usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sodoma ipo hapa Dar, usiku huu nimeshuhudia mengi

    Leo nimeboeka nikasema niende Temeke nikatembee mida ya sa5 usiku, kuna bar nikaingia nikawa nakunywa wine palikua panapigwa miziki ya bongo flava, lakini ilivyofika saa 6 usiku wakaingia VIJANA na matarumbeta na wadada wengi Sana wamevaa madela, nyimbo za bongo flava zikawa hazipigwi ikawa NI...
  2. JamiiForums Tanzania Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini Mungu afanye kwako

    Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini mungu afanye kwako.🙏❤️
  3. JamiiForums Tanzania Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

    BWANA awe nanyi wana wa MUNGU Kwanza naomba kumshukuru MWENYEZI MUNGU aliyetuumba Sii tu kwamba aliyetuumba bali ameenda mbali zaid hata akamtoa mwanae wa pekee ili tupate kupona Kuna nyakati niliishi kwenye zambi sana lakini MUNGU ni MWAMINIFU alinitoa huko akanipa neema au baraka au zawadi...
  4. JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi. Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni

    Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi. Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sisi mashabiki wa klabu ya Yanga tumefurahi sana jana usiku

    Hongereni sana wachezaji wa Yanga kwa ushindi wa jana. Kweli sisi mashabiki wa Klabu tulifurahi sana. Ule usemi wa Yanga inapendelewa sasa waseme mengine. Wachezaji walicheza kama timu. Nkane, Kibabage, Job, Pacome, Chama na wengineo walitufurahisha. Msimu huu ndiyo utakuwa msimu wa historia...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiacha Dar es Salaam, mikoa iliyobaki ujanja wao ni mchana tu, ikifika saa tatu usiku kila mtu yupo kwake

    Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote. Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi. Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola...
  9. JamiiForums Tanzania Ameniita kwake saa 5 usiku, nimeenda na mchungaji, baadae amenuna, nifanyaje?

    Wahuniiiiiiiii? Nimewaita Wahuni mje mumsaidie dada wa watu huku Alialikwa na mpenzi wake geto saa 5 usiku akaenda na mchungaji wa kanisani kwao Wakafanya ibada, saa 6 kasoro akaondoka kurudi kwao mchungaji akabaki geto mpaka asubuhi Sasa asubuhi bofriend anapigiwa simu na binti, simu...
  10. JamiiForums Tanzania Usiku mwema wapendwa/Kazi njema wapendwa

    Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊 Tunaolala,basi na tulale salama. Kazi njema wana JF Usiku mwema wanaJF!🙏
  11. JamiiForums Tanzania Nilichokiona usiku wa leo, msaada wenu wanaJF

    Kwanza kabisa nianze Kwa salamu: Asalam alaykum na kwawale wasiopenda salamu hii basi habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF. Kwanza kabisa ningependa kwenda moja kwa moja kwenye pointi husika nayo ni kile nilichokiona usiku wa Leo. Kwa kawaida yangu na ratiba zangu za kulala siku za hivi...
  12. JamiiForums Tanzania Kunguru wanaruka usiku huu saa 9:15, ni kawaida?

    Muda huu usiku wa saa tisa nasikia huko nje kunguru wanalia na wamepita kama wanaelekea sehemu. Je kuna disaster yeyote au hali hii inaashiria nini?
  13. JamiiForums Tanzania Wife aliniamsha usiku wa manane ni mfuatie embe bichi kisa ana mimba

    Wanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile. Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu. Nauliza unaumwa kimya!! Uchungu umefika? Na hapo mimba Bado sana muda wa kujifungua wife yupo kimya...
  14. JamiiForums Tanzania LADY JAY DEE ndani ya bongo fleva Honoros usiku wa leo

    LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU... Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection ya Malkia wa Bongofleva, Dada mwenye ukuu wake kwenye dunia ya Bongofleva Lady JayDee ambaye leo...
  15. JamiiForums Tanzania Ziara za Chalamila akiongozana na watumishi wa umma, tena usiku wa manane, zina muongozo upi wa sheria? Hasa kwa wenye watoto na ndoa?

    Nimeona Mkuu wa Mkoa amezindua ziara za usiku mzima, tena akiwa na watumishi wa umma wa kike na kiume. Ninachofahamu, muda wa mtumishi wa umma kuwa ofisini mwisho saa tisa na nusu. Sasa sijafahamu kuhusu huu utumishi wa mpaka usiku wa manane. Kwanza, hao watumishi wanatakiwa kuwa kazini saa...
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU leo tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku

    TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU siku ya Jumatatu tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku wa kuamkia Jumanne. Shirika limewahimiza wateja wake wote kununua umeme wa kutosha mapema nje ya muda wa maboresho ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ihakikishe madereva wanaoendesha mabasi usiku wanapata muda wa kutosha kupumzika.

    Sera zinazosimamia masuala ya usalama barabarani zimeweka Sheria na kanuni za kufuatwa. Uendeshaji magari ya abiria una Sheria na kanuni zake. Mojawapo ni dereva wa Magari ya abiria anatakiwa awe na utimamu wa mwili na akili wakati wote aendeshapo magari. Nilikuwa naongea na dereva mmoja wa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri usiku huu kwenye makao makuu ya jeshi Kirya, maandalizi ya kuishambulia Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imeamua na haipoi Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama)...
  19. JamiiForums Tanzania Angalia leo usiku - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi

    WATCH TONIGHT - Lunar Occultation - Moon will hide Saturn today October 14 from 8 pm to 9:30 pm ANGALIA LEO USIKU - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo Oktoba 14 kuanzia saa 2 usiku hadi saa 9:30 English version is below the Kiswahili information Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo usiku...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

    Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri. Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!! Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka! Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…