutano ndio habari ya mjini!

    1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa. 2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit waandaliwe trip ya kwenda Zanzibar, Bagamoyo, Ngorongoro.
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yajitoa Rasmi Kufadhili Mradi wa REGROW Kwa Madai ya Ukiukwaji wa Haki za Wananchi Wanaozunguka Hifadhi ya Ruaha

    Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua...
  9. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania Sanaa na Utamaduni zihamishiwe katika Wizara ya Utalii na sio kama zilivyo sasa Wizara ya Habari?

    Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai?? Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi?? Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga...
  10. Bueno

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kumuona Chura Mweupe? Ingia hapa ujione utajiri wa Tanzania kwenye suala zima la utalii

    Huyu nimemuona leo hapa nilipo ni chura Mweupe sijawahi kumuona chura kama huyu aisee hapa nikifungua Tourists Centre si nakula hela za kutosha au? Waje kumuona tu wakachangia dollar 5 kwa kichwa na huyu anapatika Tanzania. Wewe unasemaje mdau wa jf? Umewahi kumuona chura mwenye rangi nyeupe?
  11. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya Kwanza Afrika kwa Utalii, Ushindi wa Uongozi wa Rais Samia

    Tanzania imetangazwa kuwa nchi bora zaidi ya kutembelea barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya U.S. News, ushindi huu mkubwa unaonesha wazi matunda ya uongozi mahiri wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu aingie madarakani, Rais Samia amekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha sekta ya...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aitaka Idara ya Uhamiaji Kutoa Huduma Nzuri kwa Wageni, Kuchochea Utalii

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea na kukuza utalii nchini kwa kutoa huduma bora na nzuri kwa wageni wanaokuja nchini kwa shughuli mbalimbali. Ameeleza hayo Januari 10, 2025 Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Arusha Mbioni Kufanywa kuwa Kitovu cha Utalii wa matibabu Ukanda wa Afrika Mashariki

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya kupanga utekelezaji wa ndoto na Maono ya Mhe. Makonda ya kuufanya Mkoa wa Arusha kuwa Kitovu cha...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Njoo utembelee na ujue historia ya Serengeti and Ngorongoro crater safari ya kutwa.

    Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area. Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
  15. galimoshi

    JamiiForums Tanzania songwe: vivutio vya utalii vinavyopatikana halmashauri ya wilaya ya Momba na sifa zake

    VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE. Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya utalii na vya kipekee hapa nchini Tanzania. Licha ya upekee wake, vivutio hivyo bado vinahitaji...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Utalii: Kulikuwa na ulazima gani Steve Nyerere kuwakaribisha wageni kwa Kingereza?

  17. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Wahadzabe ni kabila ambalo ni zaidi ya kivutio cha Utalii ila hawapewi kipaumbele kama tunavyowapa Maasai

    Kusema kweli saiz kabila la kimasai halina maajabu tena ya kufanya tuwape kipaumbele kama kivutio cha watalii kwa kuwa maisha yao ni maisha ya kawaida kabisa, ukiachana na ufugaji wao na uvaaji wao hakuna kingine cha maajabu kinachofanya kutangazwa kama kivutio cha watalii. Katika filamu ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Rasmi Tuzo za Utalii na Uhifadhi

    WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA RASMI TUZO ZA UTALII NA UHIFADHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi tuzo za uhifadhi na utalii na kusisitiza kuwa Serikali itendelea kubuni mikakati ya kuimarisha sekta ya Maliasili na Utalii kwa kuwa sekta hiyo ni nguzo muhimu ya uchumi wa Taifa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANAPA na NCAA: Mnatuibia Waongoza Watalii

    Kwa muda sasa, makampuni ya utalii nchini Tanzania yamekuwa yakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za serikali kama TANAPA na NCAA. Hali hii ni ya kusikitisha na ni kinyume na juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za kukuza...
  20. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Tanapa na wizara ya mali asili na utalii mna mpango gani na biashara ya utalii?

    Salamu kwa wote. Kutokana na kuporomoka kwa dollar, wafanyabiashara ya utalii wamejikuta wakipata hasara kubwa kutokana na exchange rate ya Tanapa kubaki kuwa 2609 Tzs huku thamani ya dollar sokoni ni 2300$. Pamoja na serikali kusisitiza matumizi ya shillingi bado kwenye biashara ya utalii...
Back
Top Bottom