ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Igp Sirro: Wananchi toeni ushirikiano

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapoona jambo lisilo la kawaida ili liweze kuchukuliwa kwa uharaka zaidi kabla ya kuleta madhara kwa jamii.
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Afrika, unaweza kuinua maisha ya wakulima wengi wa Afrika

    Ile zama ya vyama na serikali kuwa wadau pekee wa uhusiano kati ya China na Afrika sasa imepita. Mageuzi makubwa ya kiuchumi yamefanyika nchini China na maendeleo makubwa yamepatikana, hali hii imefanya serikali isiwe mdau pekee wa ushirikiano. Tangu China ianzishe ushirikiano wa kimkakati wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanga na wachawi wana ushirikiano sana kwenye kazi zao

    Nimeona kutumia hawa watu ambao wanga na wachawi kwa jinsi walivo na ushirikiano wa hali ya juu kabisa. Maana mikasa mingi inayosimuliwa kuhusu hawa watu unaweza kubaki mdomo wazi. Ila tuje kwenye mada iliyonileta sio sehemu yangu huko labda kaka @Mshana Jr anaweza kunieleza kuhusu kichwa cha...
  5. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia, mazishi ya Kaunda

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa Mwendazake Rais wa Kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda. Hapo awali nilishuhudia mkutano kati ya Bwana huyu na Balozi wa Marekani, ukiachilia mambo...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo gani yanatakiwa ili watu, kikundi nk, kiwe ba ushirikiano mzuri/wenye ufanisi?

    Habari wandugu. Naomba kuuliza ni vitu gani au sifa gani zinatakiwa kuwepo ili watu muweze kushirikiana vizuri? Inaweza kuwa ushirikiano ndani ya kikundi, mtu mmoja na mwingine , kikundi na kikundi nk. Inaonekana ushirikiano huleta mafanikio kirahisi na hata kiasili, binadamu ni social animal...
  7. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Kimataifa vinakuja, tujiandae kuvipokea na kuvipa ushirikiano

    TUJIANDAE KUVIPOKEA VYOMBO VIKUBWA VYA KIMATAIFA Na Elius Ndabila 0768239284 Juzi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu HASSAN amewataka viongozi wakuu wa sekta na taasisi za umma kujipanga kuupokea ugeni unaotumia vyombo vikubwa vya habari vya habari watakaokuja kuitangaza Tanzania. Alisema ugeni...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za magharibi hazipaswi kuusemea vibaya ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya habari

    Katika miaka ya hivi karibuni suala la ushirikiano kwenye sekta ya habari kati ya China na Afrika limekuwa likifuatiliwa na nchi za magharibi, na kuongezeka kwa uwepo wa China kwenye sekta ya habari barani Afrika kunachukuliwa kama ni uingiliaji wa China kwenye himaya ya habari ya vyombo vya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuhimiza ushirikiano wa kimataifa katika mapambano dhidi ya ufisadi

    Mwanzoni mwa mwezi huu mjumbe wa kudumu wa kamati ya kisiasa ya chama cha Kikomunisti cha China, na katibu wa kamati ya nidhamu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Zhao Leji, alitoa mwito tena wa kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, na kujenga dunia isiyo na ufisadi. Bw. Zhao...
  10. JamiiForums Tanzania Je, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa sio jambo la muungano? Nini kinaendelea Zanzibar?

    Wanasema mzaha mzaha hutumbua usaha, kwa mujibu wa katiba yetu, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ni jambo la muungano, hii ni pamoja na misaada pamoja na mikopo kutoka nje ya nchi. (Katiba ya JMT ibara ya 4 nyongeza ya kwanza) Lakini tangu awamu ya sita ya rais wetu Samia Suluhu ishike...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zimetia saini makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo alisema kuwa utiaji wa makubaliano hayo ni mojawapo ya jitihada za kuwezesha mahusiano ya biashara na nchi jirani kufuatia ziara iliyofanywa nchini Kenya Alisema jumla ya vikwazo 37 vilijadiliwa katika mkutano wa pande zote hapo...
  12. JamiiForums Tanzania Tunawashukuru Kaizer Chiefs kwa Ushirikiano. Simba hatafuzu hata akisaidiwa kucheza na Mitume

    Tumeshirikiana na Kaizer Chiefs vizuri. Dawa zinafanya kazi. Waganga wetu na wao wamemaliza game. Simba leo Hatoweza kufuzu. Hata akiwaweka mitume kwenye team yake wamsiadie Simba ndo anaishia hapa leo. Nipo tayari kupigwa Ban ya mwezi mzima. HAIWEZEKANI SIMBA KUFUZU HATA WALETE MIZIMU WACHEZE...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Alhaj Kova: Waislam na wasio Waislam tunaahidi kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Samia

    Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Bakwata alhaj Seleman Kova amesema waislamu na wasio waislamu wanaahidi kumpa kila aina ya ushirikiano Rais Samia Kova amesema hayo wakati wa swala ya Eid El Fitr. Source ITV habari Eid Mubarak!
  14. JamiiForums Tanzania Ushirikiano na Kenya usiangalie kingine ila maslahi ya Tanzania

    Ushirikiano na Kenya usiangalie kingine ila maslahi ya Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan ameitembelea Kenya katika ziara inayoelezwa kuwa imefungua ukurasa mpya wa mtangamano unaoashiria kuimarisha udugu na ujirani baina ya mataifa hayo. Akiwa Nairobi anahutubia wafanyabiashara na wabunge wa...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi hawatoi ushirikiano wa kulala na wageni vyumbani mwao

    Enzi zetu chumbani mnalala na bibi, shangazi, dada wa kazi ukiwa na bahati unaweza kuwa na kitanda chako mwenyewe. Hawa wageni wanaweza kukaa miezi sita na maisha yaliendelea. Hawa watoto wa siku hizi vyumba vyao ni kama private home. Hata mzazi huruhusiwi kuingia. Umwambie bibi amekuja...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Manufaa ya Ushirikiano wa Tanzania na Kenya

    Tanzania na Kenya zimekubaliana kushirikiana kuondoa vikwazo vya biashara na kufungua milango Zaidi ya kuwekeza na kuinua uchumi baina ya nchi zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kufuatia Ziara ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan nchini Kenya ikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Drugs: No teamwork, says TCAA director

    Drugs: No teamwork, says TCAA director By Elisha Magolanga Dar es Salaam. The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) director general, Mr Fadhili Manongi, has blamed the increase in drug trafficking on lack of cooperation from key agencies whose role is vital if the war against the kingpins...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…