ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chongoe

    JamiiForums Tanzania Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

    Ndio ivyo
  2. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Kidogo ulicho nacho si udhaifu , ni mwanzo wa ushindi

    “Mwenye nacho huongezewa, asiye nacho hunyang’anywa hata kile kidogo alicho nacho.” - Mathayo 13:12 (Biblia). Inaweza kuonekana kama isiyo na haki, lakini ndani yake imefichwa kanuni ya mafanikio, ukuaji wa ndani, na nguvu ya fikra. Kwa nini Mwenye nacho huongezewa?……. Ana mtazamo wa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hatimaye uislamu umepata ushindi mkoa wa Iringa

    Takbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee Takbiiir
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hatimae Sherehe za maazimisho ya ushindi wa WWII kwa mwaka 2025 yapita salama huko Urusi

    Maadhimisho ya kusherehekea miaka 80 toka kushindwa kwa majeshi ya NAZI yaliyoshindwa Majeshi ya Urusi, yamefanyika Moscow, huku yakihudhuriwa na Marais wa nchi rafiki wa Urusi bila Marais wa nchi za Magharibi isipokua Marais wawili TU wa Magharibi ndio waliohudhuria. Naandika yamepita salama...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore awasili Moscow-Urusi kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi dhidi ya Wanazi

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025. Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi walioupata Urusi dhidi ya wanazi kutoka nchini...
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Kasumba ya "umangi" bado inawatesa Timu-Mbowe: G-55 ya kina Mrema wamekubali ushindi wa Timu Lissu kwa kujitoa Chadema na kutokomea kusikojulikana

    Zaidi ya 50% ya wajumbe wa kikundi kinachojiita G-55 ni wachaga wa Arusha na Moshi, na walikuwa TImu Mbowe kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa Mwenyekti Lissu wa Januari mwaka huu. Tangu kuasisiwa kwake hadi mwaka jana, kati ya vikwazo vikubwa vya kisiasa dhidi ya Chadema, kikwazo namba moja...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uwanja mweupe na timu za kuwasindikiza kuhalalisha ushindi wenu na kupongeza pointi mtakazopata

    Miaka yote sijawahi kuona Ccm mkiandikisha wanachama wenu kwa kuwataka waje na kadi ya mpiga kura wazi wazi kama sasa,kunauhusiano gani wa kusajili wanachama wenu ili waoate kadi za ccm hadi waje na vitambulisho vya kura?Mbona Chadema wamesajili hawakuwahi kuhitaji kadi za mpiga kura?
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa makandokando kubebwa kulazimisha na ulaghai wala haunogi, Ninashauri Simba tuache janja janja tujenge timu

    Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili! Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushindi 99% tulopata kwa local government ilitupasa kumwambia CHADEMA chagueni tume awe nani Kisha tuingie dimbani tungeshinda asubuhi

    Sijui huu uoga ni wa nini Kwanini mtu tulomshinda kwa ushindi mkubwa hivi atupe hofu CCM inakubalika kwa 99% hata mwenyekiti wa tume angekuwa Lema bado tungewashinda Sasa hofu yetu ninin Hadi kutumia nguvu nyingi KIASI hiki kudhibiti watu wasio na nguvu yeyete sio ya umma Wala...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudishwa kwa mateka- Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika makaburi ya kijeshi ya Mlima Herzl huko Jerusalem, Aprili 30, 2025. (Marc Israel Sellem/POOL) Waziri Mkuu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kupoka ugombea Uraisi Kwa njia isiyo ya Ki-Demokrasia na Sasa kutumia Vyombo vya Dola kuzuia wapinzani wa Kweli ni Dalili za Ushindi au Kushindwa.

    Kuna mgombea mmoja ambaye amejipa uteuzi katika chama , Kwa kutumia Madaraka yake na kikundi cha wastaafu na sasa anatumia vyombo vya dola , ili kuwazima wapinzani wake , licha ya kutumia Madaraka yake na fedha za umma kujikweza na kujipamba ni dalili kwamba anaweza hivyo tumpe nafasi au ni...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba akijitahidi leo ni Draw. Sioni namna Simba akipata ushindi team mbovu

    Simba mbovu. Kipindi cha pili inapigika. Ama sivyo Simba wakapark Bus. Maana wanaonekana hoi kwa sasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Mwenyezi Mungu Ijalie Ushindi Mnono Simba Sports Club Vs Stellenbosch hapa Zanzibar

    Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe tu, tujalie ushindi leo hapa visiwani Zanzibar mda mfupi tu tutakapocheza na Stellenbosch...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pasaka ni Sikukuu ya Ukombozi na Ushindi Dhidi ya Dhulma, Je Tuitumie Kuombea Uchaguzi Uwe Huru na wa Haki, au Uwe Kama Kawa, Kama Alivyosema Nape?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka. Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Mwenyezi Mungu Utujaalie Ushindi Mechi ya Leo dhidi ya Al Masry, Inshaallah

    Ewe Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi, ulisema ombeni mtapewa, nami nasimama mbele yako hapa uwanjani kwa Mkapa mvua ikiwa inanyesha, nakuomba allah jalali, mungu wa viumbe wote duniani, utujaalie ushindi wa kishindo leo uwanja wa Taifa ili roho zetu zipate kutulia. Mwenyezi Mungu, wewe...
  16. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G 55 Inapaswa Waanze Mikutano ya Hadhara kuuelewesha Umma namna ambavyo wanadhani wakishiriki kwenye Uchaguzi watapata Ushindi wa Kishindo

    Binafsi Hawa jamaa ningewaona Wana akili timamu endapo nao Kwa wingi wao,waafanye mikutano ya hadhara ya kuwaelewesha Watanzania namna ambavyo wakiingia kwenye Uchaguzi ujao watashinda majimbo ya kutosha na kuepusha mauaji ya watu na wizi wa Kura hautotokea! Tofauti na hapo nitaendelea kuwaona...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Simba tusione aibu kujifunza kwa Yanga jinsi ya kuvuka quarter-finals kwa ushindi home/away

    Young africans sc 2 - 0 Marumo gallants Marumo gallants 1 - 2 Young africans Vinginevyo laana ya Robo fainali haitavunjika. Tusione aibu kujifunza kwa waliotangulia.Wenzetu ni wazoefu zaidi katika hii michuano.
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania YESU ni jina la uzima, uponyaji, na ushindi juu ya giza

    JINA LA YESU LITUKUZWE WATOTO WA MUNGU! Watu wa Mungu walio okoka na ambao bado hawajaokoka! Leo ngoja tuzungumze juu ya Habari Njema ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai! Leo natangaza habari za wokovu! Leo natangaza jina lipitalo majina yote jina la YESU KRISTO! JINA LA YESU LINA NGUVU...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania No Reform no Election ni kama njia ya kuwapa ushindi mkubwa CCM

    Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru na haki. Je utafiti umethibitisha kama reform isipofanyika mnauwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Watanzania tufanye nini ili kusaidia ushindi wa Prof. Janabi?

    Watanzania, Salaam! Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu. # Amekuwa Mwl mzuri; # Amekuwa kiongozi mwema; # Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu. Kutokana na mchango wake kwetu tuna...
Back
Top Bottom