utabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Utabiri: Kuna siku Lissu ataenda kumsalimia mbaya wake katika mahabusu ya ICC

    Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu. Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule. Muda utaongea.
  2. K

    Utabiri CCM itandoka kabla ya TEC

    Utabiri CCM itandoka kabla ya TEC kwasababu mmoja ni ya wezi nyingine ni ya jamii na ukweli. Wovu haujawahi kushinda HAKI. Iko siku tutakuwa na TEC lakini Chama Cha Mapinduzi kitakuwa na jina lingine kama TANU ya Kenya Ni watu sio Chadema ona hapa https://youtu.be/w2poGaeVvCw?si=wYS6sskWQ-dKLFDZ
  3. Sifi Leo

    Utabiri raisi ATAKAE tawala Tanzania kwa Muda mfupi Dr Samia or Magufuli?shekhe Yahaya njooo duniani!

    Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi? Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili? Mbinguni kunani?
  4. S

    Tetesi: Movements restrictions na curfew kuanza rasmi tarehe 01/12/2025

    Huu ni utabiri wangu na hii itatangzwa kwa kushitukiza siku ya kesho usiku kupitia vyombo vya habari. Hint: Tarehe 01/12/2025, ni siku ya ukimwi duniani. Je, kuna lolote linaendelea serikalini kupitia Wizata ya Afya juu ya siku hii muhimu duniani? Kama hakuna,; je, ni kwanini. Nimetabiri...
  5. Mshana Jr

    Utabiri wa Shehe Yahaya bado unaishi

    Sheikh Yahya Hussein, aliyekuwa mmoja wa wapiga ramli maarufu sana nchini Tanzania, Ingawa kauli zake hazikuwa sehemu ya tafiti rasmi za kisayansi wala siyo maandiko ya kiroho yaliyo katika vitabu vitakatifu, ziliwahi kuvutia hisia za watu wengi hasa alipokuwa akizungumzia masuala ya kisiasa kwa...
  6. Huihui2

    Utabiri "Feki" wa Sheikh Yahya mwisho jana

    Sikuwahi kumsikia Sheikh Yahya Hussein, mtabiri maarufu wa Afrika Mashariki akitoa utabiri huu. Na wala hakuna mtu amewahi kuketa voice note/ video clip kuhusu maneno hayo. Lakini maneno hayo yalikuwa yana trend kila uchaguzi ulipotokea kati ya 2015, 2020 na 2025. Sasa baada ya Rais Samia...
  7. M

    GE2025 Utabiri wangu kuhusu maandamano Oktoba 29

    Maandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe. Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza...
  8. The Father of All

    Ni kama tumegeuka taifa la wapiga ramli na washirikina kirejareja

    Kila nipitapo humu, nimekuwa nasoma upuuzi uitwao 'utabiri' wa baadhi ya mazwazwa yanayojikomba kwa bi kidude kutaka wageuzwe chawa na kutupiwa makombo. Si hapa tu, hata huko mitaani, mchezo huu mchafu umeenea na kutamalaki. Ni kama tumegeuka taifa la wapiga ramli na washirikina kirejareja...
  9. Mhaya

    Utabiri wa Mchungaji Fadhili Juu Ya Humphrey Polepole Watimia

  10. Superbug

    Utabiri mwingine wa Lema watimia tena

    Kila alichotabiri Lema kimetoke Kwa 98% accurately nakumbuka aliwaonya CCM, Lissu alipopigwa risasi Lema alisema. Mkitumaliza sisi mtaanza kulana wenyewe Kwa wenyewe Sasa Leo yametimia.
  11. Lattafa

    Unajimu na Nyota : 29 October predictions

    Kuelekea 29 October. Kwanza Je, Tanzania kama nchi nyota yake ni ipi? 26 April 1964, Tanzania ilizaliwa. Baadani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hii inaifanya nchi, wananchi, uongozi wa juu kuwa na sifa za nyota Taurus /Ngombe. Sifa zake kuu ni kupenda vitu vya thamani, ufahari...
  12. Secret Star

    Utabiri wa Nyota Siku ya 29/10/2025. {Kila kitu kiko wazi}

    Hello habari! mimi sio mwanasiasa na silipwi na kikundi cha mtu au watu kwa njia yoyote nipo hapa kutoa ujumbe wa nyota siku ya Tar 29/10/2025. Mjumbe hauwawi!! Nimetazama nyota zitakavyokuwa tarehe husika 29/10/2025 kuhusiana na suala la Uchaguzi pamoja na harufu ya maandamano na vurugu...
  13. K

    Utabiri wa Ndugai

    https://youtu.be/pK4Uq9CvIkY?si=unUxxicIY6p9sr9M
  14. Street brain

    Utabiri: Miaka mitano ya rais Samia: Usipojipanga saaa, sahau kabisa kufanikiwa baadaye

    Mambo vipi wanajf jobless nakuja tena kutabiri,,,ukiangalia mwelekeo wa maendeleo ya taifa chini ya uongozi wa Rais Samia katika miaka mitano ijayo, ebu ngoja nigusie vitu vifuatavyo watu au wenye mfumo wanaenda kutengeneza vitu vifuatavyo kwenye mfumo wao👇👇👇 Watu watatengeneza mifumo yao...
  15. McLaren

    Utabiri wa huyu Mchungaji umeniogopesha. Ni nani huyu?

    Wakuu, Huyu Mchungaji ni nani. Hapa wamesema ametokea Zimbabwe maana huu utabiri wake umenishtua sana.
  16. Lamborgini

    Utabiri wa chatgpt AFCON katukataa Tz

    Kwa kuangalia form ya timu na historia ya hivi karibuni, hizi ndizo nafasi zinavyoonekana kwa robo fainali za CHAN 2025: 🔥 Robo Fainali 1. Kenya 🆚 Madagascar Kenya wako kwenye kiwango kizuri sana baada ya kushinda Group A. Madagascar nao wana kasi, lakini Kenya wanaonekana na nafasi kubwa...
  17. ELI COHEN

    Huu ni utabiri wangu wa EPL msimu huu wako ni upi?

    BINGWA: liverpool MFUNGAJI BORA: halaand GK BORA: donnaruma YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer TOP SIX: liverpool Man city Arsenal Man Utd Chelsea Tottenham
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    UTABIRI: Simba itakandwa 4 bila, ngao ya jamii

    Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine). Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi) Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mtandao wa Bloga Tanzania yawaonya wanaotabiri majanga, "wanaleta taharuki"

    Mtandao wa Bloga Tanzania (TBN) umekemea vikali tabia inayoshamiri ya watu kujinadi kufanya utabiri kwa watu na taifa kupitia mitandao ya kijamii, ukisema vitendo hivyo vinakiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Kauli hiyo imetolewa kama azimio katika kikao kazi cha mafunzo ya mabloga...
  20. R

    Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Back
Top Bottom