utalii

  1. Hivi Rasta zina uhusiano gani na utalii

    Wadau kuna hili jambo naomba kushare humu naona mara nyingi nakutana nalo asa nikienda labda kutembea maeneo mbali mbali ya kutalii kuna ili jambo nakutana nalo la vijana wengi ambao ndio wanakuwa kama waelekezaji wageni kuwa na Rasta sasa uwa najiuliza je wageni toka nje uwa wanahitaji sana...
  2. Sio Mnigeria tu, wanawake Watanzania walalama wanavyonyanyaswa kila wakifanya utalii wa ndani

    Baada ya mwanamke Mnaijeria kujitokeza na kulalamika alichokumbana nacho wakati alikwenda kutalii, wanawake wa Tanzania wajitokeza na kusema yale ambayo hukumbana nayo kila wakijaribu kutalii nchi yao, au utalii wa ndani. Dharau, kejeli na matusi, wengine hata hunusurika kubakwa, hutukanwa kisa...
  3. M

    Kijiji cha Emboreeti wilayani Simanjiro kifanywe sehemu ya kivutio cha utalii ili kuzalisha mapato

    Wizara ya maliasili na utalii! Nimekuona bungeni Mheshimiwa naibu waziri ukijibu maswali kwa hisia nzuri ya kuendelea kuhifadhi mazingira na corridors na mazalia ya wanyama pori! Kuna hiki kijiji kinaitwa Emboreeti wilayani Simanjiro! Ni eneo muhimu sana kwa mazalia ya wanyama pori hususani kwa...
  4. Filamu ya Royal tour ni janja ya mabeberu kujipatia pesa kupitia sekta ya utalii

    Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini? Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman...
  5. B

    Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  6. Tanganyika hatuna chetu kwenye mapato na usimamizi wa utalii Zanzibar, hili swala la Mnaijeria linakuwaje la muungano?

    Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake. Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi...
  7. M

    Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Katika pitapita zangu za leo nimekutana na tweet hii ya binti kutoka Nigeria,aliyekuja Tanzania kwenye matembezi na kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa . Ameeleza namna ambavyo alikuwa amelala Warere beach hotel na usiku wa manane akashangaa kuna mwanaume kitandani anampapasa papasa na...
  8. Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

    Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
  9. Wizara ya Utalii ni kaa la moto, kunani? Uchambuzi huu hapa…

    Mabadiliko madogo ya mawaziri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, jana Machi 31, 2022 yamemuweka Waziri Pindi Chana kwenye wizara yenye “moto”. Wizara hiyo yenye historia ya “kuwakaanga” mawaziri kwa kashfa na wengine kushindwa hata kumaliza mwaka mmoja si nyingine ni ya Maliasili na...
  10. Natafuta mtu wa kuwekeza mtaji kwenye biashara ya utalii

    Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni msomi wa ngazi ya stashahada na shahada ya utalii na utawala wa biashara. Nimeyumba katika biashara...
  11. Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro: Tuliowapa Visit Kilimanjaro na Zanzibar wametuaibisha, ila tuliowapa Visit Tanzania wameiheshimisha nchi

    Unawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini Nigeria. Mkitaka mpambwe kwa Kucheza Jangwani Mafuriko Zizi la Ng'ombe League ndipo mfurahi na...
  12. Kuna Watu Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro alipovaa Jezi yao 'mbovu' Walifurahi na Kumsifu, leo kapiga 'Dongo' Kwao anaonekana 'Adui' yao

    Vumilieni tu kama ambavyo nasi pia mara kwa mara Mwenzenu Waziri wa Fedha Dk. Nchemba akiwa anatuchamba mpaka Kutudhihaki huwa tunavumilia na wala hatumfanyi kuwa ni Adui yetu kwani tunajua kuwa huo ni Utani wetu akina Kulwa na Doto wa Kariakoo Mmoja akiwa Mafurikoni na mwingine akiwa Sokoni kwa...
  13. Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

    TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini. Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe...
  14. B

    Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula na Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete watafanya ziara kwenye Mikoa ya Singida, Mwanza na Mara kuanzia tarehe 15 Machi 2022 hadi 19 Machi 2022 Hii ni kwa ajili ya kufanya shughuli 3 za Kukagua Mpango wa Matumizi ya...
  15. Sekta ya utalii imekuwa haizungumzwi sana ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Temeke ukilinganisha na maeneo mengine hapa nchini

    DC JOKATE AHAMIA SEKTA YA UTALII TEMEKE. Sekta ya utalii imekuwa haizungumzwi sana ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Temeke ukilinganisha na maeneo mengine hapa nchini hali inayofanya baadhi ya wananchi kutotambua vivutio vinavyopatikana nndani ya Halmashauri ya manispaa hiyo. Kwa kuliona...
  16. J

    Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  17. Rais Samia mchuguze Waziri wa Maliasili na Utalii pamoja na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Tunapigwa pesa!

    Kwa heshima na taadhima, Mhe Rais kuna kila dalili za upigaji katika Mamlaka hii. Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa NCAA imewalipa waandishi wa habari pesa nyingi wakiongozwa na Maulid Kitenge chini ya Uratibu wa mmiliki wa gazeti la Jambo la habari ndugu Mchange. Nguvu wanayotumia ni kubwa...
  18. Kigoma: Makamu wa Rais Mpango, afanya Utalii wa Ndani Gombe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametembelea Hifadhi ya Taifa Gombe, mkoani Kigoma na kupata fursa ya kujionea vivutio mbalimbali vya utalii hususani wanyama adimu aina ya Sokwe Mtu. Makamu wa Rais aliyeambatana na Mke wake Mama Mbonimpaye Mpango...
  19. Tujuzane kuhusu gharama za utalii wa ndani

    Habari wakuu. Aisee mimi Kuna kitu bado sikielewi hasa kuhusu haya masuala ya utalii wa ndani. Unakuta sehemu kiingilio cha serikali ni kidogo tu, tuseme kutembelea kivutio A ni 2000 au 2500 na kadhalika, ambapo sehemu nyingi haizidi 10000 Sasa tatizo linakuja kwa hawa waongoza watalii, Kuna...
  20. Utalii wa ndani Kenya waongeza mabilioni kwenye uchumi

    Huu ndio uzalendo wa kweli.... ===== The tourism sector rebounded last year supported by locals, as the industry pulled out of a painful two-year period since it was hit by the pandemic. The tourism sector performance report 2021 shows that the industry earnings jumped 65 percent to Sh146.51...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…