utabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri Tulia Ackson atakuwa Waziri Mkuu baada ya Kassim Majaliwa

    Mimi Mdogo ake the BOLD leo tarehe 05.08.2025 natabiri next PM will be TULIA ACKSON MWASANSU "Amtumaniae Bwana ni kama mlima SAYUNI"
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Uchaguzi kufanyika mwakani February 2026

    Ulimwengu wa roho umenionyesha hili jambo mara kadhaa Kuna sababu za msingi na zisizo za msingi zitatokea na kivyovyote uchaguzi utasogezaa mbele Sababu hizo zitasababisha mgawanyiko baridi ndani ya CCM uishe na chadema watashiriki uchaguzi
  3. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yaliyotokea 2015 yakiongozwa na Lowasa yanaweza kutokea 2025 yakiongozwa na Polepole

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwa siasa za nchi yetu, upinzani wa kweli utaanzia na kutatokea (originate from) ndani ya CCM yenyewe na si vinginevyo. Tulishuhudia Lyatonga Mrema alipomeguka ktoka ccm na kutua NCCR- Mageuzi mwaka 1995. CCM waliponea chupuchupu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huo...
  4. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hatimae utabiri wa mwaka 1995 umetimia, muda ni rafiki wa kweli

    Wasalaam. Mwaka 1995 Baba wa taifa hayati mwl J.K. Nyerere akiwahutubia wajumbe wa CCM alisema, nanukuu "CCM inapomtangaza mgombea urais katika uchaguzi wa rais, ni kwamba wanamtamka rais ajae wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini huyo anataka urais asiutake kwa siri bali aje aseme mbele ya...
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu umetimia Hersi kugombea ubunge mwana FA ajipange hapo kwenye uwaziri

    Wakuu mpo! Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025 https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/ Leo nmeona taarifa kachukua fomu. Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
  6. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa nyota leo jumatano 18/6/2025

    UTABIRI WA NYOTA LEO JUMATANO 18/6/2025 Kumbuka kwamba nyota zina athari ya moja kwa moja katika maisha yetu na yeyote asiyefuata nyota yake hawezi kamwe kusonga mbele kwa maana anaishi nje ya asili yake♐ Ikiwa unavutiwa na utabiri huu basi jiunga nasi whatsapp kwa kubonyeza link ya group letu...
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri uchaguzi Mkuu 2025

    Ufunuo wa Rohoni (Tazama kwa Macho ya Kiroho): Nilipouliza rohoni, ikaja picha ifuatayo: "Ninaona mti mkubwa wa kijani wenye mizizi nene katikati ya nchi, juu yake kuna mama aliyeshika taa, nyuma yake kuna upepo mkali wa manyunyu ya mvua, lakini taa yake haizimiki. Pembeni, kuna kundi la...
  8. C

    JamiiForums Tanzania CCM wanapambana by hooks or crooks utabiri wa sheikh Yahaya usitimie

    Hicho ndio kinachowatisha CCM...hawatakuwa submissive hata siku moja...Hawatakubali kufanya any reforms hata siku moja.. Uzi tayari
  9. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Nabii Bashando afuta Utabiri wa Seikh Yahya, awaonya Askofu kabugimila, Mapinduzi na wenzake

    Huko kunako mtandao wa Kijamii wa Instagram siku ya Jana Nabii bashando ameibua maswali Mengi wa Watanzania baada ya Kupost kipande cha Video akielezea kwamba amefanya maombi ya Kufuta kabisa Unabii uliotabiriwa na Sheikh yahya. unabii Huo uliohusu Upinzani kushika madaraka baada ya Rais...
  10. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa shekhe yahya

    Mambo haya , yanaenda kutimia
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Utabiri 2024; mengi aliyotabiri yameanza kutokea

    https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=utlV5n-p9g7L7AZq Machache niliyoyanasa Barua ya kugombea kupitia CCM alipewa Askofu Gwajima, bahati mbaya alikuwa kazubaa Akaja mwanamke akanyakua kwa nguvu ile barua na kusonga mbele Mungu akamwambia yule mwanamke kuwa hana kibali ya kugombea Mh.Mbowe...
  12. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Je utabiri huu utatimia?

    Wasalaam Nimemsikia mtu wa Mungu akitabiri laana kwa wote waliohusika kufunga kanisa la ufufuo na uzima watapata laana na kuumiuzwa na mungu. Ikumbukwe mh Lema ameshatabiri mengi kuhusu viongozi na yakatokea. Amesema unaweza kufunga kanisa lakini si nguvu za mungu ., Muda ni rafiki mwema...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bishop na Bingwa wa Utabiri Dickson Kabigumila asema 'Utekaji na Watekaji mwisho wake ni mwezi 8/2025

    Huyu Bishop katika Tabiri zake zote aliwahi zitoa , zilitimia. Leo amesema, Tena akisema, Vyombo vyote viiweke habari hii mitandaoni kwakua habahatishi. Ni kua " Watu walioko kwenye Mfumo na wanaompenda Mungu wamekataa katakata kuendelea kushuhudia masuala ya kidhalimu ya Utekaji na UUAJI...
  14. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu wa mechi ya Simba final

    UTABIRI WANGU MECHI YA SIMBA FINAL 1. Hali ya Mchezo kwa Upande wa Simba SC Wamepoteza 2-0 ugenini, hivyo wanahitaji ushindi wa 2-0 ili kupeleka mchezo penaltini au 3-0 kushinda moja kwa moja. Wataungwa mkono na mashabiki nyumbani, uwanja utakuwa na presha kubwa kwa wageni. Huwa wanacheza...
  15. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC 🆚 Rs Berkane

    Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco. Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa utabiri msimu wa kipupwe 2025, yatahadharisha baridi na upepo mkali

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwelekeo wa hali ya hewa kipindi cha msimu wa kipupwe unaotarajia kuanza mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu, ambapo Kutakuwa na upepo wa wastani utakaovuma kutoka Kusini Mashariki kwa maeneo mengi ya Nchi pamoja na vipindi vichache vya...
  17. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Haya yatatokea kati ya Juni na Disemba 2025

    JUNI 2025 Matukio yanayotarajiwa: Kutakuwa na majadiliano ya kina kuhusu katiba au mageuzi ya sheria fulani, hasa upande wa haki za kiraia na uhuru wa vyombo vya habari. Kutaibuka mjadala mkubwa kuhusu maadili ya vijana na matumizi ya mitandao ya kijamii. Sekta ya kilimo itaathirika na...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Halikuwa chaguo la Mungu wala utabiri, bali kusudi la CCM 2015 kuchanganyikiwa na kusimamisha Makamu wa Rais na Rais sababu hizi hapa

    Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo. Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote. Jambo lilotokea CCM kuweka makamo wa raisi mwanamke baada ya kuona kuna mgombea mwanamke raisi kupitia...
  20. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Jee Utabiri huu wa Prof. Kabudi Unaelekea Kutimia? Inaelekea Wanaccm Wengi Hawayajui ya Romania, Wafundishwe

    Majuzi niliposikia kuna wasanii wanaojulikana kushambuliwa na vitu mbalimbali jukwaani baada ya kutamka "Mitano tena", na nikakumbuka mada hii aiyoitoa Prof Kabudi kwa vijana pale Nkurumah hall UDSM. Jee CCM imesubiri hadi wengi ndio mabovu ya nchi ndio yajadiliwe na haya yanatokea? Jee watawala...
Back
Top Bottom