ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena ushindi wa zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025

    Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona. 2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025. Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: CCM inaingia katika uchaguzi ikiwa na hakika ya ushindi, Tumejipanga kwa ushindi 2025

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amezungumza na wanachana na viongozi wa Chama wilayani ileje mkoani Songwe akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani humo. Akizungumza na wana CCM hao katika Ukumbi wa Seselembe, Ileje leo, Machi 16, 2025, Wasira...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Trump na Zelensky pamoja na mataifa ya Ulaya ni kusema vita vimewashinda baada ya kutaraji kupata sifa za ushindi

    Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha. Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mwewe kufika mazoezi ya Yanga ni ushindi mkubwa kwa Yanga.

    Mwewe ni ndege mwenye akili, weledi na nguvu kuliko kunguru ama njiwa. Mwewe anaweza kutatiza viumbe wengine kama kuku, nyoka na wanyama wadogowadogo. Hivyo, Mwewe ni alama muhimu kwenye mataifa makubwa yenye mafanikio makubwa kama Marekani na makampuni makubwa ya kibiashara. Siku ukiona mwewe...
  5. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu katibu UVCCM Taifa, Mwatikinya: Ushindi kwa CCM sio ombi ni lazima. Hakuna Chama kinaweza tatua shida za Wananchi zaidi ya CCM

    Naibu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Taifa bara, Mussa Mwatikinya amesema ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwaka huu ni lazima na wala sio ombi. Akizungumza leo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro katika uzinduzi wa kambi la Vijana wa jumuiya...
  6. Ndebile

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Huku Kanda ya Ziwa Ushindi Kwenu Upo Wazi!

    Wananchi wameishaikataa CCM na Rais, ushahidi kidogo Tu WA wazi huu hapa: Hakika Viongozi wa CCM Mkoa wa Mara hususani Tarime wanapitia wakati mgumu sana. Huyu anaitwa Patrick Chandi ni Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Mkoa wa Mara. Hapa yupo kwenye Mkutano wa hadhara Nyamongo. Wananchi hawamtaki...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wajue viongozi wapya wa Hamas wanaotembeza kijiti cha ushindi

    Wakati jeshi la Israel likimaliza kuondoa vikosi vyake kutoka ukanda wa Netzarim unaogawa kaskazini na kusini ya Gaza viongozi wakuu wa Hamas wamekwenda nchini Iran kupongezana na kiongozi mwenzao huko Tehran kuhusiana na ushindi wao. Kuondoka kwa majeshi ya Israel eneo la kati ya Gaza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Miaka kumi from 2015 - 2025 ni Golden age ya CCM, Mendeleo waliyoyafanya ni CV ya kuwapa ushindi kwenye nchi yoyote East na central Africa

    Ukweli kwa miaka kumi hii ambayo nusu imeongozwa na Magufuli na Nusu imeongozwa na mama Samia. CCM wamefanya mambo makubwa mengi sana yanayoonekana kwa macho, bila mizengwe yanawapa uwezo wa kupata ushindi hata wangekuwa wanagombea urais Kenya, Zambia, Msumbiji, Congo, Rwanda, Uganda etc...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huenda bahasha ndizo zinawapa Simba ushindi na siyo kocha, mechi ya Simba na Fountain Gate imenipa wasi wasi juu ya hilo

    Hii ni aibu kwa marefarii wa nchi hii unaruhusu goli la offside dhidi ya fountain gate unaita Mpira kati,,najiuliza endapo fountain gate ndio wangefunga goli la namna Ile je refa angeita kati? Lakini waswahili usema ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga yule yule aliyekuwa ameotea akatoa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kisasi kimelipwa:Kuna yule mchezaji alinawa mpira dakika za nyongeza na kuwapa Simba ushindi

    Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya watoke na alama 3 na kuzua mjadala. Kama sio kuunawa mpira, basi alisababisha penati ya kizembe...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mungu amebatilisha Ushindi wa kulazimisha baada ya mechi kuchezwa dakika 108

    Jamani mpira ni burudani tu. Na wala kushinda sio lazima. Hata akina PSG au Liverpool huko ng'ambo hawashindi kila siku. Kwa hiyo Simba na Yanga Pokeeni meseji hiyo. Nimejionea leo uhusika wa MUNGU dhidi ya dhulma. Lile kosa la kibinadamu la chasambi lililopelekea Fountain kupata goli...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makala: Kama tumeshinda uchaguzi serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea ushindi ni huohuo uchaguzi mkuu Oktoba

    "Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi...
  13. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

    Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break. Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River. Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield...
  14. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

    Maria Sarungi ni nani ndani ya Chadema mpaka awapangie watu
  15. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza alonga ushindi wa Lissu na "ushindi" wa Mbowe: Ninaandika kupongeza. Sina pole za kutoa.

    ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Juzi Kamati ya Uchaguzi wa CHADEMA ilimtangaza...
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania Hapi atema cheche Shinyanga "Tumejipanga kuhakikisha Dkt. Samia anapata ushindi wa sunami"

    Na Mwandishi Wetu KATIBU MKUU WAZAZI ALLY HAPI AWATAKA VIONGOZI KUTOA USHIRIKIANO KWA MBUNGE KATAMBI. KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu. Ally Salum Hapi (MNEC) amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe wa mkutano mkuu kumpa ushirikiano wa kutosha Mbunge wa...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Hamas aliyetangazwa kuuliwa ajitokeza mitaani kushangilia ushindi

    Miongoni mwa makamanda muhimu Israel iliotangaza kuwaua ni pamoja na Mohammed Deif na mwenzake Hussein Fayyad aliyetajwa kama mtaalamu wa kutengeneza makombora ya Hamas . Huku majaaliwa ya Mohammed Deif yakiwa bado hayajathibitika, mwenzake Hussein Fayyad ameendelea kuonekana kwenye mitaa ya...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hongera Mh. Lissu, lakini unajua maana ya ushindi wa 51%?

    Maana yake Kuna 49% wapo kama hawapo, hawakukuunga mkono.. Wengi wapewe na wachache wasikilizwe, lakini hapo hakuna wengi walioshinda na wachache walioshindwa; they are more or less the same. Together we stand!!!
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

    Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lissu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa. Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye tafrija fupi ya kusherehekea ushindi wa Lissu na Heche.

    Tumeandaa tafrija fupi ya kuwapongeza waheshimiwa Tundu Lissu na John Heche kwa ushindi wao katika uchaguzi Mkuu wa CHADEMA uliofanyika jana/leo. Lakini pia katika tafrija hiyo tutampongeza Freeman Mbowe kwa kukiongoza chama kwa muda wote huo. Tafrija itafanyika kesho tarehe 23.01.2025 kuanzia...
Back
Top Bottom