Naomba kuwapa pole mashabiki wa Simba kwa kipigo Cha Leo. Sio lelemama.
Kutokana na kipigo hicho Simba inatakiwa ikitumie kipigo hicho Kama changamoto ya mabadiliko. Ila Simba Kama Klabu ikichukulia kipigo hiki Kama kawaida, basi yatakuja makubwa zaidi.
Naomba nishauri yafuatayao:
1. Kwanza...
Hali ya maisha ni ngumu sana
Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi
Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani
Unakuta familia inakutegemea lakini wewe...
heylo guys!
nawashukuru sana mnaosoma hadithi zangu
nawapenda mno,
la mwisho:
Wote nawapenda
Wote mnaruhusiwa kunipenda, Mungu ameagiza tupendane na kumpenda jirani yako
Ila naomba wale wanaoenda extra mile ya kunipenda msiniote
maana hizo ndoto ndio naziogopa,
I love you tooo turubbo
Thank...
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...
Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.
Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
Hilo tatizo mhusika anapiga kelele usingizini na hata kujing'ata ndani ya mdomo kwa magego. Pia anaweza kujiumiza kwa kujigonga kitandani maana husumbuka.
Naomba mwenye ufahamu wa tiba atoe msaada.
Asante.
Baada ya kujaribu mara kadhaa ili niamke na kushindikana nikaona isiwe tabu, wacha nitulie tu labda nitaamka mwemyewe tu, lakini ikawa inashindikana.
Baada ya kuwaza kidogo, nikaona nijaribu ku-imagine naendesha V8 nione itakuwaje, kweli bhana, kugeuza shingo naona V8 nyeusi kalii imeandikwa...
Songea. Helena Mchauru (40) Mkazi wa Mabatini Tunduru anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini.
Akizungumza na Mwananchi kamanada wa polisi mkoa wa Ruvuma, ACP Joseph Konyo alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwezi uliopita majira ya...
wanaokoroma kwa sauti usingizini inasadikiwa kwamba hata wao huusikia mlio kwa mbaaali wakiamini kuwa unatoka kwa jilani au sauti ya melodi inayobembeleza,
kitendo hiko cha kuamini sauti inatoka kwa jilani huwaburudisha na kuwanogeshea utamu wa usingizi wao kuwa mzito.
Hivyo kuwaamusha au...
Kila siku huwa nawaza sana hili suala!
Nalala nahisi maisha yamesimama mpaka pale ntakapoamka kumbe wapi😅😅
Nimejikuta ndotoni nina mwanamke nisiemjua, nimeshiriki nae mapenzi nikamaliza na nikaendelea kulala nae kitandani.
Huyu mwanamke alikuwa amenikatalia lakini nimalazimisha mpaka akatoa...
Habari wakuu
Kuna binti kajifungua salama kwa njia ya kawaida leo saa 10 alfajiri akaruhusiwa kurudi nyumbani punde tu baada ya kujifungua.
Aliporudi nyumbani akapumzika kwa kulala yeye na mtoto kwa uchovu wa uzazi. Saa 1 asubuhi akaamka na alipojaribu kumuamsha mtoto alikuta ameshafariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.