utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mhandisi Emmanuel Shija: Utafiti umebaini uwepo wa kiasi kikubwa cha madini eneo la Ruangwa, Mkoani Lindi

    Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe (Graphite) na Nickel. Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Lindi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde amzawadia mwandishi bora sekta ya madini leseni ya utafiti

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amemkabidhi Mwandishi Bora wa Sekta ya Madini, Dotto Dosca, wa Malunde Blog, Leseni ya Utafiti wa Madini yenye ukubwa wa kilomita za mraba 20 katika hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards zilizofanyika Mei 05, 2025 jijini Dar es Salaam, ambapo Rais wa...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo ungezeko la makaka poa Dar ambao wengi wanatokea mikoa ya bara

    Kwa utafiti wangu mkubwa niliofanya hapa jijini dar ni kua makaka poa wengi au maa uncle wengi sio watu wa pwani kiasili wengi ni wavamizi kutoka bara hasahasa mbeya, iringa njombe na kaskazini mwa Tz, pia Kwa asilimia michache ukanda wa kati. Pia kumekua na tabia za maa Uncle kujinasibu ni...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa bongo ni kukosa akili au ni uvivu wa kufanya utafiti?

    Nimeona wengi wakiizungumzia mechi ya Simba na Stellenbosch kwamba Simba awe makini kwani siyo kama alivyokutana na Almasry. Sababu ni kwamba wapinzani wa sasa wa Simba wamemtoa Zamalek! Ni napenda niwaulize hao wachambuzi,Je walichukua muda wao kutafiti matokeo ya hivi karibuni kati ya...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Ni Lazima Utumie SPSS Katika Kila Aina ya research unayoifanya?

    Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu kuanalyse data Je ni lazima utumie SPSS kwenye kila aina ya research unayoifanya? Twende...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aelekeza kufanyika utafiti wa kina wa upatikanaji wa maji Dodoma Jiji

    Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Wizara ya Maji kuhakikisha wanaongeza nguvu ya utafiti wa kina wa maji katika Jiji la Dodoma ili kusaidia upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa Jiji la Dodoma. Waziri Aweso ameyasema hayo leo wakati akikagua miradi ya maji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso Aelekeza Kufanyika Utafiti wa Kina wa Upatikanaji wa Maji Dodoma Jiji

    WAZIRI AWESO AELEKEZA KUFANYIKA UTAFITI WA KINA WA UPATIKANAJI WA MAJI DODOMA JIJI ▪️Aagiza kuongezwa mitambo zaidi ya uchimbaji visima Dodoma Jiji ▪️Akagua miradi ya Maji eneo la Nala na Nkuhungu ▪️Miradi ya visima vinavyochimbwa kuzalisha maji lita 32m ▪️Hatua hizi kupunguza ukali wa mgao...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Utafiti unaonesha Wagonjwa wengi wa Ocean Road wanatokea Kanda ya Kaskazini si Kanda ya Ziwa

    Akijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge Joseph Michael Mkundi Bungeni leo Aprili 14, 2025 aliyehoji “Takwimu zinaonesha Wagonjwa wengi wa Saratani waliopo katika Taasisi ya Ocean Road wanatokea Kanda ya Ziwa, kwa nini Serikali isiboreshe Hospitali ya Rufaa ya Bugando Kitengo cha Saratani ili...
  9. JamiiForums Tanzania Epuka gharama za kuprint Questionnaire na interviews za utafiti wako kwa kufanya hivi

    Kristu? Assalamu alaikum Karibu kwenye muendelezo wa thread zinazohusu research writing and data analydid na leo nitaelezea kidogo kipengele cha data collection ambacho kwa asilimia kubwa watu wengi huwa wanatumia questionnaire au interview papers. Kwahiyo kama wewe bado huwa unachapisha...
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti wa wakati ulioshangaza Dunia

    Mnamo 1972, mwanasayansi wa Ufaransa alijifungia kwenye pango la giza totoro futi 440 chini ya ardhi kwa siku 180. Hakuna mwanga. Hakuna saa. Hakuna mawasiliano ya kibinadamu. Alitaka kufichua siri za akili ya mwanadamu—na matokeo aliyopata yalishangaza mno Michel Siffre alikuwa mwanajiolojia...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti; Katika Kila watanzania 10, 8 Wana u-CCM vichwani mwao!

