Natafuta Kazi

Alfagems

Member
May 12, 2024
9
11
Habari za Jioni Ndugu zangu. Mimi ni Kijana Nina Changamoto Ya Kusikia
( Usikivu Hafifu) Tatizo hili Sikuzaliwa nalo Bali Limenitokea Ukubwani. Niliumwa Maralia Nikachomwa Kwinini ndo ikasababisha.
Kiukweli
Nimekuwa Mpweke Sana, Sina Kazi, Sina Mishe,
Naombeni Mnisaidie Kazi Yoyote Ya Halali Nitafanya.
Nipo Chini ya Miguu Yenu Naombeni Mnisaidie Ndugu zangu. Napitia Wakati Mgumu Sana.
Napatikana Dar es Salaam

Kufundisha Chekechea, Usimamizi, Ulinzi wa Nyumba ya Mtu, Upishi Na Yoyote Ya Halali Nitafanya.

Namba Yangu ni 0623094409
 
Back
Top Bottom