usikivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mathayo Fungo

    Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi

    Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia...
  2. Baba Kisarii

    Wadada wenye changamoto ya usikivu hafifu wanajua kupenda na wapo moto sana

    Mabinti wenye changamoto ya usikivu hafifu huwa ni watamu sana. Awali ya yote naomba niweke wazi kuwa changamoto ya usikivu hafifu haimaanishi kuwa mhanga ni kiziwi asiyesikia kabisa. Sasa basi nimewajaribu wawili tu nikatoka nao kwa nyakati tofauti yaaniiii nilijilaumu kwa kutoijua hii siri...
  3. fimboyaukwaju

    Huku Mwanza usikivu wa TBC Taifa na Bongo FM sio mzuri

    Huku Mwanza ni zaidi ya wiki, Matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM yanakatika katika na tunawaambia hawachukui hatua yoyote. Hebu rekebisheni matangazo yenu,hivi hamuoni aibu.
  4. jMali

    Hongera Azam Media Kwa Usikivu

    Naona mmepania kweli, kila dakika 10 salamu za Pasaka :). Heko kwa kusikia malalamiko/ushauri wa watazamaji. Sasa bado tu suala la Tamthilia zisizofaa kwa nchi yetu isiyo na dini, natumaini season zake zikiisha mtaachana nazo. Asanteni tumeona burudani kwa wote.
  5. A

    Je, Naweza Kuwa Muimbaji Mzuri Wa GOSPEL Nikiwa Na Usikivu Hafifu !?

    Habari Ndugu Zangu, Kwanza Nianze Kwa Kuwashukuru Wote Mlionipatia Ushauri Wakati Napitia Hali Ngumu, Hakika Jamii Forums Kuna Watu Wema Sana. MUNGU Awabariki 🙏 Uamuzi Niliouchukua Ni Kwenda Chuo, Hivyo kwasasa Nasoma Diploma in Primary Education Katika Mtaala Mpya huu wa Elimu Na Inshallah...
  6. ALENI WAKALA

    Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina changamoto ya...
  7. ALENI WAKALA

    Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) KATIKA Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina...
  8. Mjanja M1

    Unaweza kuoa/kuolewa na mtu mwenye changamoto ya usikivu/ulemavu?

    Kuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa). Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?
  9. N

    Clouds Fm Radio, rekebisheni usikivu

    Clouds Fm Radio, tunawaomba mrekebisheni usikivu.
  10. A

    Ushauri: Maisha yamekuwa magumu kutokana na changamoto yangu ya usikivu hafifu, natamani nikimbilie Afrika Kusini nikafie huko!

    Ndugu zangu wenye Usikivu Hafifu. Mmewezaje kutoka kimaisha? Mwenzenu naona mambo magumu sana. Kazi sina, zingine napata wananitosa, mtaji sina, mpenzi sina. Natamani nikimbilie South Africa nikafie huko. Nisije nikatia aibu kwenye familia. Sasa simeanza kumuelewa Mpauko kwanini alichukua...
  11. A

    Natafuta Kazi

    Habari za Jioni Ndugu zangu. Mimi ni Kijana Nina Changamoto Ya Kusikia ( Usikivu Hafifu) Tatizo hili Sikuzaliwa nalo Bali Limenitokea Ukubwani. Niliumwa Maralia Nikachomwa Kwinini ndo ikasababisha. Kiukweli Nimekuwa Mpweke Sana, Sina Kazi, Sina Mishe, Naombeni Mnisaidie Kazi Yoyote Ya...
  12. Walt white

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri. Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
  13. OCC Doctors

    Usumbufu wa sikio na shida za usikivu

    Maumivu ya sikio, kupoteza kusikia, uchafu wa sikio (otorrhea), mngurumo na kuvuma kwa sikio (tinnitus), na kizunguzungu (vertigo) ni dalili kuu za matatizo ya sikio. Mbali na masikio, pua, koo ya hewa (nasopharynx), na mashimo ya hewa karibu na pua (paranasal sinuses), meno, ulimi, tonsils...
  14. mama D

    Kuhani Musa Richard Mwacha ni Mwalimu bora kwa kizazi hiki kisicho na usikivu, kabla ya kukubali au kukataa tafuta kumjua na kuujua ukweli kwanza

    Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua 1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza...
  15. BigTall

    Mwaka 2050 watu Bilioni 2.5 watakuwa na matatizo ya usikivu

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa watu hao wanatarajiwa kuwa na matatizo ya usikivu wakati Watu Milioni 700 watahitaji tiba ya matatizo ya usikivu. WHO linaeleza kuwa zaidi ya vijana wadogo Bilioni 1 wapo kwenye hatari ya kukumbana na upotevu wa kusikia unaoweza kuepukika. =========...
  16. B

    Tozo: Wadau Walalamika na Serikali kukosa usikivu

    Mjadala mkali kabisa ktk kituo cha televisheni cha ITV Tanzania ====== Katika mjadala mpana na wa wazi wadau waonesha wasiwasi kuhusu serikali kutochukua hatua za haraka kupata ufumbuzi wa kusitisha tozo inayolenga chanzo kimoja tu cha mapato kukatwa mara kadhaa. Mfano mishahara ipitayo...
  17. beth

    World Hearing Day: Watu Bilioni 1.5 Duniani wanaishi na tatizo la usikivu

    Machi 03, 2022 ni Siku ya Usikivu Duniani ambapo inaelezwa takriban Watu Bilioni 1.5 Duniani kote wanaishi na tatizo la usikivu. Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanasema idadi hii inaweza kuongezeka hadi Bilioni 2.5 kufikia Mwaka 2030 Inaelezwa, Mamilioni ya Vijana wapo hatarini...
  18. L

    Nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu, pia inasaidia kupunguza kelele

    nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu , pia inasaidia kupunguza kelele maikion bei laki 4 dar gongolamboto 0684340704 sikio la kushoto
  19. C

    Marekani: Maelfu walaumu chanjo ya COVID-19 kwa kupoteza uwezo wa kusikia baada ya kuchanjwa

    Waziri wa Afya, alilihakikishia Taifa kwamba Chanjo za Covid-19 ni salama, baada ya kufanya scientific research. Leo dunia imeanza kupata majibu ya maswali ambayo wafanyabiashara walizuia watu wasishirikishane. Wengine hapa walitukanwa matusi, wakaitwa kwenye vikao hadi wakahisi maisha yao...
  20. J

    Serikali yajielekeza kuondoa kabisa tatizo la usikivu wa radio ifikapo 2025

    SERIKALI YAJIELEKEZA KUONDOA KABISA TATIZO LA USIKIVU WA RADIO IFIKAPO 2025. Mpaka sasa asilimia 66 ya maeneo ya kijeografia yanapata mawasiliano Yafungua milango kwa wadau kutumia miundombinu ya Serikali Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe, Dkt. Faustine Ndugulile amesema...
Back
Top Bottom