    Ushahidi: 1. Pitia threads karibu zote hapa JF; hususani zile zitokazo kwa wanaojifanya kuichukia, utakuta wanaitaja ccm Kila baada ya maneno manne au matano.......huu ni u-CCM. 2. Mbio za mithili ya Hussein Bolt za wapinzani kukimbilia CCM wakitakiwa. Hapa mifano iliyopo nikiiandika yote...
  12. JamiiForums Tanzania Imenichukua miaka 3 kufanya utafiti wa hii Style. Imependwa "MAPIGO NA MWENDO" ni one of the best

    Kwa muda nlikuwa kimya nikifanya utafiti wa styles mbalimbali za ujenzi wa Taifa. Taifa linajengwa kwa namna mbalimbali miaka ya uhuru imagine tulikuwa kama Milion 9 hivi. Sasa? 60 plus Milion. Unadhani watu wasingekuwa busy tungefika huko? Anyway mimi si mwanasiasa. Ni miaka kadhaa nimekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi mnaoanzishaga hizi Online TV's Tanzania huwa mnakuwa mmefanya Utafiti wenu wa Kutosha au ni Kukurupuka tu kisha baadae mnakuja Kuaibika?

    Mpaka sasa 90% ya Online Tv za Watu Maarufu Tanzania zinaelekea Kufa huku wakiwa na Madeni na Wafanyakazi wao Kulia kwa kutokulipwa Mishahara. Na kuna Mmoja nae kaanzisha yake, ila Kutwa ni Kujiposti Yeye tu na Mkewe kwa Events zao, ila nina uhakika Mdhamini wake (Tajiri Mkubwa) akimchoka tu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Idara ya Utafiti Sera na Mipango mbona imesahaulika CDM

    Nimepitia idara zilizoanzishwa na viongozi wake kwenye awamu hii ya Lissu makao makuu ya Chadema, ninahisi idara muhimu ya utafiti, sera ,mipango na teknolojia haipo au wamepitiwa tu. kiukweli idara hii ni muhimu ikawepo kwa vile kuelekea kushika dola suala la utafiti, sera na teknolojia za...
  15. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Sinza inaongoza kwa Wanawake wazuri Dar nzima

    Za alasiri wana jf, Kwa watu tunaoishi dsm huu ndo ukweli mchungu hakuna sehemu inayoongoza kwa pisi kali dar es salaam nzima kuzidi Sinza haipo na haitakaa itokee sio makalio makubwa, shepu nzuri, rangi nzuri, sura nzuri yaani ni hatari wakuu Kwa wale mabaazazi mnaotafuta vifuta jasho then...
  16. JamiiForums Tanzania Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kima

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema ataunda timu ya wataalamu kufanya utafiti kuwabaini wamiliki wa mashamba ikiwa ni jitihada za kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto pamoja na mgogoro wa mpaka kati ya wilaya hiyo na Wilaya ya Chemba. Kupata matukio...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa Simbachawene,ni maandalizi ya watumishi kupungunzwa makazini au ongezeko la mishahara!!?

    Kuna Kila dalili la anguko la uchumi wa Dunia Hadi sasa,Kuna dalili za mabenki kufilisika huko tuendako,je tunaandaliwa kisaikilojia!!? Au ni Ile mbinu ya jk enzi zile ambayo dokta anaeozea mahabusu aliishtukia kipindi kile!!? Wajuvi mje mjazie nyama hapa!
  19. JamiiForums Tanzania Utajuaje kama utafiti au research unayotaka kuifanya ni Qualitative au Quantitative au Mixed?

    Kama wewe ni mwanafunzi au mtu unayetaka kujifunza kuandaa research na kuzioffer kwenye majukwaa ya freelancing kama upwork, Fiverr na Linkedin lakini huelewi baadhi ya concepts zinazotumika huko gather here. Kabla hujaanza kufanya research yako, ni muhimu kufahamu kuwa kuna aina mbalimbali za...
  20. JamiiForums Tanzania Utafiti wa Uchaguzi wa Madiwani: Changamoto na Sababu za Kutokuchaguliwa kwa Madiwani wa CCM October 2025

    Katika utafiti uliofanyika nchini, kupitia kila kata, imebainika kuwa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochaguliwa chini ya utawala wa Rais Magufuli, meaka 2020, kwa asilimia 90 hawataweza kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…