utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utafiti wa Uchaguzi wa Madiwani: Changamoto na Sababu za Kutokuchaguliwa kwa Madiwani wa CCM October 2025

    Katika utafiti uliofanyika nchini, kupitia kila kata, imebainika kuwa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochaguliwa chini ya utawala wa Rais Magufuli, meaka 2020, kwa asilimia 90 hawataweza kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Shura ya Maimamu haikutoa matokeo ya utafiti wao? Je walikurupuka?

    Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha. Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka?
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI

    Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2022/23 unaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi katika Mkoa Njombe ni 12.7% kiwango hiki kimeongezeka kwa 1.3% ukilinganisha na 11.4% ya utafiti uliofanyika mwaka 2016/17. Lengo la kongamano hili ni kujenga uelewa wa maswala ya VVU na UKIMWI kwa vijana...
  4. JamiiForums Tanzania Utafiti: 90% ya raia wa Marekani na Uingereza hawana uwezo wa kumiliki nyumba za tofali

    Kuna siku ndugu yangu anayeishi uingereza aliniambia, inashangaza sana kwa nchi kama Tanzania ambapo mchanga unapatikana kila mahali halafu bado kuna watu hawachangamki kujenga na kumiliki nyumba. Kwakuwa mchanga ni rasilimali adimu sana hasa uingereza na sehemu nyingi za Marekani, huwa...
  5. JamiiForums Tanzania Waafrika tunaongoza kwa kujifanya tunajua mambo mengi wakati hata utafiti kidogo kwenye hayo mambo hatujafanya; mtu kaambiwa tu ishakuwa kweli!

    Kasumba hii inaathiri sana uwezo wa watu wetu wa kufikiri kwa kina, hasa katika bara letu la Afrika. Akili za Waafrika wengi zimekuwa kama sifongo zinazofyonza taarifa bila kuchuja wala kutafakari juu ya ukweli au mantiki ya kile kinachosemwa. Mara kwa mara hukutana na watu wanaoamini mambo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake watakuwa wakifanya mapenzi zaidi na ROBOTI kuliko Wanaume kuanzia 2025

    Hiyo ni kwa mujibu wa chapisho la Jarida la The Sun, ambapo limeeleza kuwa ngono kati ya roboti na Binadamu wa Kike itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume. WANAWAKE watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, kulingana na ripoti. Dk...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua katika tafiti wangu kuhusu kinachoendelea chadema

    Baada ya kumsikiliza Lissu ktk mahojiano yake ya vybombo vya habari kabla na baada ya kuchukua fomu na kurudisha. Pia baada ya kumsikiliza Mbowe , Nimepitia faceboook, twitter ambayo X ya sasa, instagram, Jf kwa account maarufu za kisiasa, na mijadala mbali mbali Nimdgundua yafuatayo Wengi...
  8. JamiiForums Tanzania Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu

    Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu. Kwaiyo ukiona una mpenz kiruka njia jua yaliyomo hayamo!
  9. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu milioni 17.5 ni maskini nchini Ujerumani(DW)

    Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali. Hali hiyo imetokana na viwango vya juu vya kodi na gharama zinazohusiana na kodi za nyumba. Kulingana na data za Ofisi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini Dini inakataza watu kunywa Bia?

    Nawasilisha!? Dini inakataza lakini watu milioni 12 Tanzania wanakunywa Bia Sana au Kidogo ili wasilewe!? Mie ni mjinga nataka kujua kitu toka JF
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo club za tanzania zina machawa sio maafsa habari waliochangamka!

    Ukimsikiliza afsa habari wa yanga anavyozungumza upuuzi wa mambo ya supu na kuhusu watu wote wapakeze chokaa kichwani unashangaa unageuka simba msemaji wake anapuyanga tiketi sold out upuuzi mtupu unakwenda tabora united unamsikiliza yule bi dada anaharisha eti afadhali moalim alijua akajiudhulu...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Utafiti unafanywa kupendekeza Israel ifukukuzwe uanachama wa Umoja wa Mataifa, Indonesia, Malaysia, Norway, Namibia, Qatar zikiunga mkono wazo hili

    Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi kuanza mkakati wa kuandaa pendekezo la kuwaondolea Israel uanachama wa Umoja wa Mataifa. Nini...
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti: Popular cars Arusha ni Land Cruiser, Rav4 na Alphard

    Juzi nilikuwa na kazi moja kwenye maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Arusha siku nzima. Sasa, kutokana na msongamano unaotokana na ongezeko kubwa la magari ilibidi nijipe dual-work na kufanya simple observational cross sectional study (Utafiti mdogo wa kutazama katika wakati mahususi). Lengo...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

    Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha...
  16. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

    CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu mdogo wa Matumizi ya Kondom Makazini: Matokeo yake yanatisha...

    Mojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi wanakaa pamoja mda mrefu almost kila weekdays (5 days) na mara nyingine wanasafiri pamoja na kulala...
  18. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yakagua Miradi ya ujenzi Kituo cha Utalii na Kituo cha Utafiti

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya shilingi...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaosafiri wana raha sana kuliko shopping

    Utafiti mpya umeonesha kwamba Watu ambao wanatumia pesa zao kwa mambo kama vile kusafiri na kuhudhuria matukio ya burudani wana furaha zaidi kuliko wale wanaozingatia kuwekeza kwenye mavazi, kununua simu kali na vitu vingine kama hivyo ‘material goods’. Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida...
  20. JamiiForums Tanzania Ladies mtaniambia kama utafiti wangu upo vizuri

    Nimekuja kugundua mabinti wengi ambao wanakutana na ugumu wa kuolewa, inafika hatua wanatamani tu walau kupata mtoto. Mabinti kumbe uwa mnatamani sana kulea, kuna ka feelings flani huwa mnakatamani ka kunyonyesha mtoto na kulea. Sasa na mimi nimewaza kutafuta binti wa kumtunuku mimba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…