Inaumiza sana tena sana kwa wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mwenyezi MUNGU kutenda dhambi ambazo zinamshangaza mpaka shetani.
Uume uliumbwa kwa ajili ya kuingizwa kwenye uke kupitisha manii ambayo hutumika kurutubisha yai la mwanamke.
Unapohalalisha mwanadamu aingize uume wake sehemu ya nyuma...
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na...
RAIS wa Senegal Macky Sall ametetea hatua ya taifa lake kupiga marufuku mapenzi baina ya watu wa jinsia moja, wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau.
Mataifa 28 kati ya 49 yaliyoko Kusini mwa janga la Sahara yameweka sheria zinazopiga marufuku shughuli kama vile ushoga na...
Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa...
Ndiyo wanajua kuna Watanzania Majuha wanawaunga Mkono . Najiuliza hivi hawa Watoto wanaopata ujauzito Mashuleni wameanza kuzuiliwa kurudi awamu hii? Nakumbuka wakati nasoma kuna wanafunzi walikuwa wakipata ujauzito, wanachukuliwa na gari la shule chini ya ulinzi wa Matron wa shule na Polis hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.