Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisoma katika...
Anonymous
Thread
ajira
ajira portal
changamoto
chuo
kozi
kupitia
portal
taifa
utalii
wahitimu
Binafsi ninaona RC Mtambi kuna mambo hajui kuhusu utalii na jinsi gani hii sekta ina umuhimu kwa taifa hili. Hizi amri zake zinagusa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa. Sio kauli za kidiplomasia.
Habari wakuu!
Kwa wale wazoefu wa maeneo ya Morogoro na Arusha, naomba kujua sehemu nzuri ya utalii, kufanya refreshment kama Taasisi, au family yenye ubora na huduma zote namaanisha kuanzia vyakula, michezo, wanyama, nk
Naomba msaada wakuu
Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka Watalii, Wafanyabiashara na Wadau wa utalii Zanzibar kuheshimu maadili ya Dini na Utamaduni uliopo Zanzibar kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani.
Kamisheni imesema ni lazima Migahawa na sehemu za chakula zilizo nje ya Hoteli zifungwe hadi...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Februari 11, 2026 ameelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ambapo anatarajiwa kuzindua na kukabidhi Miundombinu ya Utalii.
Kundi la wafanyabiashara hii kongwe zaidi nchini na duniani ni kubwa mno. Watu hawa wako kila Kijiji/mtaa, kata , wilaya na mkoa. Kama tukiwasajili na wakalipa kodi, kitakuwa chanzo kikubwa sana cha mapato.
Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya Mahusiano na Unyumba, imebaini kuwa pesa...
Habari Tanzania !
Hivi hatuwezi tukawa na uhamasishaji wa kujifanyia Utalii wa ndani aidha Wilaya moja kwenda nyingine au Mkoa mmoja kwenda mwingine. Tuboreshe utaratibu kwa kuweka mambo machache kwa kutozana bei ndogo tu ila pawe na masharti kadhaa.
Mfano wa hayo masharti:
1. Lazima ulale...
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND
Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na...
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND
Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na...
Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na filamu ya Tanzania: The Royal Tour.
Maonesho hayo ni...
Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe mpaka October 2030.
Ili uchumi ukue vizuri sana, na utalii ukue vizuri sana, na wananchi wapate vipato vizuri sana.
Inaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu.
Kuna baadhi ya agents...
Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia.
Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa...
China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
Arusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya...
https://dailynews.co.tz/tourism-rising-tanzanias-beauty-outshines-noise/
Idadi ya watalii imezidi uwezo wa kawaida unaotegemewa, hoteli zote zimejaa mpaka january
Zanzibar imeandika ukurasa mpya wa kihistoria katika sekta ya utalii baada ya kufanikiwa kuvunja rekodi ya uingiaji wa watalii kabla ya kufika mwisho wa mwaka 2025. Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Ndugu Arif Abbas amesema, hadi kufikia mwisho wa mwezi Oktoba 2024, visiwa hivyo...
Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake.
Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!.
DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
Mpango wa muda mrefu ni Makonda kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.
Kupelekwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadaye “kutengenezwa” kuwa Mbunge wa Arusha haikuwa bahati mbaya.
Niwape tu taarifa Wamasai hasa wale mliokuwa mkifika kula nyama za Makonda kwenye matamasha yake: Inakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.